Mchuzi wa Seleee @selemani_kodima
Mambo ni motoo๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Tuonje pilipili kama imekolea๐๐๐๐๐๐๐๐
#miyuji
Leo kazi ndo hizi hapa wafanyakazi DMG wageuka wapishi Kila mtu Yuko bize..
#tumekuchagua
#miyuji
Safari ilianzia Kato Plaza Majengo, tuliungana tukaijenga familia kwa kukutana na Msikilizaji, Mtazamaji, Wadau pamoja na wateja wetu
Na Sasa Safari ya kuwa Kato Plaza inafika tamati wiki Hii
Rasmi tunahamia Makao Makuu ya Dodoma Media Group kuleeee Miyuji
Ukurasa Rasmi wa Habari, Elimu na Burudani Utafungulia HQ Miyuji Propa- Dodoma Tanzania
#Rasmitunahamiamiyuji
#tumekuchagua
#chilihamonga
#ipokwaajiliyako
#dodomatv
#dodomafm
KUPIGIA WANAWAKE MILUZI NI KOSA KISHERIA
Mawakili kutoka @alexa_law_advocates ambao ni Anna Malewa na Lydia Shukuru wakiwa mubashara kupitia @dodomafm na @dodomatv wamebainisha kuwa ni kosa kisheria kupigia miluzi wanawake , jamii inapaswa kubadilika na kuacha mambo ambayo yanatweza utu wa mtu.
@alexa_law_advocates
#kataaukatili
#tokomezaukatili
#miaka30yabeijing
#tumekuchagua
Mkurugenzi wa Happy Kessy Aluminium Glass Welding & UPVC @officiallyhappykessy anawakaribisha katika maduka yao yote kwa ajili ya kujipatia huduma zote kwa punguzo kubwa la bei msimu huu wa mwisho wa mwaka.
Happy Kessy Aluminium wanapatikana Barabara ya 8 mkabala na msikiti wa Warangi, duka lingine lipo Swaswa Mnarani unaweza kuwasiliana kwa simu namba o782589051 au 0769059596
@officiallyhappykessy
Msanii wa muziki wa kizazi kipya
@don_maizy ameeleza mapokezi ya wimbo wake mpya #Wasiwasi ambao amemshirikisha @mr.kesho
Akizungumza na #Karata2 kupitia Dodoma Tv amesema Kwa muda mfupi toka wimbo huo utoke umepata wafuatiliaji wengi kupitia majukwaa mbalimbali tofauti na kazi zake zilizowahi kutoka
Audio ya wimbo huo imetayarishwa na mtayarishaji wa muziki @mafeeling_pro
Cc
@benybert1 @[email protected] @mafeeling_pro
#tumekuchagua
#ipokwaajiliyako
#tumekuchagua
#chilihamonga
#dodomafm
#dodomatv
Meneja Mkuu wa Dodoma Media Group Zania Miraji amewashukuru wadau wote wanaotangaza na Dodoma Fm Kwa namna ya kipekee wanavyoendelea kuwa sehemu ya kituo hiki .
Aidha amesema kupitia wiki ya huduma Kwa wateja ,Kila mteja anayetangaza nasi atapata nafasi ya nyongeza ya matangazo Kutoka manne Hadi Sita Kwa Siku.
#tumekuchagua
#ipokwaajiliyako
#chilihamonga
#dodomafm
#dodomatv
Waswahili husema, akufaae Kwa dhiki ndio Rafiki.
Katika hali ya kushangaza mwanamke mmoja Debbie Steven 47 amefukuzwa kazi baada ya kutumia muda mrefu kujiuguza baada ya kumtolea Boss wake Figo.
Ni kule Nchini Marekani Long Island ambapo kisa hiki kimeibua mjadala juu ya utu aliofanyiwa Boss wake ambaye amekosa shukrani na kumtimua mfanyakazi huyo.
@dr.shombolataifa
@chinga_mc
๐ธ @snaught_shaban
#tumekuchagua
#ipokwaajiliyako
#chilihamonga
#dodomatv
#dodomafm