MLAC AIR TV

MLAC AIR TV Mlac air TV ni channel inayoripoti matukio yote ndani na nje ya nchi,hivyo basi endelea kufuatilia k

 Mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Twitter, Elon Musk, kupitia wakili wake, ametishia kuishtaki Meta baada ya mtandao wak...
08/07/2023


Mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Twitter, Elon Musk, kupitia wakili wake, ametishia kuishtaki Meta baada ya mtandao wake tanzu wa Instagram kuzindua program (application) mpya inayoitwa Threads, inayolenga kutoa ushindani na kuwa mbadala wa Twitter.
Katika barua iliyotumwa kwa mkurugenzi wa Meta, Mark Zuckerberg, na kuchapishwa mitandaoni hapo jana, wakili wa Musk, Alex Spiro, ameituhumu kampuni hiyo kwa kutumia siri za kibiashara za mtandao Wake pamoja na haki miliki nyingine.

20/06/2023

NG'OMBE ALIYENYOSHA CHUI...
Mmiliki wa huyu ng'ombe alikuwa akisikia mbwa wakibweka kila siku mida ya usiku ila kila akitoka nje haoni dalili yoyote ya hatari kwahiyo akaamua kuweka kamera moja ya CCTV.

Asubuhi Moja akaamua kukagua kilichorekodiwa Kwenye ile Kamera ndipo alipojionea tukio hili la kushangaza.

Kumbe kuna Chui mmoja ambaye huja kila siku usiku kukutana na huyu ng'ombe wake na ng'ombe anamlamba kwa ulimi wake k**a ishara ya kufurahia jambo.

Mmiliki huyo akaamu kumfuata mmiliki wa awali wa Ng'ombe huyo na kutaka kufahamu k**a labda kuna kitu anakijua kuhusu huyu ng'ombe wake na Chui.

Mmiliki wa awali akamjibu kuwa " mama wa Chui alikufa Chui mtoto akiwa na umri wa siku 20 tu na ng'ombe huyo ndiye aliyemnyonyesha Chui mtoto mpaka akakua na kuanza kujitegemea,

Tangu wakati huo Chui anaamini kwamba ng'ombe huyo ni mama yake.
Na anakuja kila siku usiku kumuona ...

Umejifunza nini hapa ?

NG'OMBE ALIYENYOSHA CHUI...   Mmiliki wa huyu ng'ombe alikuwa akisikia mbwa wakibweka kila siku mida ya usiku ila kila a...
20/06/2023

NG'OMBE ALIYENYOSHA CHUI...
Mmiliki wa huyu ng'ombe alikuwa akisikia mbwa wakibweka kila siku mida ya usiku ila kila akitoka nje haoni dalili yoyote ya hatari kwahiyo akaamua kuweka kamera moja ya CCTV.

Asubuhi Moja akaamua kukagua kilichorekodiwa Kwenye ile Kamera ndipo alipojionea tukio hili la kushangaza.

Kumbe kuna Chui mmoja ambaye huja kila siku usiku kukutana na huyu ng'ombe wake na ng'ombe anamlamba kwa ulimi wake k**a ishara ya kufurahia jambo.

Mmiliki huyo akaamu kumfuata mmiliki wa awali wa Ng'ombe huyo na kutaka kufahamu k**a labda kuna kitu anakijua kuhusu huyu ng'ombe wake na Chui.

Mmiliki wa awali akamjibu kuwa " mama wa Chui alikufa Chui mtoto akiwa na umri wa siku 20 tu na ng'ombe huyo ndiye aliyemnyonyesha Chui mtoto mpaka akakua na kuanza kujitegemea,

Tangu wakati huo Chui anaamini kwamba ng'ombe huyo ni mama yake.
Na anakuja kila siku usiku kumuona ...

Umejifunza nini hapa ?

13/06/2023

π— π—”π—­π—¨π—‘π—šπ—¨π— π—­π—’

KAZE;Mkuu umeskia taarifa zozote za Yanga Leo hii.

NABI;Hapana nilkuwa naandaa mifumo dhidi ya mamelod.

KAZE;wachambuzi wanasema Fesial atakuwa tushio sana maana tumemlea mbinu zako anazifahamu.

NABI: Okay kwani wewe una wasiwasi wowote kuhusu mifumo kwa sasa.?

KAZE; Unamanisha nini professor..? ahaaa unajua aha Fei alikuwa maestro sana

NABI;Skia Kaze nishaongea rais Eng Hersi nani aje msimu ujao, Huyu niliempendekeza asajiliwe ni Fundi sana hata alivyokuja hapa kucheza na Abiola Cup aliwanyanyasa sana,huyu ni full package hata ibenge amenipigia simu jana amenambia msimu ujao klabu bingwa hadi fainali.

KAZE;Aha mbona mimi sina taarifa zake professor..?

NABI;No tatizo jana ulishangilia sana tayari hiki kikao nimekaa Mimi na rais tu.

KAZE;Na Mimi ile juzi Nilishaongea na Lapota rais wa Barcelona K**a vipi tuwalete Barcelona tujipime nao siku ya mwananchi.

NABI;Hapana safari hii tutacheza na Mamelodi sundown siku ya mwananchi.

KAZE;Vipi medals msimu huu unazionaje.

NABI;Medali zangu nampa

KAZE;Mimi medali yangu nitampa tibazonkiza.

NABI;Hahahahahaha !!!Oky Kaze waambie wachezaji waanze kufanya mazoezi.

KAZE; Sawa

Shoma maganga mwenye miaka (24) ambae ni mkazi wa wilaya meatu mzaliwa wa kijiji cha BUKUNDI , Amefariki baada ya kujifu...
19/05/2023

Shoma maganga mwenye miaka (24) ambae ni mkazi wa wilaya meatu mzaliwa wa kijiji cha BUKUNDI , Amefariki baada ya kujifungua mtoto. Alizimia kwa muda taarifa zilizotolewa ni upotevu wa damu nyingi wakati wa kujifungua akiwa hospital ya wilaya meatu.
Mazishi yatafanyika nyumbn kwao BUKUNDI hapo kesho 20 may.

Kwa habari za uhakika

06/05/2023

Kwa wale mliosubiri link ya wimbo wa MWANHUZI YOUTH CHOIR link iko tayari gusa ujipatie pia kusikiliza usisahau ku-sabscribe
https://youtu.be/F4w_TltR5dY

Emoj moja kwa       FA
04/05/2023

Emoj moja kwa
FA

 πŸ™Œ        Kwa habari za uhakika Sisi ni sauti ya watu     Follow us.❀
25/04/2023

πŸ™Œ
Kwa habari za uhakika
Sisi ni sauti ya watu
Follow us.❀

20/04/2023

Hati trik ya kibabeπŸ₯…βš½οΈ

11/04/2023


Kundi la waasi wa M23 wamesalimu amri na kujiondoa kabisa katika jimbo la Nord Kivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)
Ambapo kundi hilo lilisababisha mamia ya vifo vya raia na maelfu kuyahama makazi yao, kufuatia Duru ya nne (4) ya mazungumzo yenye lengo la kuleta amani Mashariki mwa Congo inatarajiwa kurejewa tena hivi karibuni huko Goma, Beni, Uvira, Bunia na Bukavu.

        Mwanaume mmoja huko Kentucky nchini Marekani, amefanya shambulizi la risasi katika benki aliyokuwa akifanya kazi...
11/04/2023


Mwanaume mmoja huko Kentucky nchini Marekani, amefanya shambulizi la risasi katika benki aliyokuwa akifanya kazi baada ya kujulishwa kuwa atafukuzwa kazi katika siku zijazo huku akirusha tukio hilo mubashara kupitia Instagram hata hivyo baadae Meta walilifuta tukio hilo.

Tukio hilo limesababisha majeruhi tisa (9) na mtuhumiwa huyo aliuawa na polisi katika tukio hilo.

31/03/2023

:
=●Bakari Kasarani (46), Mkazi wa Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga, ambaye ni mlinzi wa kampuni binafsi ya ulinzi, ameuawa na watu wasiojulikana akiwa katika lindo lake la msikiti wa Shree Hindu Mandal Temple uliopo katika Manispaa hiyo, kisha watu hao kufanya uharibifu wa thamani mbalimbali zilizopo ndani ya msikiti huo na kutokomea kusikojulikana.

.

Mbula ya mbango link karibu itawafikia.
23/03/2023

Mbula ya mbango link karibu itawafikia.

Address

Mwanhuzi
Dodoma
MWANZA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MLAC AIR TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MLAC AIR TV:

Videos

Share