09/05/2021
Kazi Mhubiri 9;10
Maisha ya Yesu yalijawa kazi na kujishughurisha ,Kristo hutoa kielelezo kwà watoto na vijana Maisha yake ya utotoni aliishi kwà kukuza afya yake ya kimwili na kiakili na kujipayia nguvu za kimaadiri ilinkupingana na majaribu
Alikuwa imara kimwili na kidogo hivyo kijiandaa vyema kwà majukumu atayokutana nayo kwenye utu uzima na utekelezaji wa majukumu matakatifu yaliyokuwa wito wake mkuu
Sauna Yesu alikuwa mtenda kaZi mwenye budiil.Kamwe hajawahi kuwepo mwanadamu yeyote new.nyekukabiliana na majukumu mazito K**a yeye,hakuna mwingine aliyewahi kubeba mabegani mwake mzigo wa dhambi na huzuni za ulimwengu mzima .Hapajawahi kuwepo mwingine mwenye kuhudumia kwa kujitoa kikamilifu kwà ajiri ya mafanikio ya watu wengine.Licha ya majukumu mazitoaliyokuwa nayo aliishi Maisha ya afya.kimwili na kidogo alikuwa kielelezo sahihi Cha mwanakondoo wa kafara asiye na Ila ,asiye na waa.Katika mwili na katika Roho Kristo alikuwa kielelezo Cha vile Mungu alivyokusudia wanadamu wawe kupitia utii wa sheria yake
Bwana akubariki wa tafakari njema