![NELOC LIMITED, ni kampuni ya kibiashara yenye makao yake makuu mkoani Dodoma imefanya vizuri kwa kuzalisha vijana ajira ...](https://img5.medioq.com/274/236/435741442742367.jpg)
04/05/2024
NELOC LIMITED, ni kampuni ya kibiashara yenye makao yake makuu mkoani Dodoma imefanya vizuri kwa kuzalisha vijana ajira zaidi ya 30 na inaendelea kutoa saport kwa vijana mbalimbali .shughuli zinazofanywa na NELOC LIMITED ni k**a zifuatazo
1.uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za matumizi ya binadamu.
2.shule za watoto huku ikiwa na mpango wa kujenga vituo mbalimbali vya kielimu k**a vyuo na shule
3.kilimo taasisi hii pia inajishughulisha na maswala ya kilimo .k**a kulima kuchakata na kusindika mazoa. Na huduma nyingi mbalimbali.
Ndugu mtanzania unakalibishwa wewe kuja kuwekeza kwenye kampuni hii mpya iliyobeba maono ya maendeleo yako .wasiliana na kitengo cha mawasiliano NELOC LIMITED kupitia namba zifuatazo
Email:[email protected]
Phone no:0750656702 au 0629 276 246
WhatsApp number. 0656853143