Mama yuko Kazini

Mama yuko Kazini Sehemu ya mijadala huru kwa Watanzania wanaounga mkono kazi za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan
(3)

29/02/2024

πŸ’§ Mradi wa Maji Segera-Kabuku, Tanga

Ni zaidi ya maji; ni ukombozi wa kiuchumi kwa maelfu ya wananchi k**a anavyoeleza Mjasiriamali Pili Juma.

29/02/2024

πŒπ€πŒπ€ anaimarisha uhuru wa kujieleza na siasa za kistaarabu kwa maendeleo ya watu wote.

π“π€ππ™π€ππˆπ€ 🀝 π„π“π‡πˆπŽππˆπ€Jana, Leo na Kesho.
29/02/2024

π“π€ππ™π€ππˆπ€ 🀝 π„π“π‡πˆπŽππˆπ€

Jana, Leo na Kesho.

Mageuzi ya πŒπ€πŒπ€ Bandari ya Dar yanaendeleaUjenzi wa matenki mapya 15 ya mafuta utapunguza muda wa meli bandarini kutoka ...
29/02/2024

Mageuzi ya πŒπ€πŒπ€ Bandari ya Dar yanaendelea

Ujenzi wa matenki mapya 15 ya mafuta utapunguza muda wa meli bandarini kutoka siku 12 za sasa hadi siku 3.

Ongezeko hilo limeiwezesha serikali kuendelea kuongeza bajeti na kutekeleza miradi ya kiuchumi na kijamii inayoboresha m...
29/02/2024

Ongezeko hilo limeiwezesha serikali kuendelea kuongeza bajeti na kutekeleza miradi ya kiuchumi na kijamii inayoboresha maisha ya wananchi wote.

Benki ya Dunia imetoa TZS bilioni 688.5 za kuendeleza ushoroba wa biashara wa Dar es Salaam kati ya Tanzania na Zambia.M...
29/02/2024

Benki ya Dunia imetoa TZS bilioni 688.5 za kuendeleza ushoroba wa biashara wa Dar es Salaam kati ya Tanzania na Zambia.

Maboresho hayo yatakayonufaisha watu zaidi ya milioni 2 yataongeza ufanisi, usalama na uharaka katika ufanyaji biashara kati ya Tanzania, Zambia, Malawi na DR Congo.

Ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia nchini Tanzania itaimarisha ushirikiano katika sekta za ufugaji na kilimo ambapo nchi h...
28/02/2024

Ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia nchini Tanzania itaimarisha ushirikiano katika sekta za ufugaji na kilimo ambapo nchi hizi zinaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya mifugo na uzalishaji wa mazao k**a kahawa, chai, asali, mbogamboga na matunda Afrika.

Maeneo ya mkazo ni pamoja na kilimo cha umwagiliaji, matumizi ya teknolojia na mbegu bora na tafiti katika kilimo.

TANZANIA 🀝 ETHIOPIA Kati ya mwaka 2016 hadi 2023 marubani 75 na wahandisi 25 toka Tanzania wamepokea mafunzo kwa ngazi t...
28/02/2024

TANZANIA 🀝 ETHIOPIA

Kati ya mwaka 2016 hadi 2023 marubani 75 na wahandisi 25 toka Tanzania wamepokea mafunzo kwa ngazi tofauti nchini Ethiopia.

Ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia itafungua milango zaidi ya ushirikiano hasa wakati huu ambapo Serikali inaiimarisha ATCL ili ijiendeshe kibiashara.

Waziri Mkuu wa Ethiopia, Mheshimiwa Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa ya siku tatu nchini kuanzia...
28/02/2024

Waziri Mkuu wa Ethiopia, Mheshimiwa Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kufanya ziara ya kitaifa ya siku tatu nchini kuanzia Februari 29 hadi Machi 2, 2024 kwa mwaliko wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.

Lengo la ziara ni kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Ethiopia ulioasisiwa miaka 61 iliyopita.

 Matokeo yanaonekana kila kona ya nchi.
28/02/2024



Matokeo yanaonekana kila kona ya nchi.

Kijiji kwa Kijiji.Kazi Inaendelea.
28/02/2024

Kijiji kwa Kijiji.

Kazi Inaendelea.

28/02/2024

Uwekezaji unaokuza uchumi na kuzalisha ajira.

MATUNDA YA UWEKEZAJI MKUBWA KATIKA SEKTA YA AFYA CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN.Mapacha walioku...
28/02/2024

MATUNDA YA UWEKEZAJI MKUBWA KATIKA SEKTA YA AFYA CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN.

Mapacha waliokuwa wameungana wakatenganishwa katika Hospitali ya Rufaa Muhimbili wameruhusiwa kutoka hospitali wakiwa na afya njema.

27/02/2024



"Kwa dizaini hii tutazaa sana."

Maneno ya Salama Stadi akielezea kwa furaha huduma nzuri wanazopata wajawazito katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza (Sekou Toure).

27/02/2024

K**a mmoja wa waathirika wa Saratani, Babuu wa Kitaa amemshukuru na kumpongeza Mheshimiwa Rais kwa kuwezesha ununuzi wa mashine ya PET Scan inayowezesha saratani kutambulika mapema hivyo kuwa rahisi kwa mgonjwa kutibiwa na kupona.

27/02/2024

πŸ“Bandari Kavu ya Kwala, Pwani

Wengine wakiiona kuwa ni fursa ya kukuza biashara na nchi jirani, wakazi wa Kwala wanaiona ni mkombozi wao kiuchumi kwani imewapa ajira, barabara ya lami na inakuza biashara na mji wao.

π‡π€πŠπˆ ya kila mtoto kupata elimu bora inatekelezwa kwa vitendo na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.
27/02/2024

π‡π€πŠπˆ ya kila mtoto kupata elimu bora inatekelezwa kwa vitendo na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu.

27/02/2024



Mitaa inamuelewa, inamkubali.

Utalii unatoa fursa kwa jamii nzima, kuanzia dereva, mpishi, mhudumu na mfanyabiashara mdogo hadi mfanyabiashara mkubwa....
26/02/2024

Utalii unatoa fursa kwa jamii nzima, kuanzia dereva, mpishi, mhudumu na mfanyabiashara mdogo hadi mfanyabiashara mkubwa.

26/02/2024

π€π‡π€πƒπˆ π™πŽπ“π„ π™πˆππ€π“π„πŠπ„π‹π„π™π–π€

Uwezeshaji wachimbaji wadogo ni utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Mradi wetu.Kwa nguvu zetu.Kwa manufaa yetu.
26/02/2024

Mradi wetu.

Kwa nguvu zetu.

Kwa manufaa yetu.

26/02/2024



πˆπŒπ€ππˆ 𝐇𝐔𝐋𝐄𝐓𝐀 πŒπ€π“πŽπŠπ„πŽ πŒπ€π™π”π‘πˆ

Imani kwa kiongozi wao + Uongozi imara = Maendelelo kwa kila mwananchi.

26/02/2024

πŸ“ Hospitali ya Wilaya ya Handeni, Tanga

Ushuhuda wa wananchi unathibitisha kuwa si tu wanapata huduma bora, bali pia gharama na muda wa kufuata huduma vimepungua maradufu.

26/02/2024

πŸ“ Shule ya Sekondari ya Wasichana, Masasi

πŒπ€πŒπ€ amewafungulia ukurasa mpya.

πŒπ€πŒπ€ ni mtumishi wa Watanzania.Wasaidizi wake nao wanaiishi dhana hiyo kwa vitendo.
25/02/2024

πŒπ€πŒπ€ ni mtumishi wa Watanzania.

Wasaidizi wake nao wanaiishi dhana hiyo kwa vitendo.

Serikali ya vitendo na matokeo makubwa.πŸ‘ Rekodi kwenye idadi ya wataliiπŸ‘ Rekodi kwenye mapato ya utalii
25/02/2024

Serikali ya vitendo na matokeo makubwa.

πŸ‘ Rekodi kwenye idadi ya watalii

πŸ‘ Rekodi kwenye mapato ya utalii

25/02/2024

Mtendahaki ni Mungu pekee, lakini duniani wasimamia haki ni mahak**a, hivyo ni muhimu kuwa waadilifu.

25/02/2024

πŒπ€πŒπ€ ni kiongozi mwenye majawabu.

24/02/2024

𝐌𝐒𝐫𝐚𝐝𝐒 𝐲𝐚 𝐌𝐚𝐣𝐒 𝐊𝐒𝐣𝐒𝐣𝐒 𝐀𝐰𝐚 𝐊𝐒𝐣𝐒𝐣𝐒, 𝐌𝐭𝐚𝐚 𝐀𝐰𝐚 𝐌𝐭𝐚𝐚.

24/02/2024

zinafurahia πŒπ€ππ€πƒπˆπ‹πˆπŠπŽ sekta ya afya

Huduma walizozifuata mbali, kwa gharama kubwa, πŒπ€πŒπ€ amezifikisha karibu na makazi yao.

Address

Chamwino
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mama yuko Kazini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share


Other News & Media Websites in Dodoma

Show All