Campus Magazine

Campus Magazine Campus Mag ni Jarida la Wanafunzi,kutoka vyuo vikuu vyote Tanzania,ikiwa na lengo la kuburudisha,kuf

Leo ninategemea kutoa wimbo mzuri sana utakaofurahisha moyo wako wotee.Usikose kuusikiliza. Hutajuta kabisa๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ”ฅ๐ŸŽผ๐ŸŽผ๐ŸŽน๐ŸŽบ๐ŸŽท
20/05/2024

Leo ninategemea kutoa wimbo mzuri sana utakaofurahisha moyo wako wotee.Usikose kuusikiliza. Hutajuta kabisa๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ”ฅ๐ŸŽผ๐ŸŽผ๐ŸŽน๐ŸŽบ๐ŸŽท

Waelimishaji rika katika ngazi ya Jamii wakishirikiana vizuri na wauguzi pamoja na serikali, wana mchango mkubwa wa kuha...
17/05/2024

Waelimishaji rika katika ngazi ya Jamii wakishirikiana vizuri na wauguzi pamoja na serikali, wana mchango mkubwa wa kuhamasisha upatikanaji wa elimu na huduma salama za afya ya uzazi kwa wasichana waliopata ujauzito katika umri mdogo Gender Links Elimu Ya Afya Ummy Mwalimu Salama Foundation

Tunashauri kifungu cha 10C (2) kikaboreshwa na kuweka sharti kwamba sera ya jinsia na ujumuishwaji ya vyama vya siasa it...
04/01/2024

Tunashauri kifungu cha 10C (2) kikaboreshwa na kuweka sharti kwamba sera ya jinsia na ujumuishwaji ya vyama vya siasa itoe mwongozo wa uwakilishi katika vyombo vyake vya maamuzi kwa vijana wa kiume angalau 4, wanawake 4 na watu wenye ulemavu 2.

Tunapendekeza kwamba muswada wa Uchaguzi uweke ukomo wa muhula kwa udiwani na ubunge ili kuchochea ushiriki wa vijana na...
04/01/2024

Tunapendekeza kwamba muswada wa Uchaguzi uweke ukomo wa muhula kwa udiwani na ubunge ili kuchochea ushiriki wa vijana na kuleta ufanisi zaidi katika uwakilishi wa kisiasa.

Tunashauri marekebisho ya kifungu cha 9(2) aya (d) yafanyike ili kuruhusu uwepo wa Wajumbe wawili watakaoteuliwa na Rais...
03/01/2024

Tunashauri marekebisho ya kifungu cha 9(2) aya (d) yafanyike ili kuruhusu uwepo wa Wajumbe wawili watakaoteuliwa na Rais kwa kuzingatia jinsia na umri usiozidi miaka 35 ili kuongeza ushiriki wa kijana katika tume.

Vijana tunaona ni muhimu sifa za mtu anayeweza kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi ziwajumuishe ma afisa waandamizi katika sekta...
03/01/2024

Vijana tunaona ni muhimu sifa za mtu anayeweza kuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi ziwajumuishe ma afisa waandamizi katika sekta binafsi na sio katika utumishi wa Umma peke yake k**a ilivyo anishwa kwenye kifungu
18(2) aya (d)

Tunapendekeza muswada wa tume ya uchaguzi kurekebisha kifungu cha a 7(2) aya (d) ili kiruhusu Sifa nyingine za Wajumbe w...
01/01/2024

Tunapendekeza muswada wa tume ya uchaguzi kurekebisha kifungu cha a 7(2) aya (d) ili kiruhusu Sifa nyingine za Wajumbe wa Tume k**a vile jinsia na umri usiozidi miaka 35 wakati wa usaili ili kutoa fursa za ushiriki wa vijana katika tume

Vijana tunaona ni vyema kukawa namarekebisho madogo ya Katiba ya  ibara ya 67 iliumri wakugombea Ubunge na udiwani uwemi...
30/12/2023

Vijana tunaona ni vyema kukawa na
marekebisho madogo ya Katiba ya ibara ya 67 ili
umri wakugombea Ubunge na udiwani uwe
miaka 18 badala ya 21, k**a ilivyo kwa umri wa kuanza
kupiga kura ambao ni miaka 18.

Vijana tunapendekeza muswada wa uchaguzi kuwekaukomo wa muhula kwa udiwani na ubunge ilikuchochea ushiriki wa vijana na ...
29/12/2023

Vijana tunapendekeza muswada wa uchaguzi kuweka
ukomo wa muhula kwa udiwani na ubunge ili
kuchochea ushiriki wa vijana na kuleta ufanisi
zaidi katika uwakilishi wa kisiasa.

Ni Rai yetu Vijana, kwamba kanuni za matumizi ya Tekno-lojia zizingatie Uwazi na Uwaj-ibikaji katika chaguzi. Mf. kutoa ...
29/12/2023

Ni Rai yetu Vijana, kwamba kanuni za matumizi ya Tekno-
lojia zizingatie Uwazi na Uwaj-
ibikaji katika chaguzi. Mf. kutoa ajira kwa wa simamizi wa
uchaguzi na vibali vya uangalizi na
elimu ya mpiga kura, zoezi la kuch-
ukua na kurudisha fomu, ushiriki wa
mawakala na utangazaji wa matokeo.

Muswada ya marekebisho ya sheria  ya uchaguzi wa Rais,wabunge na Udiwani (2023) bado una nafasi ya kuongeza ushiriki mpa...
28/12/2023

Muswada ya marekebisho ya sheria ya uchaguzi wa Rais,wabunge na Udiwani (2023) bado una nafasi ya kuongeza ushiriki mpana wa vijana katika uongozi na utawala bora.Mabadiliko ni sasa

Vijana wachambuzi tunapendekeza kwamba Umri wa Kugombea Uraisuanzie miaka 35 badala ya 40.Hii itaimarisha na kuongeza us...
28/12/2023

Vijana wachambuzi tunapendekeza kwamba Umri wa Kugombea Urais
uanzie miaka 35 badala ya 40.Hii itaimarisha na kuongeza ushiriki wa vijana katika uongozi na siasa.

Vijana wachambuzi Tunapendekeza yafanyike marekebishomadogo ya Katiba ya Jamhuri yaMuu-ngano Ibara ya 39 na 67 ili kuing...
27/12/2023

Vijana wachambuzi Tunapendekeza yafanyike marekebisho
madogo ya Katiba ya Jamhuri yaMuu-
ngano Ibara ya 39 na 67 ili kuingiza utaratibu
wakuwezesha uwepo wa mgombea binafsi.

Vijana Tunapendekeza yafanyike marekebishomadogo ya Katiba ya  ibara za 66, na 67 ili Muswada wa uchaguzi uwezekutenga a...
27/12/2023

Vijana Tunapendekeza yafanyike marekebisho
madogo ya Katiba ya
ibara za 66, na 67 ili Muswada wa uchaguzi uweze
kutenga angalau kila Chama Cha siasa kiwe na 20% ya wagombea wake wa Ubunge na
Udiwani vijana wenye umri kati ya
miaka 18 na 35

Ili kuongeza ushiriki wa vijana katika uongozi,Tunapendekezayafanyike marekebisho madogo ya Katiba yaJMT ibara ya 66(1) ...
24/12/2023

Ili kuongeza ushiriki wa vijana katika uongozi,Tunapendekeza
yafanyike marekebisho madogo ya Katiba ya
JMT ibara ya 66(1) (e) ili
muswada wa sheria ya uchaguzi uzingatie nafasi za vijana katika teuzi 10 za Rais, kwa nafasi ya ubunge, angalau 2 ziwe za vijana wakike na kiume
wenye umri kati ya 18 na 35.

Tunapendekeza kuwa muswada wa sheria ya uchaguzi 2023 uweke kifungu mahususi juu ya mfuko wafedha za kusaidia uendeshaji...
24/12/2023

Tunapendekeza kuwa muswada wa sheria ya uchaguzi 2023 uweke kifungu mahususi juu ya mfuko wa
fedha za kusaidia uendeshaji wa kampeni
za wagombea vijana kati ya umri wa miaka
18 - 35 ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu kat-
ika kampeni za uchaguzi.

Je uko tayari kusikiliza mapendekezo ya vijana kuhusu Muswada wa  marekebisho ya sheria ya uchaguzi wa Rais,wanbunge na ...
23/12/2023

Je uko tayari kusikiliza mapendekezo ya vijana kuhusu Muswada wa marekebisho ya sheria ya uchaguzi wa Rais,wanbunge na madiwani 2023? .Tufuatilie kupitia

Asi-limia 60 ya vijana waliotoa maoni  wanapendekeza kuwaumri wakugombea nafasi ya uongozi uwesambamba katikaKatiba ya N...
20/12/2023

Asi-
limia 60 ya vijana waliotoa maoni wanapendekeza kuwa
umri wakugombea nafasi ya uongozi uwe
sambamba katikaKatiba ya Nchi na Sheria
za Uchaguzi na Ile ya vyamavya siasa, na
umri uwe ni miaka 18.

76% ya vijana waliotoa maoni, wanashauri kuwa umri wa kugombea Urais upunguzwe mpaka miaka 35 ili Katiba ya Nchi iwe sam...
18/12/2023

76% ya vijana waliotoa
maoni, wanashauri kuwa umri wa kugombea Urais
upunguzwe mpaka miaka 35 ili Katiba ya Nchi iwe
sambamba na tamko la Sera ya Maendeleo ya Vijana
inayomtambua kijana kwa umri wa miaka 15-35.

  (Youth Reform Analysts) earlier today made a submission of youth-lens analysis of 3 Bills on political and electoral r...
18/12/2023

(Youth Reform Analysts) earlier today made a submission of youth-lens analysis of 3 Bills on political and electoral reforms at Head Quarters of in Dodoma.

87% ya vijana walipendekeza kuwa yakitokea mabadiliko ya Katiba ya JMT, na Sheria ya Uchaguzi, basi kuwepo na kifungu ki...
18/12/2023

87% ya vijana
walipendekeza kuwa yakitokea mabadiliko ya Katiba ya
JMT, na Sheria ya Uchaguzi, basi kuwepo na kifungu
kitakachoruhusu uwepo wa mgombea binafsi ili kukuza
ushiriki wa vijana katika chaguzi za Mitaa,
Madiwani na wabunge

91% ya vijana wanapendekeza kuwa yakitokea mabadiliko ya sheria ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa, Sheria iweke sharti kwa ...
16/12/2023

91% ya
vijana wanapendekeza kuwa
yakitokea mabadiliko ya sheria ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa, Sheria iweke sharti kwa vyama vya siasa kuweka asilimia kadhaa ya wagombea vijana katika chaguzi za serikali za mitaa
Madiwani na Wabunge

Asilimia 90 ya vijana wa kitanzaniawanapendekeza kuwa Serikali ipunguze au kuondoa kabisa gharama za kuchukua fomu za ku...
15/12/2023

Asilimia 90 ya vijana wa kitanzania
wanapendekeza kuwa Serikali ipunguze au kuondoa
kabisa gharama za kuchukua fomu za kugombea nafasi
za uongozi (Ubunge, Udiwani n.k)

Asilimia 97 ya vijana waliotoa maoni wanapendekeza Serikali kuandaa Bajeti au mfuko  maalumu wa kuwezesha vijana kushiri...
15/12/2023

Asilimia 97 ya vijana
waliotoa maoni wanapendekeza Serikali kuandaa Bajeti
au mfuko maalumu wa kuwezesha vijana kushiriki
kwenye uchaguzi.(Vijana wachambuzi,2023)

Karibuni wote tushiriki pamoja katika Jicho la vijana linalohusu Miswaada ya marekebisho ya sheria ya uchaguzi wa Rais,w...
14/12/2023

Karibuni wote tushiriki pamoja katika Jicho la vijana linalohusu Miswaada ya marekebisho ya sheria ya uchaguzi wa Rais,wabunge na Madiwani, Tume ya Taifa ya uchaguzi pamoja na ule wa Vyama vya siasa.

Earlier today i submitted my very own beautifull song Bila wewe Yesu -Without you Jesus (A zouk Gospel with Saxaphone) t...
07/12/2023

Earlier today i submitted my very own beautifull song Bila wewe Yesu -Without you Jesus (A zouk Gospel with Saxaphone) to Tracetv East Africa to seek for airtime opportunity.I hope for the best. VIDEO Link on my BIO

The Video is Out NowNinakukaribisha kutazama Video ya wimbo wangu wa kwanza   wewe Yesu     wenye ujumbe wa kupooza mioy...
05/12/2023

The Video is Out Now

Ninakukaribisha kutazama Video ya wimbo wangu wa kwanza wewe Yesu wenye ujumbe wa kupooza mioyo yetu na kumshukuru mungu kwa kila jambo. Imekua ni jambo jema sana kuendelea kumtukuza mungu wetu kwa kila siku na kwa kila jambo.Video hii inapatikana kupitia youtube na mitandamo mingine yote ya kijamii
https://www.youtube.com/watch?v=p1_ZiSji3z4

Tunakumbusha kuharakisha mchakato wa mabadiliko ya sheria ya ndoa ili kupunguza na kutokomeza ukatili wa ndoa za utotoni...
25/11/2023

Tunakumbusha kuharakisha mchakato wa mabadiliko ya sheria ya ndoa ili kupunguza na kutokomeza ukatili wa ndoa za utotoni.

We mitigate and prevent Gender based violence by engaging young mothers and strengtherning Sexual and reproductive healt...
25/11/2023

We mitigate and prevent Gender based violence by engaging young mothers and strengtherning Sexual and reproductive health so that they can have an informed choice about their life

Address

Dar Es Salam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Campus Magazine posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Campus Magazine:

Share

Category


Other Magazines in Dar es Salam

Show All

You may also like