TrendHive

TrendHive **Welcome to TrendHive** ��

Dive into the buzz of the latest trends and hottest topics!

AHMED ALLY AMETUMIWA DEMAND LETTER YA FIDIA YA BILLION 10 KUTOKA YANGA.Meneja Habari wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally ametu...
03/12/2024

AHMED ALLY AMETUMIWA DEMAND LETTER YA FIDIA YA BILLION 10 KUTOKA YANGA.

Meneja Habari wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally ametumiwa barua ya madai kutoka Yanga ambapo anapaswa kulipa BILLION 10 za Kitanzania kwa klabu ya Yanga kutokana na makosa yafuatayo.

1- PACOME alisema anamaliza kandarasi yake ndani ya Yanga na Simba wanatazama namna ya kumsajili na kuna kauli za ukakasi alizungumza ambazo zimeharibu brand ya Yanga kwa wabia wake.

2- TUHUMA ZA UCHAWI, ameombaa kuthibitisha namna gani Yanga ni Wachawi kwa maana hawajawahi kupewa adhabu yoyote na Bodi kuhusu Uchawi, akishindwa kuthibitisha tuhuma hizo basi mzigo ulipwe.

Kwa taarifa zilizopo ni kuwa tayari Simba wameipokea barua hiyo.

Takribani siku tano zimepita tangu Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania kutangaza kubadilisha jina na kuanza kutumia ...
03/12/2024

Takribani siku tano zimepita tangu Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania kutangaza kubadilisha jina na kuanza kutumia jina la “YAS” k**a jina lake jipya huku Huduma zikiendelea kubaki vilevile.

Je, umekua ukijiuliza neno “YAS” linamaanisha nini? Taarifa rasmi kutoka Kampuni hiyo zinaeleza kwamba neno “YAS” limetoholewa katika neno “YES” linalomaanisha “NDIO” kwa lugha ya kiswahili likiwa na hisia chanya zinazoashiria matumaini mapya.

“Jina la “Yas” linabeba maana kubwa ya kile tunachoamini k**a chapa; wote tunasema “Ndio” kuwezesha kila mmoja wetu kuchangamkia fursa zisizo na kikomo katika ulimwengu wa kidigitali” Taarifa hiyo imeeleza.

Data collector JobsGet rewards by answering daily tasks from our surveyorsThanks me later🙂
03/12/2024

Data collector Jobs
Get rewards by answering daily tasks from our surveyors
Thanks me later🙂

Mambo kadha kuhusu cyber Truck hii !Hii gari haikuanzishwa na Elon mask ila ilianzishwa na watu wawili ambao walikuwa wa...
03/12/2024

Mambo kadha kuhusu cyber Truck hii !

Hii gari haikuanzishwa na Elon mask ila ilianzishwa na watu wawili ambao walikuwa wameanzisha kampuni inaitwa Tesla >

Kampuni hii ilikuwa inadeal na uzalishaji wa panel za sola na mabetri ! Elon akajiunga nao kati ya mwaka 2004 na kumbuka ilikuwa mwezi wa kwanza.

Ndipo wakaja na wazo la kuanziasha magari yanatumia umeme wa betri ambalo litachajiwa hapa ndipo likapatikana wazo la gari hii.

Sifa ya gari hili :
- Likija Tanzania kuna uwezekano mkubwa kisifanye kazi ipasavyo sababu bado Geographia ya Mapping hakuna, (google map poor source)

- Gari hii inakinga ya risasi.
- Gari hii kwa umeme wa Tanzania itajaa ila betri zake zitawahi kuharibika mapema.
- Gari hii inafaha kutumika kwa barabara za chini zaidi, zisizokuwa na matuta.
- Gari hii kuimiriki mpya unahitaji uwe na Billioni 2 hapo unapata mpya ila jumlisha na ushuru hadi Tanzania itakuwa k**a Billion 2 na 500M hivi.
- Ukiwa na gari hii ukigongwa na gari unalipwa na ukimgonga unalipwa mara 2 zaidi.
- Gari hii inaweza kuzimwa isifanye kazi k**a itazimwa kwenye mfumo wake kule kiwandani na kuifanya gari hili lisitembea wala kuwaka.

Duuuuh na Bado wakak**atwa
24/11/2024

Duuuuh na Bado wakak**atwa

DAR-ES-SALAAM: BENKI Kuu ya Tanzania (BOT) imetoa orodha ya Majukwaa na Programu Tumizi ‘Applications 69 zinazojihusisha...
21/11/2024

DAR-ES-SALAAM: BENKI Kuu ya Tanzania (BOT) imetoa orodha ya Majukwaa na Programu Tumizi ‘Applications 69 zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka BOT.

Katika taarifa iliyotoa kwa umma, BOT imesema majukwaa na programu hizo hazijakidhi matakwa ya Mwongozo kwa Watoa Huduma Ndogo za Fedha wa Daraja la Pili wanaotoa huduma za mikopo kwa njia ya kidijitali wa mwaka 2024 walioutoa Agosti 27 mwaka huu (Guidance Note on Digital Lenders Under Tier 2 Microfinance Service Providers, 2024).

“Mwongozo huo unalenga kuimarisha usimamizi wa Watoa Huduma Ndogo za Fedha Daraja la Pili nchini na kuhakikisha uzingatiwaji wa Kanuni za Kumlinda Mlaji wa Huduma za Fedha, ikijumuisha uwazi, uwekaji wa tozo na riba, njia za ukusanyaji wa madeni, na utunzaji wa taarifa binafsi za wateja na kulinda faragha zao,” imeeleza taarifa hiyo.

Orodha ya applications hizo ni k**a zinavyooneshwa hapo juu. Taarifa kamili tembelea https://habarileo.co.tz/

🟩🟨⬛️MBUNIFU WA JEZI ZA YANGA SC, SHERIA NGOWI.🔰...Wananchi, huyu ndiye mbunifu wa jezi zetu yaani huyu ndiye anayeamua m...
21/11/2024

🟩🟨⬛️MBUNIFU WA JEZI ZA YANGA SC, SHERIA NGOWI.

🔰...Wananchi, huyu ndiye mbunifu wa jezi zetu yaani huyu ndiye anayeamua mtokeje? Mpendeze vipi? Kazi yake si mnaiona lakini?🔥🔥🔥🔥🔥

🔰...Hebu tazama kazi yake, iko hapa👇
https://youtu.be/Ez2ja1NDEgU?si=PnbEiXwPfDUKvErw

Jackie Chan   vs   Jet Li
21/11/2024

Jackie Chan vs Jet Li

Fridah Kajala mume wake wa kwanza P Funk Majani na mtoto Paula
21/11/2024

Fridah Kajala mume wake wa kwanza P Funk Majani na mtoto Paula

Staa DiamondPlatnumz aikaribia tuzo YouTube ya 'Diamond PlayButton' inayotolewa kwa chaneli zinazofikisha au kupata subs...
19/11/2024

Staa DiamondPlatnumz aikaribia tuzo YouTube ya 'Diamond Play
Button' inayotolewa kwa chaneli zinazofikisha au kupata subscribers milioni 10, na ni alama ya mafanikio makubwa kwenye dunia hii ya digitali.....
Staa DiamondPlatnumz akiwa na subscribers milioni 9.49, yupo ukingoni kufikia hatua hii ya kihistoria....
Ambapo mafanikio haya yatamweka kwenye nafasi ya kipekee sio tu ndani ya Tanzania au Afrika Mashariki, bali pia kimataifa, ambapo wasanii watatu tu wa Kiafrika wameweza kufikia kiwango hiki kwenye YouTube....

Mbwana Samatta is a Tanzanian professional footballer who plays as a striker for PAOK in Greece and captains the Tanzani...
18/11/2024

Mbwana Samatta is a Tanzanian professional footballer who plays as a striker for PAOK in Greece and captains the Tanzania national team[43dcd9a7-70db-4a1f-b0ae-981daa162054](https://en.wikipedia.org/wiki/Mbwana_Samatta?citationMarker=43dcd9a7-70db-4a1f-b0ae-981daa162054 "1"). Born on December 23, 1992, in Dar es Salaam, he has had a successful career, playing for clubs like Simba SC, TP Mazembe, Genk, Aston Villa, Fenerbahçe, and Antwerp[43dcd9a7-70db-4a1f-b0ae-981daa162054](https://en.wikipedia.org/wiki/Mbwana_Samatta?citationMarker=43dcd9a7-70db-4a1f-b0ae-981daa162054 "1").

He is known for his speed, skill, and goal-scoring ability[43dcd9a7-70db-4a1f-b0ae-981daa162054](https://www.thecitizen.co.tz/tanzania/sports/samatta-msuva-ready-for-stars-crucial-afcon-duels-4820384?citationMarker=43dcd9a7-70db-4a1f-b0ae-981daa162054 "2"). Samatta has also made a significant impact on the international stage, representing Tanzania in numerous impacts.

Mbwana Samatta is one of the most prominent football players from Tanzania. Here are some key highlights of his career:

1. **Simba SC**: Samatta began his professional career with Simba SC, one of the biggest clubs in Tanzania, where he showcased his talent as a prolific goalscorer.
2. **TP Mazembe**: In 2011, he moved to TP Mazembe in Congo. At TP Mazembe, he made a significant impact, scoring crucial goals and helping the club win several trophies, including the CAF Champions League.
3. **Genk**: In 2016, Samatta moved to Europe to join KRC Genk in Belgium. He enjoyed a successful spell at Genk, becoming the club’s top scorer and helping them win the Belgian First Division A in the 2018-2019 season.
4. **Aston Villa**: In 2020, Samatta joined Aston Villa in the English Premier League, becoming the first Tanzanian to play in the league.
5. **Fenerbahçe**: After his stint with Aston Villa, he moved to Fenerbahçe in Turkey on loan, and later the deal became permanent.
6. **PAOK**: Currently, Samatta plays for PAOK in Greece.

Justin Bieber  vs  Davido
18/11/2024

Justin Bieber vs Davido

Ali  kiba   vs   Diamond Platnumz
17/11/2024

Ali kiba vs Diamond Platnumz

Muhammadu Buhari  x  Bola Ahmed Tinubu
17/11/2024

Muhammadu Buhari x Bola Ahmed Tinubu

Moana: The Movie Watch: https://movies.autodailyz.com/2239/ Live Action | Teaser Trailer (2025) The live-action adaptati...
17/11/2024

Moana: The Movie
Watch: https://movies.autodailyz.com/2239/

Live Action | Teaser Trailer (2025)
The live-action adaptation of Disney's beloved animated classic, Moana, has generated a lot of excitement with the release of its teaser trailer. Set to capture the essence of the original while bringing a fresh visual experience, this film promises to take audiences on a new adventure across the vast ocean.The teaser begins with sweeping shots of breathtaking landscapes that evoke the stunning beauty of the Polynesian islands. The vibrant colors and lush environments are reminiscent of the animated film, yet the live-action format adds a tangible realism that enhances the story's emotional depth.
The music, a signature element of Moana, plays a central role in the teaser. It features a blend of familiar melodies and new arrangements, stirring nostalgia while also enticing audiences with fresh sounds. This connection to the original score, coupled with striking visuals, sets a captivating tone for the movie.
In the teaser, we get glimpses of Moana, portrayed by a talented young actress, showcasing her adventurous spirit and determination. The interaction between Moana and Maui, played by a charismatic actor known for his ability to blend humor and strength, hints at the chemistry that will be crucial for the film’s success. The dynamic between the two characters appears both fun and engaging, promising a heartwarming journey of friendship and self-discovery.
As the release date approaches, anticipation continues to build. The teaser successfully piques interest, hinting at a visually stunning and emotionally resonant adventure that will likely appeal to audiences of all ages.Overall, the teaser trailer for Moana: The Movie - Live Action promises a fresh take on a cherished classic, and it will be exciting to see how this adaptation unfolds when it hits theaters in 2025.

Diamond Platnumz  vs  Makhadzi
17/11/2024

Diamond Platnumz vs Makhadzi

Jack Paul   vs   Mike Tyson
17/11/2024

Jack Paul vs Mike Tyson

Vin Diesel   vs  Jason Statham
17/11/2024

Vin Diesel vs Jason Statham

Address

Dar Es Salaam/
Dar Es Salaam
000000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TrendHive posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share