Tanzania Classic Media

Tanzania Classic  Media Page hii ni kwa ajili ya watembeleaji na wafuatiliaji wa mtandao wa Tanzania Classic.

Judea Limited magazine  kutoka Tanzania Classic  Media  ya Judea Limited inahusika na kusaidia watu wanaotaka kuwekeza k...
25/08/2024

Judea Limited magazine kutoka Tanzania Classic Media
ya Judea Limited inahusika na kusaidia watu wanaotaka kuwekeza kwenye afya nchini Tanzania
ya Judea Limited inakusaidia kukuandalia michoro ya maabara , hospital, zahanati nk
inakusaidia kukupa ushauri kabla ya kuwekeza kwenye afya .
inakusaidia kukufanya usajili wa hospitali, zahanati, kituo Cha Afya nk..
hii inaongozwa na Dr Kitapondya Deus

  project...Magazine ya Kilimpendeza shop ambayo imetengenezwa na Tanzania Classic  Media  shop  ni Mabingwa wa kuuza pa...
25/08/2024

project...
Magazine ya Kilimpendeza shop ambayo imetengenezwa na Tanzania Classic Media
shop ni Mabingwa wa kuuza pamba kali jijini Dar es Salaam.

Kwa kuuza mavazi bora Kwa Bei nafuu..
jeans kali, mashati makali,gauni,suti, T-shirt cardet nk
kuwasiliana nao Kwa simu
0710 613338
0783 246893
kufika dukani kwao Bunju "B"
James Lucas Omahe

By Respicius F Mtakyawa  k**a balozi wa   Ghost Outpouring Global Assembly Leo jumamosi saa saba mchana  tutakuwa na maf...
08/06/2024

By Respicius F Mtakyawa
k**a balozi wa Ghost Outpouring Global Assembly Leo jumamosi saa saba mchana tutakuwa na mafunzo maalumu yatakayo endeshwa na Apostle Apostle Atm Johnson kutoka USA ambaye anaishi Uk....
haya yataendeshwa kupitia zoom video ..
mafunzo haya ni Bure kabisa .....
yanaitwa Kingdom Empowerment unapewa maarifa ya maisha ,mfano biashara, ujasiriamali kupitia Biblia.
jiungeni na mafunzo haya maana hiii ndio njia moja wapo ya kutengeneza ya network....
k**a unataka kujiunga wasiliana nami kupitia Whatsapp +255755 515906 upate link

Pata notebook & diary yenye picha yako picha binafsi kutoka Tanzania Classic  MediaWasiliana nasi kwa WhatsApp +255755 5...
14/04/2024

Pata notebook & diary yenye picha yako picha binafsi kutoka Tanzania Classic Media
Wasiliana nasi kwa WhatsApp +255755 515906...
Piga simu 0755 515906
Unaweza kufika ofisini kwetu Kariakoo mtaa wa Jangwani..

Address

Msasani Near CCBRT Macho
Dar Es Salaam
14111

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Classic Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania Classic Media:

Videos

Share


Other News & Media Websites in Dar es Salaam

Show All

You may also like