Kijana With A Plan
- Home
- Tanzania
- Dar es Salaam
- Kijana With A Plan
Fursa mbalimbali kwa vijana zipatikanazo katika sekta mbalimbali mfano Uchumi, Elimu, Ajira, Michezo, Kilimo, Ufugaji, Sanaa, Habari na Mitaji.
(1)
Address
Mikocheni B, Kanisani Road
Dar Es Salaam
255
Website
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Kijana With A Plan posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Shortcuts
Category
The future is youth
Karibu katika ukurasa wetu wa Kijana With A Plan. Ukurasa wetu ni mahususi kwa vijana wa kitanzania kupatiwa habari kuhusu fursa mbalimbali zinazojitokeza hapa nchini na nje ya nchi kupitia mashirika mbalimbali. Fursa hizo kwa vijana pamoja na Udhamini katika Elimu nje ya nchi (Scholarships), Ajira na Kujitolea, Kilimo, Ufugaji,Sanaa na Mitaji kwa Wazo la Biashara.