Tazama Line

Tazama Line Habari mchanganyiko

Tunasherekea sikukuu tukiwa shambani
08/08/2024

Tunasherekea sikukuu tukiwa shambani

31/12/2023

Jamani kuna viumbe vina maumbo makubwa. Ebu tazama Tofauti ya Bata na Bata Bukini kupitia video hii.

23/12/2023

Madhara ya mvua zinazoendelea kunyesha yamezidi kuongezeka sehemu hadi sehemu.Eneo hili maji ya mvua yamebomoa karvati na kusimamisha shughuri ya usafirishaj...

23/12/2023

Mtindo wa kulima kwa kuchanganya mazao kwa lugha nyingine ujulikan k**a Shamba mseto.Katika shamba mseto unaweza kupanda mazao zaidi ya moja, ila unatkiwa ku...

21/12/2023

ukiwa na shamba raha sana. fatilia Story kidogo na mkulima shambani eneo la cheta kwa Saimon.

06/12/2023

Kuna baadhi ya mazao aya yasipopata nafasi ya kupaliliwa bado mavuno yake huwa ya kawada. Mfano wa mazao hayo nipamoja na Mihogo, Ndizi, Parachichi nk.

30/11/2023

Kuku ni wengi ila kati yao kuku aina ya Kuchi ni wachache zaidi. Tofauti ya kuchi na kuku wa kawaida

15/08/2023

Kuna kilimo na kilimo bora tena cha kisasa, ungana nami leo na ujifunze mengi zaidi juu ya kilimo cha zamani na kilimo cha drip au matone.

06/08/2023

Moja kati ya maeneo mazuri na yenye uturivu wa hali ya juu. Na hii ndio Home Pub and Lodges.Umewai kuiona hii? itazame kupitia hapa

17/07/2023

Kilimo bila changamoto icho bado sio kilimo, ila sasa leo tujifunze jinsi ya kupunguza izo baadhi ya changamoto za kilimo. Jinsi ya kutibu ugonjwa wa ukungu....

17/07/2023

Tazama jinsi nyoka wanayo anzishaga familia zao. Huu ni utarii tosha maana nilikuwa live msituni nikiwachukua video hii. Jinsi nyoka wanavyo anzisha familia....

16/07/2023

Drip irrigation ni mfumo unao rahisisha sana ufanisi wa kazi za kilimo kwa asilimia 100%Kilimo cha Pilipili hoho kutumia Drip Irrigation, tangu nianze kutumi...

02/07/2023

World Amaizing, Spider catch wild bird

30/06/2023

Bila mborea hakuna miche bora kitaruni. Uwekaji mbolea kwenye kitaru cha Pilipili hoho

19/06/2023

Ufugaji wa bata. Bata anatakiwa kutunzwa namna hii

31/05/2023

Nyanya ni nyanyue, nyanya ni nyanyase.Jinsi ya kutibu ugonjwa wa Nyanya kuoza chini kabla ya kukomaa.

29/05/2023

Wakulima kulogana kisa mkulima mmoja kapata mazao mengi na mwingine kakosa. Tazama kisa cha wakulima hawa wawili mwanzo mpaka mwisho kupitia hapahapa kwenye ...

25/05/2023

Kilimo cha Matikiti maji ni rahisi sana kukifanya endapo utazingatia mahitaji ya miche yako.miche inapofikisha siku 14 weka mborea ya Urea, endelea kumwagili...

25/05/2023
14/05/2023

Mifugo inasaidia sana kiukweli, siku moja niliwahi kukwama ila kuku wangu ndio waliniokoa siku iyo.kwaiyo nakushauri ata wewe jenga tabia ya kufuga kuku ata ...

11/05/2023

Kilimo cha mbogamboga na matunda ni mkombozi wa vijana kwa wazee, kinafaa kulimwa kwa wingi zaidi ili tuweze kunufaika nacho.

28/04/2023

Nyumba, barabara, mazao pamoja na baadhi ya mifugo vimeadhiriwa na mvua zinazo endelea kunyesha kipindi hiki.Mvua ya masaa matatu yaacha madhara makubwa.

06/04/2023

Watu wengi wanapenda kufanya vilimo lakini sio kilimo cha Minazi ya mda mfupi

Elimu haina mwisho,Jifunze au mfundishe mwanao hesabu za kuzidisha kwakutumia njia rahisi sana.👇
26/03/2023

Elimu haina mwisho,
Jifunze au mfundishe mwanao hesabu za kuzidisha kwakutumia njia rahisi sana.👇

Hii ni kwa yeyote anayesumbuliwa na hesabu za kuzidisha. Sasa kuanzia leo Jifunze hesabu za kuzidisha kirahisi kabisa.Formula hii inatumika kuzidisha kila ai...

13/03/2023

Nyumba hii ipo Mbagala Charambe Magengeni.Nyumba ina:1. Frems (2)2. Vyumba (22)3. Siting room (1)4. Dining room (1)5. Umeme unawaka Ukubwa wa eneo:1. Ure...

Hii ni kwa wanawake wote wanao penda wanaume wenye pesa. K**a unamtaka mwanaume mwenye pesa tafuta zako kwanza alafu uyo...
11/03/2023

Hii ni kwa wanawake wote wanao penda wanaume wenye pesa. K**a unamtaka mwanaume mwenye pesa tafuta zako kwanza alafu uyo mwanaume mtakutana benk. 👇👇

Lima kisasa ujikomboe kimaisha.

10/03/2023

Kulima mbogamboga ni muhimu sana kuliko vile unavyodhania. Mfano wa leo nataka ujifunze Jinsi ya kulima Chainizi.

WANAWAKE OYEEEEEEEEE !!!!!!Kwanza kabisa, Nichukue nafasi hii kumshukuru sana Mungu kutufikisha siku ya leo.Kwa majina n...
08/03/2023

WANAWAKE OYEEEEEEEEE !!!!!!
Kwanza kabisa, Nichukue nafasi hii kumshukuru sana Mungu kutufikisha siku ya leo.

Kwa majina naitwa Mutalemwa Onesmo ni baba, pia ni mmiriki wa
Mini Farm Program (MFP).
👇👇👇 👇👇
https://youtube.com/channel/UCLZZoasH0mHfNnGwqusqrWg

Leo ikiwa ni siku ya wanawake duniani. Nampongeza sana Mama yangu mzazi pamoja na mke wangu Vaileth Michael (Markia wangu wa nguvu, shujaa na mpambanaji) kwakuwa na moyo wa uvumilivu na wakuridhika na kikubwa au kidogo tunacho kipata kwenye maisha yetu.

Mbali ya changamoto mnazozipitia wanawake, itoshe kusema kwamba mnaweza. Na pale mnapoona mambo hayako sawa pazeni sauti msikae kimya, na sisi wanaume tupo tayari kuwaunga mkono kuakikisha haki, usawa na amani vinapatikana. Wanawake oyeeee!!!!.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tazama Line posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share

Category


Other Magazines in Dar es Salaam

Show All