Ili mradi tu akukorofishe umpige😁😁😁😁
#tanzania #comedian #kenya #daressalam #arusha #mbeya
Nauwa mtoto wamtu Leo, lakini jack sio kwamtama huo jamani yani kama upo kwenye fainali dakika ya mwisho umeambiwa upige penati , haya mambo haya!! acha tu ntakuotea tu siku moja kama mwenzio
Yani mtu unaacha kumsaidia mtoto unarekodi haki tena sijui ningefanyaje ningekuwa eneo la tukio na nguvu za ziada mungu angeniongezea💪🏻💪🏻 ,
Dunia inaenda kasi sana nahizi smartphone📱📲
Pole sana Mama Janeth magufuli
Kweli tume ona Baba 😢🙏🙏🙏 Pumzika kwa Amani my President
Kweli baba tuta kukumbuka😭😭😭🙏P.I.P
Daaah , na wish iwe ndoto jamani , jembe letu limeenda .
Watu wazuri hawadumu nimeamini
Pumnzika kwa Amani baba yetu R.I.P maguli
#magufuli
Jamani tabu anaomba msaada huku @tabumtingita
Mr romantic , Albert bwana
@mlilo_tz haikufuma
Hahaha mambo ya kubebwa
@michaelmdson @michaelmdson @michaelmdson
Ingia kwenye bio kuiangalia I'm sorry my wife (nisamehe mke wangu)part 01
Asante sanaaa @michaelmdson
Kwa support
Kama haujaitizama Nisamehe mke wangu(I'm sorry my wife) part 1 .
Nimeisha iweka link kwenye bio
Au ingia YouTube au google kisha search
#nisamehemkewangu #bongomovies #pain #script #director #relationships #upendo #enjoy #enjoylife
Yanga mchukueni shabiki yenu huku
#yanga
#michezo
#yangawhatsapp_makaomakuu
#yangasc
Naona mume wangu umeanza kuwa.......
Sisemi tena ohoo,
Itakuwepo kwenye BLCent app...
@michaelmdson @kamba_boy_tz @rojarakaponda
#bongotrendings #mumewangu #nisamehemkewangu #i'msorrymywife
Kuna wakati inabidi ulazimishe kufikia lengo bila kujali unapitia nini au umeumizwa kiasi gani
NDANI YA WIKI inakuja hivi karibuniii
Asante
#kambaboytz
#mtupori
Na wote mnao endelea kusongesha gurudumu
#ndaniyawiki #wasafi #movie #moviescenes #movienight
😂😂😂😂
Wanakimbia jomoniii
#funnyvideos #fitness #followforfollowback