BedroomMarathontz

BedroomMarathontz Tunawasaidia Wanaume Walio Oa Kumaliza Tatizo la Kuwahi Kufika Kileleni na Kushindwa Kurudia Tendo

07/06/2024

๐—๐—œ๐—ก๐—ฆ๐—œ ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—”๐—–๐—›๐—” ๐—ฃ๐—จ๐—ก๐—ฌ๐—˜๐—ง๐—ข:

Punyeto ni tabia k**a zilivyo tabia nyingine k**a kunywa pombe,kubeti nk ambayo unaweza kuianza na kuendelea nayo au kuiacha.

Kutokana na madhara yake nimeona nikupe mbinu hizi namna ya kuacha tabia hiyo.

๐Ÿญ. ๐—”๐—–๐—›๐—” ๐—ž๐—จ๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—” ๐—ฃ๐—ข๐—ฅ๐—ก
-Hizi ni video ambazo zimekua chanzo kikubwa cha punyeto kwa watu wengi kinachotokea ni kwamba zinajenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio nafuu yako.

*๐Ÿฏ: ๐——๐—›๐—”๐— ๐—œRIA ๐—ž๐—จ๐—ง๐—ข๐—”๐—ก๐—š๐—”๐—Ÿ๐—œ๐—” ๐—ฃ๐—ข๐—ฅ๐—ก*:
-Bafuni ndio sehemu ambayo hutumika sana na watu wengi kupiga punyeto,namna ya kujizuia kupiga punyeto ukiwa bafuni fanya hivi

Oga haraka haraka,

-Oga maji ya baridi

Jizuie kuchezea uume wako kwa sabuni

๐Ÿฏ. ๐—จ๐—ฆ๐—œ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐——๐—˜ ๐—ž๐—จ๐—ž๐—”๐—” ๐—ฃ๐—˜๐—ž๐—˜๐—˜ ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข ๐—ก๐—ฌ๐—จ๐— ๐—•๐—”๐—ก๐—œ:
-Mara nyingi kukaa peke yako kunakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, jichanganye na watu wengine,piga stori za mambo mengine.

๐Ÿฐ. ๐—”๐—–๐—›๐—” ๐—œ๐—Ÿ๐—˜ ๐—ง๐—”๐—•๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—จ๐—ฃ๐—œ๐—š๐—” ๐—–๐—›๐—” ๐— ๐—ช๐—œ๐—ฆ๐—›๐—ข:
-Siku zote wapiga punyeto wana akili moja ya kufikiria eti sasa leo napiga afu sirudii tena. Hicho kitu hakipo, kwani kesho yake utasema hivyohivyo, k**a unaacha acha mara moja.

๐Ÿฑ. ๐—ง๐—”๐—™๐—จ๐—ง๐—” ๐— ๐—ฃ๐—˜๐—ก๐—ญ๐—œ:
-Ukiwa na mpenzi itakusaidia unapokua na hamu badala ya kujichua basi unakua naye hivyo itakupunguzia ile hali ya kutaka kujichua kila mara.

๐Ÿฒ. ๐—ž๐—จ๐—” ๐—•๐—œ๐—ญ๐—˜:
-Hii itakufanya uwe bize na mambo mengine pia mazoezi ya jioni yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga punyeto wakati wa kwenda kulala.

๐Ÿณ. ๐—ž๐—จ๐— ๐—•๐—จ๐—ž๐—” ๐— ๐—”๐——๐—›๐—”๐—ฅ๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—˜:
-Punyeto ina madhara mabaya kila mpiga punyeto hua anayapata muda huo huo k**a uchovu mkubwa, kuumwa kichwa na kusahau sana hii itakupa moyo wa kuacha kupiga punyeto.

๐—ž๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐˜๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฝ๐˜‚๐—ป๐˜†๐—ฒ๐˜๐—ผ ๐˜€๐˜‚l๐˜‚๐—ต๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ผ ๐—น๐—ถ๐—ฝ๐—ผ.

*๐—ก๐—ถ๐—ฝ๐—ถ๐—ด๐—ถ๐—ฒ ๐—บ๐˜‚๐—ฑ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ถ๐—ธ๐˜‚๐˜€๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ๐—ฒ au Whatsapp +255 620 383 672*

* ***mcount *

24/05/2024

Imekuwa kawaida kwasasa Wanaume wengi kunyamazia madhaifu hata pindi wanaposhindwa kufanya vizuri tendo la Ndoa wakiwa na wenza wao.

Lakini kwa Dunia ya sasa ni jambo lisilovumilika hasa upande wa pili kwa Mwanamke pale unaposhindwa kumtimizia haja za mwili wake na kupelekea kuchepuka nje ya Ndoa ili apate kutimiziwa haja zake za kimwili na Mwanaume mwingine.

CHUKUA UAMZI LEO UPATE TIBA NA SULUHISHO LA KUDUMU.

TUMIA VIRUTUBISHO NA SIYO DAWA MAANA TUNASEMA VIRUTUBISHO NI BORA NA SALAMA KWA MTUMIAJI KULIKO MATUMIZI YA BOOSTER

Wasiliana nami kwa ushauri na msaada wa Afya kwa KUPIGA/WHATSAPP kwa namba +255620383672

fibroids ***mcount

MAZOEZI YA MISULI YA SAKAFU YA PELVIC KWA WANAUME Misuli yenye nguvu ya fupanyonga inamaanisha udhibiti mzuri wa kibofu....
24/05/2024

MAZOEZI YA MISULI YA SAKAFU YA PELVIC KWA WANAUME

Misuli yenye nguvu ya fupanyonga inamaanisha udhibiti mzuri wa kibofu.

*Misuli ya pelvic ni nini?*
Misuli ya sakafu ya Pelvisi imeundwa na matabaka ya misuli na tishu nyingine ambapo tabaka la Misuli hii hunyoosha k**a chandarua kutoka kwenye mfupa wa mkia (coccyx) nyuma ya Mkundu hadi kwenye kinena mbele na kutoka upande hadi upande wa Misuli ya sakafu ya pelvic ya mart ambayo inategemeza kibofu chake na matumbo.

โˆ† Mrija wa mkojo na mkundu (kifungu cha nyuma) hupitia kwenye misuli ya sakafu ya pelvic.

โˆ† Misuli ya sakafu ya nyonga husaidia kudhibiti kibofu cha mkojo na matumbo

โˆ† Inasaidia pia kufanya tendo la ndoa.

โˆ† Ni muhimu kuwa na misuli ya sakafu ya pelvic ambayo ni imara.

*Misuli yangu ya pelvic iko wapi?*

Misuli ya mkundu na ya pelvic hufanya kazi pamoja ili;

-Kufunga njia ya haja kubwa (njia ya nyuma)

-Kufupisha Uume.

-Kuziinua korodani

Jambo la kwanza la kufanya ni kujua misuli unayohitaji kufanya mazoezi. Hapa kuna mambo matatu unayoweza kujaribu

1. Fikiria kujaribu kuzuia mkondo wa mkojo unaposimama kwenye choo baada ya kutoa kibofu chako. Kisha pumzika kana kwamba unaruhusu mkondo kuanza tena Unaweza kufanya hivi ili kujifunza ni misuli ipi inayofaa kutumia. Kibofu chako cha mkojo kinaweza kisitoke jinsi inavyopaswa ikiwa utasimama na kuanza mkondo wako mara nyingi sana

2. Keti au lala chini ukitumia misuli ya mapaja yako.

3. Simama mbele ya kioo bila kuvaa nguo. Jitazame halafu fanya mazoezi ya Pelvic huku ukihakikisha unaikaza Misuli ya Fupa la Nyonga.

Wanaume wanaojilowesha wanapokohoa, kupiga chafya au wakiwa wana msongo wa mawazo wanaweza kupata kutumia mazoezi ya misuli ya sakafu ya fupanyonga kuboresha tatizo hili.

Pia, Wanaume ambao wanapitia changamoto za kibofu huwa wana changamoto ya uimara wa Misuli hii ya Fupa la Nyonga.

Mazoezi ya misuli ya sakafu ya nyonga yanaweza kusaidia kwa matatizo haya.

Inaweza kusaidia kuimarisha misuli inayofunga njia ya haja kubwa.

Misuli hii ni sehemu ya misuli ya sakafu ya pelvic.

๐Ÿ‘ฟWanaume wa umri wote wanahitaji kuwa na misuli ya sakafu ya pelvic yenye nguvu.

โœ”๏ธIli kuepuka kudhoofika kwa misuli ya sakafu ya Pelvic ni lazima kuepukana:

1. Constipation (Kutoa haja ngumu)
2. Kuwa na uzito kupita kiasi na kunyanyua vitu vizito.
3. Kukohoa kwa muda mrefu k**a vile pumu au kikohozi sugu ambacho hupelekea kuathiri Misuli ya Pelvic ya fupa la nyonga

โœ”๏ธWanaume wanaweza kufaidika na mazoezi ya misuli ya sakafu ya pelvic.

Kufanya mazoezi ya misuli ya sakafu ya fupa la nyonga husaidia kuboresha kibofu cha mkojo na matumbo.

Wasiliana nasi kupata maelekezo zaidi na kupata huduma ili boresha kwa KUPIGA/Whatsapp No. +255620383672

***mcount

Tafiti mbalimbali zimegundua dawa ambazo zina athari kubwa juu ya nguvu za kiume na hutumiwa mara kwa mara. Hapa chini n...
08/05/2024

Tafiti mbalimbali zimegundua dawa ambazo zina athari kubwa juu ya nguvu za kiume na hutumiwa mara kwa mara.

Hapa chini ni dawa zinazopaswa kuepukwa na wanaume, ili wasipoteze nguvu zao za kiume.

Maisha ya kitandani ni moja ya mahitaji makubwa ya mwanadamu, lakini wakati mwingine huja na changamoto.

Sababu mbalimbali zinaweza kusababisha vikwazo hivi, lakini baadhi ya sababu zinahusishwa na aina sita ya dawa k**a ilivyotangazwa na Shirika la Habari la ANI, ambalo lilitayarisha taarifa maalum juu ya mada hii.

*1. DAWA YA KUTULIZA MAUMIVU*

Watu wengi hawasiti kutumia dawa za kutuliza maumivu hata kwa maumivu wanayohisi ni madogo.

Lakini, je, unajua kwamba dawa zilezile za kutuliza maumivu zinaathiri uanaume wako na kuufanya usiwe na matokeo mazuri kitandani?

Dawa za kutuliza maumivu huzuia kuundwa kwa seli za uzazi na huvuruga homoni nyingi ambazo ni muhimu katika kufanya tendo la ndoa kati ya wanaume na wanawake.

*2. DAWA YA KUZUIA WASIWASI (ANTI- ANXIETY)*

Watu wengi wanaolalamika kuhusu matatizo ya akili na kuwa na wasiwasi hutumia dawa ili kukabiliana na hofu.

Walakini, dawa k**a hizo hupunguza hamu ya tendo la ndoa.

Dawa hizi zinaweza kusababisha mtu kupoteza hamu ya kufanya mapenzi.

Wakati mwingine hata husababisha wanaume kupoteza fahamu zao kabisa.

*3. DAWA YA KUTIBU KUGANDA KWA DAMU*

Dawa zinazotumika kutibu kolesto, ambayo ni mgando wa damu, pia zina mchango mkubwa katika kupunguza nguvu za kiume.

Wataalamu wa matibabu wanasema kuwa dawa hizi huingilia utendaji wa seli za uzazi.

*Utafiti:* Dawa hii ilikuwa itibu tatizo la moyo 'bahati mbaya' ikageuka tiba ya upungufu wa nguvu za kiume

Utafiti unaonyesha kuwa dawa zinazotumika kutibu kuganda damu wakati mwingine husababisha matatizo kwa wanaume wanapolala kitandani na wake zao.

*4. DAWA ZA MSONGO WA MAWAZO (SONONA)*

Dawa hizi, zinazojulikana k**a "benzodiazepines," mara nyingi hutumiwa kutibu magonjwa ya wasiwasi, k**a vile wakati mtu anaogopa vitu ambavyo havipo na yuko peke yake.

Magonjwa mengine ambayo hutumia dawa hizi ni pamoja na kukosa usingizi na maumivu ya misuli.

Lakini, upande wa madhara ni kwamba huathiri utendaji wa seli za uzazi wa kiume na hisia.

*5. DAWA YA KUZUIA SHINIKIZO LA DAMU*

Wagonjwa wanaotumia dawa za shinikizo la damu wanaweza pia kukumbana na changamoto nyingine ambayo ni kupungua kwa nguvu zao.

Dawa hizi zinaingiliana moja kwa moja na mishipa ya damu na pia hufanya kazi na mfumo wa neva.

Wataalamu wengine wameongeza kuwa yapo hata matatizo ambayo wanawake wenyewe wanakumbana nayo na dawa hizo ambazo zinahusiana na viungo vya uzazi.

*6. DAWA ZA KIFUA KIKUU*

Dawa za dukani k**a vile dawa za kupuliza katika pua zilizoziba na dawa za kawaida za kupunguza kuziba kwa pua zina athari zake.

Zinaweza kusababisha matatizo katika tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake.

Zungumza na daktari wako ikiwa unafikiri kuwa dawa ina athari mbaya kwenye utendaji wako wa tendo la ndoa.

Usiache kutumia dawa yoyote bila kwanza kuzungumza na mtoa huduma wako.

Kwa ushauri na msaada zaidi wasiliana nasi kupata huduma. PIGA/TUMA UJUME WHATSAPP NO: 0620383672

***mcount

MADHARA YA KUPIGA PUNYETOYafuatayo ni madhara ya kupiga punyeto au wengine huita puli(masturbation) โค๏ธ1. punyeto humfany...
06/05/2024

MADHARA YA KUPIGA PUNYETO

Yafuatayo ni madhara ya kupiga punyeto au wengine huita puli(masturbation)

โค๏ธ1. punyeto humfanya uume kua lege lege na kuonekana mdogo/kibamia na usio jaza yaani mwembamba kabla ya awali

โค๏ธ2. Husababisha mwanamume kutoa mbegu haraka kipindi cha tendo la ndoa na mwanamke na kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni.... (Premature ej*******on) anaweza akajikuta akigusa tu nanii ndani ya dakika cha he mheshimiwa anatapika.

โค๏ธ3. Ni moja ya chanzo Kikuu cha kupoteza nguvu za kiume, uume kusinyaa na kukosa nguvu kwa sababu ya kuharibu mishipa ya fahamu wakati MTU akijisugua katika kulitafuta bao

โค๏ธ4. Hupunguza idadi ya mbegu za kiume (low s***m count) hivyo ni mbaya sana kwa watu wanaotafuta mtoto na huleta infection na kusababisha, manii kuwa nyepesi na unapofanya jimai manii kutoka kwa mkewe badala ya kuingia ukeni na huweza kuwa sababu ya kutopata mtoto

โค๏ธ5. Husababisha mtu kusahau sahau sana na kushindwa kufanya vitu kwa makini zaidi

โค๏ธ6. Huleta utumwa wa kifikra kwani ukishaanza huwezi kuacha kirahisi (addiction)

โค๏ธ7. Punyeto husababisha mwanamke au mwanamume kukosa hamu kabisa na mwenza wake hivyo kuleta usumbufu kwenye mahusiano.

โค๏ธ8. Punyeto ni chanzo kikuu cha ngono za jinsia moja shuleni na vyuoni ambazo huambukiza magonjwa ya Zinaa k**a Gono, kaswende na Ukimwi kirahisi sana.

โค๏ธ9. Husababisha msongo mkubwa wa mawazo kwani mara nyingi kila umalizapo tendo hilo unajuta sana na kuapa kwamba hutorudia tena lakini ikifika mida Fulani sabuni k**a kawa

โค๏ธ10. Kijana kuondokwa na haja ya kuoa au kuolewa kwani anachokitaka anahisi anakipata na kupelekea kushindwa kuandaa familia yake.

โค๏ธ11. Husababisha maumivu ya mgongo, kiuno, makende na kusinyaa kwa nywele

โค๏ธ12.Hudhoofisha mwili na kuufanya uwe jalala la mardhi na stress zisizo isha

โค๏ธ13.Huondoa nuru ya macho

โค๏ธ14. Hufubaza ngozi na kufanya ionekane k**a ya mzee

โค๏ธ15.Huzidisha mapigo ya moyo kwa mhanga wa presha

โค๏ธ16. Husababisha ndoa nyingi kuvunjika

โค๏ธ17.Kufanya mtu apende kutazama na kuwaza sana wanawake au picha za ngono au wanawake walio uchi

โค๏ธ18.Maumivu ya kichwa mara kwa mara

โค๏ธ19.Kukosa nguvu kwenye joent za viungu

โค๏ธ20.Kuathiri mishipa ya fahamu na uti wa mgongo

Wasiliana nasi kwa ushauri na kupata huduma ya kujenga upya mfumo wako wa Uzazi kwa KUPIGA au kutuma ujumbe BORESHA AFYA kwenda namba +255620383672

***mcount

*VARICOCELE NI NINI?* Ugonjwa wa varicocele ni tatizo linalohusisha kuvimba au kuongezeka ukubwa kwa mishipa ya Veins nd...
05/05/2024

*VARICOCELE NI NINI?* Ugonjwa wa varicocele ni tatizo linalohusisha kuvimba au kuongezeka ukubwa kwa mishipa ya Veins ndani ya kifuko cha korodani.

Mishipa hii husafirisha damu iliyopungukiwa na oksijeni kutoka kwenye korodani. Varicocele hutokea wakati damu inapoingia kwenye mishipa badala ya kuzunguka kwa ufanisi nje ya korodani.

*DALILI ZA TATIZO LA VARICOCELE*

Ugonjwa wa varicocele kawaida hutokea upande wa kushoto wa korodani na mara nyingi hauonyeshi Ishara au dalili zozote. Na endapo Utaonyesha, Ishara na dalili zinazowezekana zinaweza kujumuisha:

1. Kupata Maumivu. Unaweza kupata Maumivu makali, kuhisi hali ya kuuma au usumbufu ambao hutokea zaidi wakati umesimama au wakati wa mchana, Kulala chini mara nyingi hupunguza aina hii ya maumivu.

2. Kuhisi kitu kigumu kwenye korodani. Ikiwa varicocele ni kubwa vya kutosha, kitu kigumu(Mass) k**a "mfuko wa minyoo" kinaweza kuonekana juu ya korodani. Varicocele ndogo inaweza kuwa vigumu sana kuonekana lakini unaweza kuihisi kwa kugusa.

3. Korodani kuwa na Size au ukubwa tofauti. Ingawa pia kwa kawaida, korodani huweza kutofautiana Size, lakini pia moja ya dalili kwa Mtu mwenye Varicocele ni korodani kuwa na Size tofauti. Korodani iliyoathiriwa inaweza kuwa ndogo sana kuliko korodani nyingine.

4. Mwanaume kushindwa kumpa mimba mwanamke (Ugumba/Infertility). Ugonjwa wa varicocele unaweza kusababisha ugumu kwa mwanaume kumpa mwanamke mimba na kuzaa mtoto, lakini sio varicoceles zote husababisha Shida hii ya Infertility. Hii huweza kuwa dalili na Madhara ya tatizo la Varicocele kwa Mwanaume.

*CHANZO CHA TATIZO LA VARICOCELE*

Korodani hupokea damu iliyojaa oksijeni kutoka kwa ateri mbili za korodani - ateri moja kwa kila upande wa korodani,

Vile vile, pia kuna mishipa miwili ya korodani ambayo husafirisha damu iliyopungua oksijeni kurudi kwenye moyo.

Ndani ya kila upande wa korodani, mtandao wa mishipa midogo ambao kwa kitaalam hujulikana k**a ( *pampiniform plexus)* husafirisha damu yenye oksijeni kutoka kwenye korodani hadi kwenye mshipa mkuu wa korodani. Varicocele ni matokeo ya upanuzi wa plexus ya pampiniform.

*Sababu halisi ya kutokea kwa tatizo la varicocele haijulikani.* Ingawa Sababu moja inayochangia au kuongeza uwezekano wa mwanaume kupata shida ya Varicocele inaweza kuwa kutofanya kazi vizuri kwa vali ndani ya mishipa ambayo inakusudiwa kuweka damu katika mwelekeo unaofaa.

Pia, mshipa wa korodani wa kushoto hufuata njia tofauti kidogo kuliko mshipa wa kulia njia ambayo hufanya tatizo la mtiririko wa damu kuwa zaidi upande wa kushoto.

Wakati damu iliyopunguzwa oksijeni inapopata nafasi kuingia kwenye mtandao wa mishipa, hupanua na kuunda varicocele.

*MATIBABU YA TATIZO LA VARICOCELE*

Ugonjwa wa varicocele mara nyingi hauhitaji kutibiwa. Kwa mwanamume aliye na shida ya kushindwa kumpa mwanamke mimba (Infertility), upasuaji wa kurekebisha varicocele unaweza kuwa sehemu ya mpango wa matibabu ili kurudisha uwezo wa kumpa mwanamke mimba.

Kwa vijana au Watu wazima - kwa ujumla wale ambao hawatafuti matibabu ya uzazi mtoa huduma wa afya anaweza kupendekeza uchunguzi wa kila mwaka ili kufuatilia mabadiliko yoyote.

Wasiliana nasi kwa ushauri na msaada zaidi kwa KUPIGA/Whatsapp no: +255620383672

#

KWAKO MWANAUMEIMARISHA AFYA YA UZร€ZI NA TENDO.Je'  Umekuwa ukishindwa kumridhisha mwenzi wako mpaka kukupelekea kuanza k...
03/03/2024

KWAKO MWANAUME
IMARISHA AFYA YA UZร€ZI NA TENDO.
Je' Umekuwa ukishindwa kumridhisha mwenzi wako mpaka kukupelekea kuanza kuwa muoga wa kukutana na mwenzi wako kwa kuogopa kurudia makosa yale yale ya KUWAHI KUFIKA KILELENI, KUSHINDWA KURUDIA TENDO, DHAKARI KUWA LEGEVU, KUTOA KIWANGO KIDOGO SANA CHA MBEGU au MBEGU KUWA NYEPESI SANA n.k?
Hii PACKAGE INAMALIZA CHANGAMOTO ZIFUATAZO:

- KUWA NA UWEZO. KURUDIA TENDO VIZURI.

-KUONGEZA IDADI YA MBEGU

-KUSIMAMISHA UU'ME VIZURI.

- KUBORESHA MZUNGUKO WA DAMU.

-KUIMARISHA MISULI

-KUPATA HAMU YA KUFANYA TENDO

-KUTOFIKA MAPEMA KILELENI

TUNAFANYA DELIVERY TANZANIA NZIMA NA NCHI JIRANI MZIGO UTAKUFIKIA POPOTE ULIPO.
Vunja ukimya usikubali changamoto ndogo ndogo zivunje HESHIMA YAKO, wengi tumewasaidia na wako sawa SASA karibu tukushauri.

Call/SMS/WhatsApp 0620383672

08/01/2024

PIGA/TEXT WHATSAPP โ˜Ž๏ธ+255 620 383 672 ILI UWEKE ORDER YAKO MARA MOJA UONDOKANE NA SHIDA YA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA.

08/01/2024

KWA AFYA YA KUONDOA SUMU MWILINI

Vifuatavyo ni baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume wengi na kupelekea kushindwa kujiamini k...
19/12/2023

Vifuatavyo ni baadhi ya vyanzo vilivyo sababisha kuondoka kwa furaha ya wanaume wengi na kupelekea kushindwa kujiamini kabisa

PUNYETO; Mwanaume anapopiga punyeto anaiminya mishipa ambayo inasababisha kusimama kwa uume, Hivyo baada ya muda fulani mishipa hiyo huishiwa nguvu na kulegea na kushindwa kuruhusu kiwango cha damu kuflow vizuri na hivyo linapokuja swala la kusimamisha uume mwanaume huyu anakuwa hana uwezo wa kusimamisha uume wake vizuri.

UTUMIAJI WA MADAWA k**a vile mkongo, Vi**ra na putururu husababisha mishipa ya uume kulegea kwa sababu uki overdose mishipa hiyo na kuilazimisha kufanya kazi zaidi ya kiwango chake, Matumizi haya yanapokuwa ya muda mrefu sana humfanya mhusika kuwa tegemezi wa madawa na hufanya mishipa ya uume kulegea na kukosa nguvu

ULAJI MBOVU ; Ulaji wa vyakula vya mafuta kwa wingi huathiri moyo na mzunguko wa damu mwilini na hivyo uume kukosa msukumo wa damu wa kutosha Katika mishipa yake ya damu na usimamaji mzuri wa uume unategemea mzunguko mzuri wa damu

SUKARI, PRESHA, SARATANI YA TEZI DUME. unapokuwa na magonjwa haya ni rahisi sana kupata matatizo ya nguvu za kiume Na wakati mwingine kushindwa kabisa kuhimili tendo la ndoa

Hii husababisha mwanaume kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa hata anapokuwa katika sita kwa sita na mke wake, msongo wa mawazo unaufanya mwili kushindwa kuzalisha vichocheo vya kufanya tendo la ndoa Kumbuka kwamba akili yako inahitaji kuwa tulivu kwasababu tendo la ndoa huanzia kichwani

Mfano ulevi kupita kiasi wa pombe, madawa ya kulevya n.k husababisha mwanaume kukosa nguvu za kiume

uzito huwa ukipanda huwa unakuja na mabadiliko mengi ya mwili ikiwemo suala la kushindwa kuhimili tendo la ndoa. Kumbuka tendo la ndoa huhitaji stamina na pumzi ya kutosha kitu ambacho maranyingi huwa ni tatizo k**a uzito ni mkubwa lakini pia uzito mkubwa hupelekea hormone kuvurugika!

JE UNAHITAJI KUPATA SULUHISHO ILI KUTATUA CHANGAMOTO YAKO LE

+

08/12/2023

6002 likes, 69 comments. โ€œMWANAUME AKIKAA WIKI BILA KUFANYA MAPENZI ANAKUA HANA KUMBUKUMBUโ€

08/12/2023
NINI KINASABABISHA KUWAI KUFIKA KILELENI Kuna sababu nyingi ikiwemo za kisaiokolojia na za kihisia zinazokufanya uwahi k...
20/11/2023

NINI KINASABABISHA KUWAI KUFIKA KILELENI

Kuna sababu nyingi ikiwemo za kisaiokolojia na za kihisia zinazokufanya uwahi kumwaga na kushindwa kumridhisha mpenzi wako.

Sababu Za Kisaikolojia

Kuwahi kufika kileleni kunaweza kuchangiwa na changamoto za kiafya ikiwemo matatizo ya kisaikolojia k**a

- kujiona huna thamani (low self esteem)

- msongo mawazo kupitiliza

- historia ya kunyanyaswa kingono mfano kulazimishwa kushiriki tendo

- kujihisi mkosaji inaweza kukufanya uwahi kumaliza tendo

- Vitu vingine vinavyochangia uwahi kufika kileleni ni pamoja na

- hofu ya kushindwa kumridhisha mpenzi wako

- wasiwasi wa kutokuwa mzoefu wa kimapenzi kuliko mpenzi wako (pengine unahisi atakucheka na kukudharau)

Sababu Za Kimwili

Zinazopelekea Kuwahi Kufika Kileleni

Changamoto zingine za kimwili zinaweza kuchangia kuwahi kufika kileleni. Mfano k**a una tatizo la uume kutosimama vizuri inaweza kukufanya uwahi kumwaga kabla uume haujalegea.

Kuzidi kwa baadhi ya homoni k**a testosterone na baadhi ya kemikali(neurotransmitters) zinazozalishwa kwenye neva huchangia kuwahi kumwaga mbegu. Kuvimba kwa tezi dume au njia ya mkojo inaweza kupeleka dalili mbaya ikiwemo uume kulegea na kuwahi kumwaga mbegu.

Testosterone ina jukumu muhimu katika mwili wa mwanaume. Baadhi ya kazi zake muhimu ni:Kukuza Misuli na Mifupa: Testoste...
20/11/2023

Testosterone ina jukumu muhimu katika mwili wa mwanaume. Baadhi ya kazi zake muhimu ni:

Kukuza Misuli na Mifupa: Testosterone husaidia katika ujenzi wa misuli na nguvu za misuli, pamoja na kudumisha afya ya mifupa.

Kuongeza Libido: Testosterone inachochea hamu ya ngono na ina athari kubwa kwa nguvu za kiume.

Uzalishaji wa Manii: Inasaidia katika uzalishaji wa manii na kudumisha afya ya tezi za uzazi.

Kudumisha Afya ya Akili: Inaweza kuathiri hisia za mtu, haswa kuhusiana na hisia za furaha, utayari, na hali ya akili.

Ukuaji wa Nywele: Testosterone inachangia ukuaji wa nywele za mwili, pamoja na nywele za uso na mwili.

Mzunguko wa Mafuta: Inaweza kusaidia kudhibiti mzunguko wa mafuta mwilini, ikisaidia katika kudumisha uzito unaofaa

Address

Dar Es Salaam
0000

Telephone

+255620383672

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BedroomMarathontz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BedroomMarathontz:

Videos

Share


Other Digital creator in Dar es Salaam

Show All