HB Mtetezi ImageCreation

HB Mtetezi ImageCreation We are on the lookout for a talented up and coming Digital Designer to work with a World Wide for Movie&Music covers and create designs for online media.

29/05/2024
Asante sana Mungu kwa hatua hizi ninazopiga kila siku, Asante sana Mke wangu kwa matunzo yako, Asanteni sana Marafiki na...
22/04/2024

Asante sana Mungu kwa hatua hizi ninazopiga kila siku, Asante sana Mke wangu kwa matunzo yako, Asanteni sana Marafiki na Ndugu zangu kwa kunitakia kila lenye kheri kwenye siku yangu ile pendwa, Nafurahi kuona nina marafiki wengi pia ndugu, Nawapenda sana, ONE-Love tupo pamoja.

Hello Friends, Nafurahi kuamka salama siku hii nzuri ya leo, Furaha ya kwanza ni Mungu aliyenipa pumzi mpya yenye afya n...
19/04/2024

Hello Friends, Nafurahi kuamka salama siku hii nzuri ya leo, Furaha ya kwanza ni Mungu aliyenipa pumzi mpya yenye afya na kunizawadia siku hii nzuri ya leo, pili Mke wangu kipenzi aliyeniamsha kwa bashasha na kunijuza kuwa leo ndiyo ile siku inayofanana na siku yangu ya kuzaliwa, na kuniandaa kwa furaha, Nashukuru pia Marafiki zangu wote kwa kuni-wish siku yangu hii nzuri, Nimefurahi sana, Asanteni ndugu zangu. mzidi kuwa na upendo huo huo, Inshaallah.
-Master

“Geuza hasira yako kuwa hekima.”
15/04/2024

“Geuza hasira yako kuwa hekima.”

Kupendwa sana na mtu kunakupa nguvu, huku kumpenda mtu kwa undani kunakupa ujasiri zaidi.
11/04/2024

Kupendwa sana na mtu kunakupa nguvu, huku kumpenda mtu kwa undani kunakupa ujasiri zaidi.

Pumzika mahali pema peponi Baba yangu Kipenzi, Mzee Peter John Kapella Hakika sisi ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarej...
20/03/2024

Pumzika mahali pema peponi Baba yangu Kipenzi, Mzee Peter John Kapella Hakika sisi ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea, Amin 🙏

Address

Tabata
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

0652059090

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HB Mtetezi ImageCreation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to HB Mtetezi ImageCreation:

Share

Category

Nearby media companies


Other Media in Dar es Salaam

Show All