JULIO AZUNGUMZIA TUZO LIGI KUU/ AWAFUNDA WACHEZAJI, VIONGOZI
#DimbaOnline
JULIO AZUNGUMZIA TUZO LIGI KUU/ AWAFUNDA WACHEZAJI, VIONGOZI
#DimbaOnline
Pyramids FC kuivaa Yanga hapo kesho Kombe la Shirikisho Afrika
Pyramids wakiwa kwenye maandalizi ya mwisho kuivaa Yanga hapo kesho katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, Tanzania. KOCHA wa timu ya Pyramids FC, Sebastien Desabre amesema hana wasiwasi na kikosi chake kuelekea kwenye mchezo wao wa kesho. Habari zaidi tembelea http://www.dimba.co.tz
Mwanamuziki Damia Soul akitumbuiza usiku wa kuamkia leo katika Tamasha la Sauti za Busara 2019 viwanja vya Ngome Kongwe Zanzibar, tamasha hilo linatarajiwa kuhitimishwa usiku wa leo Februari 10. #MtanzaniaDigital
WAKUVANGA NA MTANZANIA DIGITAL
#DimbaMusicConcert Leo ndani ya Travertine Hotel, Magomeni ni mpambano kati ya Timu ya Taifa ya Muziki wa Dansi dhidi ya Msondo Ngoma kuanzia saa 2 usiku kwa kiingilio cha Tsh. 10,000 kwa kawaida na TSh. 20,000 kwa VIP.
Mchezaji wa zamani wa Manchester United na timu Taifa ya England, David Beckham ametua nchini Tanzania leo jioni na haijajulikana amekuja kwa mwaliko au amekuja kutalii.
LIVE: Makocha wa Simba, Jackson Mayanja na Athman Bilali wa Stand United wakiongea na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mchezo.
LIVE: makocha wa Yanga Juma Mwambusi
LIVE: Makocha wa timu za Yanga,Juma Mwambusi na Abdalah Mohamed wa Tanzania Prisons wakizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kumalizika mchezo wa Ligi Kuu
LIVE: Makocha wa timu za Azam FC, Iddi Cheche na Ndanda FC, Abdul Mingange wakizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kumalizika kwa mchezo wa Kombe la Shirikisho (FA).
LIVE: Makocha wa timu za Taifa za vijana chini ya umri wa miaka 17, Bakari Shime wa Serengeti Boys na Samuel Kwasi wa Ghana wakiongea na waandishi wa habari baada ya mechi.