Kama unataka kununua simu ya iPhone kutoka kwa mtu basi ni muhimu kujua kama ni simu ya uwizi au lah.
Kujua kama simu hiyo ni ya uwizi au imeibiwa unaweza kufuata hatua hizi rahisi.
Tembelea tovuti maarufu ya - www.imeipro.info
Kisha copy IMEI Number kwenye simu yako, unaweza kuipata kupitiaSettings > General > About > IMEI kwenye simu yako Copy kisha nenda kwenye tivuti hiyi na paste kwenye sehemu ya wazi.
Kisha bofya CHECK. Kama ukiaona sehemu ya Blacklist Status imeandikwa CLEAN basi simu yako haina shida na sio ya Wizi. Kama ukiona BLACKLISTED Basi simu hiyo ni ya wizi na inaweza kufungiwa na Apple Muda wowote.
Kama wewe ni mtu wa graphics au unahitaji kuondoa background kwenye picha yoyote basi njia hii itakuwa njia bora zaidi kwako na pia ni BURE!.
Kama unataka kuondoa background kupitia computer tembelea tovuti hii - www.erase.bg
Kwa watumiaji wa Android ingia kwenye soko la Play Store kisha andika - Erase.bg (Remove Background)
Kwa watumiaji wa iOS ingia kwenye soko la App Store kisha tafuta - Erase.bg
Apps na tovuti hizi zinatumia mfumo wa A.I kuondoa background kwenye picha zako, ni rahisi kutumia. Baada ya kupakua app au kufungua site bofya upload kisha chagua picha unayotaka kuondoa background kisha subiri.. Jaribu uone. #tanzaniatech
Sasa unaweza kupata sehemu ya Lock Chats kwenye App ya WhatsApp. Sehemu hii ilitambulishwa hivi karibuni na sasa inapatikana kwa Watumiaji wa WhatsApp ya Kawaida hapa Tanzania.
Kitu cha kufanya Update App ya WhatsApp Android kupitia Play Store na iOS kupitia App Store kisha fungua chat ya mtu yoyote unayotaka Kulock.
Kisha bofya sehemu ya Profile kisha utaona sehemu mpya ya Lock Chats. Bofya hapo kisha moja kwa moja utaweza kufunga chats hiyo na mtu yoyote hatoweza kuiona na kuifungua.
Ili kufungua Chats Yoyote uliyofunga fungua app ya WhatsApp bofya Chats kisha vuta kwa kwenda chini na moja kwa moja utaona sehemu ya Lock Chats na itakuitaji kuweka Fingerprint, parttern au FaceID ili kufungua chats hizo. #tanzaniatech
Kutana na gari ya chini pengine kuliko Gari zote, Gari haina milango na matairi ambayo huwepo kwenye Magari ya kawaidia. #tanzaniatech
Tengeneza Pesa Kupitia WhatsApp
Njia hii ya kutengeneza pesa kupitia WhatsApp inafanya kazi toka mwaka 2018 hadi leo mwaka 2022, mabadiliko madogo yapo lakini inafanya kazi. Unatakaja kujua zaidi..?
Kama unataka kumiliki namba ya simu ya nje ya nchi bure, bofya kwenyebio.link/tanzaniatech kujua hatua kwa hatua jinsi ya kupata namba hiyo ambayo unaweza kuitumia kupiga na kupigiwa simu ikiwa pamoja na kujiunga na mitandao ya kijamii kama WhatsApp.
Kama unataka kusoma meseji za WhatsApp unazotumiwa bila kuwa online basi bofya kwenyebio.link/tanzaniatech kujua jinsi ya kufanya hatua kwa hatua.
Kama unataka kuhakikisha kama password zako ni salama au hazija dukuliwa bofya kwenyebio.link/tanzaniatech kujua hatua kwa hatua jinsi ya kuangalia password zako kama ni salama.
#Sunday Movie 25, kama wewe ni mpenzi wa movie basi bofya kwenyebio.link/tanzaniatech kupata movie hii mpya.
Kutana na Terrain Armor, haya ni matairi yaliyo tengenezwa maalum kwaajili ya magari ya kikosi maalum cha jeshi la marekani. Matairi haya hayatumii upepo wala #tubeless na yana uwezo wa kukanyaga misumari pamoja na vitu vigumu na kuendelea kudumu kwa muda mrefu.
#millitary #cars #tyre #tube #usa #usamilitary #specialforces #armor #terrain #nails
#Sunday Movie 24, kama wewe ni mpenzi wa movie basi bofya kwenyebio.link/tanzaniatech kupata movie hii mpya.
Apple imezindua mfumo mpya wa iPhone 14.5 na Watch OS 7.4 ambapo sasa unaweza kufungua au ku-unlock simu yako kwa kutumia Apple Watch, bofya kwenyebio.link/tanzaniatech kujua zaidi kuhusu sehemu hii na nyingine nyingi kwenye mfumo wa iOS 14.5
#ios14 #Apple #techinswahili #teknolojia
Kama simu yako ina tatizo la spika kutokana na simu yako kuingia maji au vumbi basi unaweza kuondoa tatizo hilokwa kutembelea tovuti ya fixmyspeakers.com, ukifika kwenye tovuti hiyo bofya kitufe cheupe chenye emoji ya maji. Fahamu zaidi njia hii inavyofanya kazi kwa kubofya link kwenye bio.
Ongeza uwezo wa kufanya mambo kwa harakakwa kugusa mara mbili nyuma ya siku yako. Utaweza kufanya mambokama kuwasha tochi, kuchkua screenshot, kukata simu na mambo mengine mengi... Bofya kwenyebio.link/tanzaniatech kujua zaidi.
Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia WhatsApp (Njia Bora)