Sponsor Cheed Tz

Sponsor Cheed Tz Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sponsor Cheed Tz, Digital creator, Msambwen, Dar es Salaam.

Balenciaga imezindua Sneaker yake mpya ambayo inalenga kuonesha ujasiri imepewa jina la Reptile, bei ya $1,890 sawa Tsh ...
24/10/2024

Balenciaga imezindua Sneaker yake mpya ambayo inalenga kuonesha ujasiri imepewa jina la Reptile, bei ya $1,890 sawa Tsh Milioni 5 ikisukuma mipaka ya muundo wa viatu kwa mara nyingine tena.

Wewe jasiri wa Kitanzania unaweza kuvaa?

'Post' klabu ya JKT Tanzania baada ya golikipa wao kudaka mpira nje ya 18 na kuizawadia Young Africans Sc 'free kick' il...
24/10/2024

'Post' klabu ya JKT Tanzania baada ya golikipa wao kudaka mpira nje ya 18 na kuizawadia Young Africans Sc 'free kick' iliyozaa bao la pili kwenye mchezo wa Ligi Kuu bara unaoendelea sasa.

JKT Tanzania ambao wapo pungufu ya mchezaji bora baada ya nyanda, Dennis Richard kula ‘umeme' kufuatia 'faul' hiyo wameandika “Sheria nazo zirekebishwe kwani kudaka nje ya 18 kuna tatizo gani aiseee tena mara 1 tu” 😂😂😂

Address

Msambwen
Dar Es Salaam

Telephone

+255673102018

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sponsor Cheed Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sponsor Cheed Tz:

Share