HATUA TV

HATUA TV Karibu HATUA TV kwa habari, burudani na matukio mbalimbali yanayojitokeza Duniani kote.

25/02/2025

Kwa mwenye uhitaji wa Dua, Dawa na hata Ushauri, unaweza kuwasiliana na Sheikh YUSSUF DIWANI kwa namba 0712 316 222 au 0756 634 277.
Anapatika MBAGALA KIZUIANI Barabara ya Jeshini.

24/02/2025

Utashangaa kuijua siri hii ya mafanikio iliyojificha kwenye namba zinazoendana na jina lako. afafanua kiundani namna ya kufungua mafanikio yako kwa namna ya kipekee sana.
FULL VIDEO TAYARI IPO YOUTUBE YA

23/02/2025

Maneno mazito ya mapema kabla ya kugana rasmi na ubachela na kwenda kuchukua jiko. Amezungumza kwa urefu na akimuhusia mke wake juu ya mambo ya msingi kuyazingatia ili kuijenga ndoa yenye ngozo na msingi imara.
Hongera sana , nasi k**a tunakutakia kila lenye heri kwenye ndoa yako. Video kamili tumekuwekea YouTube.

20/02/2025

Aunty Ezekiel amlilia Wema Sepetu apate ndoa na mtoto

20/02/2025

Ujumbe wa Wema Sepetu kwa Hamisa Mobetto siku ya ndoa yake wagusa hisia za watu

20/02/2025

Mange amuweka pabaya Diamond Platnumz tazama mapya yaliyojitokeza kisa video chafu akiwa na mwanamke faragha

20/02/2025

Diamond Platnumz akwaa kisiki Zuchu akataa unyonge, msamaha wake wagonga mwamba

20/02/2025

Mwijaku aushangaza ulimwengu kwa alichokifanya kwa Diamond Platnumz

20/02/2025

Mama mzazi afunguka mazito uchawi wa mwanae kuishi na mamba ndani kwenye chumba cha siri

20/02/2025

Mandonga afunguka mazito kwa uchungu mkubwa, atokwa machozi atamani wazazi wake wangekuwa hai.

17/02/2025

Utashangaa kuijua mbinu hii rahisi ya kujiimarisha kitandani na kutibu kabisa tatizo la nguvu za kiume.

Hapa Sheikh Diwani anakupa chanzo na tiba sahihi ya matatizo hayo kwa wanaume na wanawake pia.

17/02/2025

Mapya yaibuka Uhalali wa ndoa ya Hamisa Mobetto na Aziz Ki, Sheikh Diwani atoa ufafanuzi

03/02/2025

Angalia mpaka mwisho 😔

28/01/2025

Ufafanuzi na neno la baada ya kinachoendelea mitandaoni kwasasa kumuhusu . Video kamili tayari iko YouTube ya

25/01/2025

Tupe maoni yako kwenye hili; Je, mtumishi yuko sahihi? Ikumbukwe hii ni rejea kutoka kwenye mahojiano tuliyokuwekea YouTube ya kuhusu sakata la kuchoma moto gari aliyopewa na nabii Geordavie wa

25/01/2025

Tupe maoni kwenye hili. Jambo la Goodluck na nabii Geordavie linazidi kuibua mengi zaidi.

25/01/2025

Baada ya sakata la mwimbaji Goodluck kuchoma gari aliyopewa k**a zawadi na nabii Geordavie, appostle Emmanuel afunguka ukweli huu.

Video kamili ipo YouTube ya

23/01/2025

Baba mzazi wa Haji Manara mzee Sunday Manara amwaga machozi mbele ya mwanae kisa historia hii nzito ya mwanae.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when HATUA TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to HATUA TV:

Videos

Share