Angani TV

Angani TV Angani TV | Matukio, Music, Movie, Comedy, Michezo
Youtube.com/.

HAPPY SIMBA DAY 2024🔥🔥🔥
03/08/2024

HAPPY SIMBA DAY 2024🔥🔥🔥




Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya barabarani iliyotokea Februari 24, 2024 maeneo ya Ngaramtoni Kibaoni, Arusha i...
25/02/2024

Idadi ya watu waliofariki katika ajali ya barabarani iliyotokea Februari 24, 2024 maeneo ya Ngaramtoni Kibaoni, Arusha imefikia watu 25 na majeruhi 21.
Ajali hiyo ilihusisha lori na magari matatu ambapo katika waliofariki, wanaume ni 14, wanawake 10 na mtoto mmoja.

Kamishina wa Polisi, Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Awadhi Juma Haji amesema kati ya waliofariki, watu saba ni raia wa kigeni waliokuwa wakijitolea kufundisha katika Shule ya New Vision waliokuwa kwenye basi la shule.

Miili ya waliofariki imehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru huku majeruhi wakiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali hiyo, pamoja na Hospitali ya Arusha Lutherani Medical Center Selian.

Picha | Jeshi la Polisi
Cc

Address


Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Angani TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Angani TV:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share