Karibu China

Karibu China 🌍 Connecting Tanzania & China
πŸ’Ό Business | πŸŽ“ Education | πŸŽ‰ Lifestyle
πŸŽ₯ Sharing stories, Opportunities & Insights
πŸ‘‡ JOIN US ON THIS JOURNEY!

Unaponunua viwanja kwetu unajihakikishia huduma bora, viwanja vinahimili masika na vuli, hati ni kitu cha kwanza kabisa kutoka kwetu

28/01/2025

.Happy Chinese New Year 2025Year Of Snake 🐍.

26/01/2025

Unafikilia nani mbabe kwa mwenzake hapo kati ya DRONE Vs ROBOT DOG πŸ˜‡

23/01/2025

Jambo la kuzingatia nyakati hizi nchini China.Ahsante .express kwa kutuwezesha.Big up kwa Man Behind the Camera .

22/01/2025

Mamangi au Wachaga ? πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚.

21/01/2025

Chinese New Year pia inajulikana k**a Spring Festival (ζ˜₯θŠ‚, ChΕ«n JiΓ©) katika Mandarin, ni mojawapo ya sherehe kubwa na mu...
21/01/2025

Chinese New Year pia inajulikana k**a Spring Festival (ζ˜₯θŠ‚, ChΕ«n JiΓ©) katika Mandarin, ni mojawapo ya sherehe kubwa na muhimu zaidi nchini China na kwa jamii za Kichina duniani kote. Sherehe hii inaashiria mwanzo wa mwaka mpya wa kalenda ya Kichina, ambayo ni kalenda ya mwezi na inaendeshwa na mzunguko wa mwezi na jua. Kwa hiyo, tarehe ya Chinese New Year hutofautiana kila mwaka, lakini mara nyingi huangukia kati ya januali 21 na februari 20.

FULL VIDEO ON YOUTUBE CHANNEL: KARIBU CHINA.

https://youtu.be/h8h7AoqZsU8?si=g7qR-h-NG0YBAcCO

Documentary Producer
Video Editing & Graphics

Chinese New Year pia inajulikana k**a Spring Festival (ζ˜₯θŠ‚, ChΕ«n JiΓ©) katika Mandarin, ni mojawapo ya sherehe kubwa na muhimu zaidi nchini China na kwa jamii ...

20/01/2025

Address

Dar Es Salaam
528000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Karibu China posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Karibu China:

Videos

Share

Category