Areeh injinia Yanga Sc

Areeh injinia Yanga Sc 󰀧YouTube
󰀧Instagram
πŸοΈΩπŸ™οΈΩπŸ˜οΈΩπŸšοΈΩπŸŸοΈΩ
σ°€₯ 3k 󰀦 457󰀧 12k

OFFICIAL|ACCOUNT | πŸ’―

Huyu ni AZIZ Ki, Kapiga Bonge la Goli.Form temporary, Class Permanent. AZIZ ki What a goalπŸ™Œ
12/01/2025

Huyu ni AZIZ Ki, Kapiga Bonge la Goli.

Form temporary, Class Permanent. AZIZ ki What a goalπŸ™Œ

K**A UNAMJUA MTAJEπŸ™Œ
09/01/2025

K**A UNAMJUA MTAJEπŸ™Œ

07/01/2025

πŸ₯ΊπŸ˜πŸ₯΄πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
γ‚šviral

07/01/2025

WANAFUNZI WA WAPI HAWA🀣🀣
γ‚šviral me

CHUMA kwa CHUMA πŸ’šπŸ’›@topfans
06/01/2025

CHUMA kwa CHUMA πŸ’šπŸ’›
@topfans

Uongozi wa Mazembe umeliomba Bus ambalo walilikataa awali ili walitumie, Mazembe pia wameiomba Yanga uwanja wa kufanyia ...
06/01/2025

Uongozi wa Mazembe umeliomba Bus ambalo walilikataa awali ili walitumie, Mazembe pia wameiomba Yanga uwanja wa kufanyia mazoezi kwasababu bado hawajaondoka jijini Dar Es Salaam.

Yanga imewapitia Bus pamoja na uwanja wa Kurasini kwa ajili ya kufanya mazoezi kabla hawajaondoka.

KOCHA YANGA: HII NDIO YANGA NINAYOITAKA."Tumecheza na timu ngumu, tuliiheshimu kwa kile ambacho ilichofanya huko miaka y...
06/01/2025

KOCHA YANGA: HII NDIO YANGA NINAYOITAKA.

"Tumecheza na timu ngumu, tuliiheshimu kwa kile ambacho ilichofanya huko miaka ya nyuma, naipongeza kwa kutupa mechi ngumu. Tulihitaji pointi tatu kwa hali yoyote ili tuwe kwenye mbio za kufuzu hatua inayofuata. Hiki sasa ndicho kiwango chetu, hii ndiyo Yanga SC niliyokuwa naitaka, wachezaji wangu wamejitahidi kuonesha kile ambacho tulichokuwa tukikihitaji hapo mwanzo wakati naingia kwenye timu hii"

"Walikuwa na kasi, pumzi, walikaba na kutengeneza nafasi, hawakukata tamaa tangu wakati tupo nyuma kwa bao moja. waliamini kuwa tutashinda mechi. Nina uhakika k**a tungekuwa makini tungeweza kuwafunga hata mabao saba au tungeshinda 8-1, tumekosa mabao mengi sana, lakini hiki tulichokipata tumefurahi, tumepambana na kujituma, kikosi kimeimarika sana"

SAED RAMOVIC,Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga.

πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Mwaka Umechangamka
06/01/2025

πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Mwaka Umechangamka

Caf champions league again let's go brothers πŸ’ͺ πŸ”°πŸ”°πŸ™πŸ™
04/01/2025

Caf champions league again let's go brothers πŸ’ͺ πŸ”°πŸ”°πŸ™πŸ™

𝐆𝐔𝐒𝐀 π€π‚π‡πˆπ€ 𝐓𝐖𝐄𝐍𝐃𝐄 πŠπ–π€πŽ..Burudani ishakaribia. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ04/01/2025
03/01/2025

𝐆𝐔𝐒𝐀 π€π‚π‡πˆπ€ 𝐓𝐖𝐄𝐍𝐃𝐄 πŠπ–π€πŽ..

Burudani ishakaribia. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

04/01/2025

🚨 TUTAWASHAMBULIA MAZEMBE HASWAA - RAMOVIC β€œNi ukweli tumefunga bao 1 tu sio!? Sawa ila kwenye Ligi tumefunga nyingi nyi...
03/01/2025

🚨 TUTAWASHAMBULIA MAZEMBE HASWAA - RAMOVIC
β€œNi ukweli tumefunga bao 1 tu sio!? Sawa ila kwenye Ligi tumefunga nyingi nyingi hivi karibuni… Tuna uwezo wa kuwashambulia TP Mazembe na tutawashambulia hasa! Tunajua watatumia mipira mirefu ila tutawashambulia kweli kweli”

Sead Ramovic, Kocha wa Yanga SC


πŸ‡ΉπŸ‡ΏLigi Kuu ya wanawake Tanzania kwa sasa ipo mapumzikoni na inatarajiwa kuendelea kwa michezo ya mzunguko wa pili Januar...
03/01/2025

πŸ‡ΉπŸ‡ΏLigi Kuu ya wanawake Tanzania kwa sasa ipo mapumzikoni na inatarajiwa kuendelea kwa michezo ya mzunguko wa pili January 21 mwaka huu.

🌟PESA INAENDA KUONGEA KWA MKAPA..Tajiri wa Tou Puissant Mazembe Moes Kayumbi katoa atoa ahadi ya kununua kila goli litak...
02/01/2025

🌟PESA INAENDA KUONGEA KWA MKAPA..

Tajiri wa Tou Puissant Mazembe Moes Kayumbi katoa atoa ahadi ya kununua kila goli litakalo fungwa na Club yake yaani Tou Puissant Mazembe.Kila Goli atanunua kwa Tsh Million 100.

Wakati Goli la Mama likiwa ni Million 5 ,kuna mwanaume kutokea Congo kaweka million 100 kila Goli.Kupitia mtandao wake moes Katumbi katenga Kitita cha Sh million 400 Kwaajiri ya Mechi Hiyo.

Pesa inaenda kuongea kwa Mkapa.

"Kiuhalisia mimi napenda sana kujichu@@ kuliko kufanya mapen'z! na mwanamke, kwasababu naamini ni salama zaidi lakini in...
02/01/2025

"Kiuhalisia mimi napenda sana kujichu@@ kuliko kufanya mapen'z! na mwanamke, kwasababu naamini ni salama zaidi lakini inaniepusha na magonjwa"- Baba Levo

Victoria beautyskin

Maandalizi ya 𝐆𝐔𝐒𝐀 π€π‚π‡πˆπ€ 𝐓𝐖𝐄𝐍𝐃𝐄 πŠπ–π€πŽ 🀩Kata Tiketi yako Mapema Mwananchi tukutane kwa Mkapa Jumamosi🏟️🏟️.
02/01/2025

Maandalizi ya 𝐆𝐔𝐒𝐀 π€π‚π‡πˆπ€ 𝐓𝐖𝐄𝐍𝐃𝐄 πŠπ–π€πŽ 🀩

Kata Tiketi yako Mapema Mwananchi tukutane kwa Mkapa Jumamosi🏟️🏟️.


🚨DEAL DONE βœ…  Rasmi timu ya Fountain Gate imemtambulisha Yusuph Athuman k**a mchezaji wao mpya,Yusuph aliwahi kupita vil...
02/01/2025

🚨DEAL DONE βœ… Rasmi timu ya Fountain Gate imemtambulisha Yusuph Athuman k**a mchezaji wao mpya,Yusuph aliwahi kupita vilabu vya Biashara United na Yanga Sc.
@

DEAL DONE βœ… amejiunga na klabu ya  ya nchini kwao DRC. Anaenda kuungana na kocha Dabo aliyefanya naye kazi
02/01/2025

DEAL DONE βœ…

amejiunga na klabu ya ya nchini kwao DRC. Anaenda kuungana na kocha Dabo aliyefanya naye kazi

🚨.... || MANARA AMEFUNGULIA TURBOMwanachama na Shabiki wa Yanga,Haji Manara amesema ahadi yake juu ya Klabu hiyo kutwaa ...
02/01/2025

🚨.... || MANARA AMEFUNGULIA TURBO
Mwanachama na Shabiki wa Yanga,Haji Manara amesema ahadi yake juu ya Klabu hiyo kutwaa Ubingwa wa NBCPL hadi 20230 ipo pale pale lakini iwapo watapoteza basi sababu kuu itakua ni kutokana na kukosekana kwa umoja ndani ya kikosi chao.
"Iwapo tutapoteza Ubingwa basi sababu ni kukosekana kwa umoja wa asilimia miamoja,mara zote Yanga ilipopoteza Ubingwa miaka yote ilitokana na mpasuko wa ndani ambao kwa sasa haupo.Kwa sasa umoja ndani ya Klabu ni mkubwa tena wa asilimia 100.Hata nilipokua Simba ilibidi nitumwe kuzua taharuki ili kuwaondolea utulivu"Haji Manara kupitia Clouds FM.
@

Address

Kinyerezi
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Areeh injinia Yanga Sc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Areeh injinia Yanga Sc:

Share