Wasafi Record label

Wasafi Record label TANZANIA 🇹🇿WASAFI RECORD LABEL WELCOME FANS 📯🎻🎤🎧

Thanks you 🙏❤
31/01/2025

Thanks you 🙏❤

Simba lamasimba dangote
26/01/2025

Simba lamasimba dangote

Leo tunajibu community za mashabiki nipo online K**a unaikumbuka hi ilikua nyimbo gani ya mwamba DIAMOND PLATNUMZToday w...
20/01/2025

Leo tunajibu community za mashabiki nipo online K**a unaikumbuka hi ilikua nyimbo gani ya mwamba DIAMOND PLATNUMZ

Today we are responding to fan communities online. If you remember this, what was the song of the rock band DIAMOND PLATNUMZ

"Nisingependa binti yangu Tiffah awe mwanamziki bali ningependa awe msimamizi wa shughuli zangu ilo tu, ila kusema aimbe...
18/01/2025

"Nisingependa binti yangu Tiffah awe mwanamziki bali ningependa awe msimamizi wa shughuli zangu ilo tu, ila kusema aimbe hapana sitaki maana sipendi apitie mateso ninayo pitia mimi baba yake, mziki una mateso sana" Maneno ya - diamond platnumz

Subscribe Channel

https://youtu.be/qZ3yOp2jXFU?si=fJTcmSCqyGQ3mR6t

Ipi kali
17/01/2025

Ipi kali

i miss this
16/01/2025

i miss this

Picha ya mtoto wangu mbona imetembea sana kuliko nyimbo za wasani wenu mpka Kenya
15/01/2025

Picha ya mtoto wangu mbona imetembea sana kuliko nyimbo za wasani wenu mpka Kenya

Diamond Platnumz ft rick Ross. $ holidayYule w***y pozee anasemaje??🤣🤣🤣
13/01/2025

Diamond Platnumz ft rick Ross. $ holiday

Yule w***y pozee anasemaje??🤣🤣🤣

Unaweza usiniamini ila nakuambia ukweli, kwasasa Diamond sio msanii mkubwa Afrika tu, huyu jamaa ni msanii wakimataifa y...
12/01/2025

Unaweza usiniamini ila nakuambia ukweli, kwasasa Diamond sio msanii mkubwa Afrika tu, huyu jamaa ni msanii wakimataifa yaani kwasasa diamond ni super star wa Dunia, nina sababu k**a mbili tatu ambazo naweza kukupa zakukuaminisha kwamba kwamba mwamba kashapasua anga zote nasasa anapepea International.
1. COLLABORATION: Diamond platnumz ana collabo na wasanii wakubwa k**a, Johson derulo, Rick ross, Ne-yo, Yg, Kofi olomide, Fally ipupa, Nawengineo.
2. TUZO "AWARDS": Diamond platnumz ndie msanii wa East africa aliefanikiwa kushinda Tuzo zote kubwa unazozijua wewe ila tu bado ajaigusa GRAMMY, Inshot Mondi kabati limejaa Tuzo na kwasasa anaisaka Grammy awards.
3.LIFESTYLE: Kwasasa dangote anaishi maisha ghali sana Mwijaku anasemaga "Expensive life" huyu mwamba ili uishi maisha anayoishi kwasasa k**a msanii inakubidi ujipange.

Diamond anastaili kupewa eshima na maua yake angali yuko hai jamaa anaupiga mwingi sana.

LEO SISEMI KITU😂nawaachia MASHABIKI msene NYIE kwenye comment 🤪Upo upande gani hapa Harmonize vs Diamond Platnumz aliye ...
10/01/2025

LEO SISEMI KITU😂

nawaachia MASHABIKI msene NYIE kwenye comment 🤪

Upo upande gani hapa Harmonize vs Diamond Platnumz

aliye post ni admin wangu

Leo asubuh MAAJABU PICHA YA DIAMOND YAONEKANA ANGANIUnaambiwa leo majira ya saa 00:30 usiku maeneo ya Kigamboni, Daraja ...
05/01/2025

Leo asubuh
MAAJABU PICHA YA DIAMOND YAONEKANA ANGANI

Unaambiwa leo majira ya saa 00:30 usiku maeneo ya Kigamboni, Daraja la Nyerere imeonekana picha ya Msanii wa Tanzania Diamond Platnumz juu ya anga. 🤔

UKIONA HII PICHA UNAKUMBUKA WIMBO GANI WA   PLATNUMZ 🦁 WEKA COMMUNIT HAPO TUMFOLLOW  Wasafi Wcb Platnumz
04/01/2025

UKIONA HII PICHA UNAKUMBUKA WIMBO GANI WA PLATNUMZ 🦁 WEKA COMMUNIT HAPO TUMFOLLOW Wasafi Wcb Platnumz

Huyu dogo bado anaimba mbona yupo kimya sana fans IBRAH
02/01/2025

Huyu dogo bado anaimba mbona yupo kimya sana fans IBRAH

HAPPY NEW YEAR 2025
01/01/2025

HAPPY NEW YEAR 2025

31/12/2024

TUMFOLLOW ADMIN Wasafi Wcb Platnumz

UNAIKUMBUKA HII AU UMESAHAUTUMFOLLOW ADMIN  Wasafi Wcb Platnumz
28/12/2024

UNAIKUMBUKA HII AU UMESAHAU

TUMFOLLOW ADMIN Wasafi Wcb Platnumz

Address

Dar Es Salaam
10000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wasafi Record label posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Wasafi Record label:

Videos

Share