Chamazi Music

Chamazi Music Chamazi Music Tanzania is a place where artists can show their talents. We welcome that and support the artists with all we have. The best music is being made!

Join us in creating a new future for Tanzania's music industry! Chamazi music Is a full range entertainment company out of Africa that aims to provide the ultimate entertainment products and services from the freshest music to the most creative movies, from premium live concerts to high-class corporate soirees. Through the creative and groundbreaking management and promotion of talent strategies,

Chamazi Music has been responsible for the discovery/ promotion/management of award-winning artists like Mabuah Bway, DattyTz, Wizzy Mp, Kifurushi, Budah G e.t.c. For any bookings, performances, appearances, etc... anything professional at all.. please email: [email protected] or give a contact on +255620857767, thank you, we love you.

πŸš€πŸŽ‰ What a Milestone! πŸŽ‰πŸš€We’re thrilled to announce that 4EVER by Bite Starr has hit 250,000 plays on Audiomack in just 10...
07/01/2025

πŸš€πŸŽ‰ What a Milestone! πŸŽ‰πŸš€
We’re thrilled to announce that 4EVER by Bite Starr has hit 250,000 plays on Audiomack in just 10 days! 🌟✨

This incredible achievement wouldn’t have been possible without YOU, our amazing fans and supporters. Thank you for streaming, sharing, and showing love to the music! πŸ’–πŸŽΆ

Here’s to more milestones, together! Keep the energy alive and let’s hit the next big number. πŸ–€πŸ”₯


Ukali wa 4EVER hauna kipimo! πŸ”₯πŸ”₯ Mkali mwenye Tongue Taste ya Nigeria amerudi tena na banger kali ya mwaka. Usikose hii l...
30/12/2024

Ukali wa 4EVER hauna kipimo! πŸ”₯πŸ”₯ Mkali mwenye Tongue Taste ya Nigeria amerudi tena na banger kali ya mwaka. Usikose hii ladha tamu ya Afrobeats yenye vibe ya ! πŸ’ƒπŸ•Ί Sikiliza sasa kupitia link kwenye bio. πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡³πŸ‡¬βœ¨

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯ Hongera sana Adasco M2 M'bad! πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡ΏKwa kutoa hits kibao ndani ya mwaka 2024, umeendelea kutangaza Singeli na kuonyesha...
30/12/2024

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”₯ Hongera sana Adasco M2 M'bad! πŸ”₯πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Kwa kutoa hits kibao ndani ya mwaka 2024, umeendelea kutangaza Singeli na kuonyesha ubora wa muziki wetu. Kutoka Maisha ya Bongo hadi Kazi ya Zege, kila wimbo ni balaa! πŸ‘

πŸ‘‰ Studio: J4D Sound
🎢 "Singeli ni maisha, na Adasco ndiye jembe la muziki huu!"

πŸŽ‰πŸ”₯ 10,000 PLAYS ON AUDIOMACK! πŸ”₯πŸŽ‰Big congratulations to Mzee wa Bwax and Kapaso BKP on their smash hit   πŸŸ’πŸ’›, produced by ...
30/12/2024

πŸŽ‰πŸ”₯ 10,000 PLAYS ON AUDIOMACK! πŸ”₯πŸŽ‰

Big congratulations to Mzee wa Bwax and Kapaso BKP on their smash hit πŸŸ’πŸ’›, produced by the talented Adasco!

This is just the beginning of more greatness. Huge shoutout to , , and the unstoppable family for the love and support! πŸ’ͺ🎢

Let’s keep the vibes going! Stream Yanga now on Audiomack and share the energy! πŸ’₯

πŸŽ‰πŸ”₯ Asante kwa kuifanya mwaka huu kuwa wa kipekee! Kufikisha 10,000 followers kwenye YouTube ni zawadi kubwa kwangu, na y...
19/12/2024

πŸŽ‰πŸ”₯ Asante kwa kuifanya mwaka huu kuwa wa kipekee! Kufikisha 10,000 followers kwenye YouTube ni zawadi kubwa kwangu, na yote ni kwa sababu yenu – mashabiki wangu wa nguvu! πŸ™Œβ€οΈ

Nawapenda sana na nawatakia kila la heri katika msimu huu wa sikukuu! πŸŽ„βœ¨
Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya wenye furaha, amani, na baraka tele! πŸŽπŸŽ†

Endeleeni ku-subscribe kwa channel yangu na tukutane mwaka mpya kwa nguvu zaidi na muziki bora zaidi! πŸš€πŸ”₯

πŸ”₯ Adasco M2 M'bad drops the visuals for his latest Amapiano hit, Njee Ya Beat! πŸ‡ΉπŸ‡Ώβœ¨ Feel the vibes, energy, and unmatched...
18/12/2024

πŸ”₯ Adasco M2 M'bad drops the visuals for his latest Amapiano hit, Njee Ya Beat! πŸ‡ΉπŸ‡Ώβœ¨ Feel the vibes, energy, and unmatched talent in this masterpiece.

πŸ“Ί Watch the official video now and let the rhythm take over! πŸ‘‰ https://youtu.be/Ae8ZK6gGYpQ?si=KJ9h-qFZb17kXaIS

260.8k Plays na bado tunaendelea! πŸ™ŒπŸ”₯ Shukrani za dhati kwa kila mmoja anayesapoti 'Mi Ndio Yule' πŸ™. Upendo wenu ndio una...
18/12/2024

260.8k Plays na bado tunaendelea! πŸ™ŒπŸ”₯ Shukrani za dhati kwa kila mmoja anayesapoti 'Mi Ndio Yule' πŸ™. Upendo wenu ndio unanipa nguvu kila siku. Twendelee kusongesha mziki huu pamoja! πŸš€β€οΈ

10/12/2024
πŸŽ‰ Mafanikio ya Playlists 1,000! 🎢Asante sana kwa upendo na sapoti yenu kubwa! ❀️ Mi Ndio Yule imefika kwenye playlist 1,...
01/12/2024

πŸŽ‰ Mafanikio ya Playlists 1,000! 🎢

Asante sana kwa upendo na sapoti yenu kubwa! ❀️ Mi Ndio Yule imefika kwenye playlist 1,000 Audiomack kwa sababu yenuβ€”mashabiki wetu wa nguvu.

Safari hii isingewezekana bila streams, shares, na hamasa zenu. Hebu tuendelee kupeleka mziki huu mbali zaidi! πŸŒπŸ’―

Kaeni tayari kwa vibao zaidi na zawadi nyingine. Msomali wenu ndio kwanza ameanza! πŸ”₯

Habari familia ya muziki! 🎢 Wimbo wetu mpya sasa unapatikana kwenye digital platforms zote ukiwemo Audiomack, Boomplay, ...
29/11/2024

Habari familia ya muziki! 🎢 Wimbo wetu mpya sasa unapatikana kwenye digital platforms zote ukiwemo Audiomack, Boomplay, Apple Music, na Spotify. Hakikisha unatembelea platform unayoipenda zaidi na kufurahia vibe ya ngoma hii moto kabisa! πŸ”₯
Asante kwa sapoti yenu ya dhati! ❀️

10,000 plays and counting! 🌟 A heartfelt thank you to all our fans and supporters who made this milestone possible. Your...
29/11/2024

10,000 plays and counting! 🌟 A heartfelt thank you to all our fans and supporters who made this milestone possible. Your love for Singeli Vitamin C keeps us going! Let’s keep the energy aliveβ€”stream, share, and spread the vibes! πŸ’š

πŸŽ‰πŸ”₯ Hatua ya Mafanikio - Mara 1,000  Streams! πŸ”₯πŸŽ‰Shukrani za dhati kwa mashabiki wote kwa mapenzi na sapoti kubwa kwenye  ...
22/11/2024

πŸŽ‰πŸ”₯ Hatua ya Mafanikio - Mara 1,000 Streams! πŸ”₯πŸŽ‰
Shukrani za dhati kwa mashabiki wote kwa mapenzi na sapoti kubwa kwenye ya Kapaso BKP! πŸ™ŒπŸ’œ Imetayarishwa na Adasco M2 M’bad , ngoma hii inazidi kupanda chati. Endelea kusikiliza na kushare kwenye Audiomack! πŸŽΆπŸ’ƒ

Asante sana kwa sapoti yenu ya dhati! πŸ™πŸŽ‰ Wimbo wetu 'UONGO' umefanikiwa kufika kwenye 100 PLAYLISTS kwenye Audiomack! πŸ”₯H...
20/11/2024

Asante sana kwa sapoti yenu ya dhati! πŸ™πŸŽ‰ Wimbo wetu 'UONGO' umefanikiwa kufika kwenye 100 PLAYLISTS kwenye Audiomack! πŸ”₯
Hii yote ni kwa sababu ya upendo wenu na nguvu mnazotupa kila siku. Endeleeni kutusikiliza na kutushika mkono. Bila nyie, hatungefika hapa. ❀️

πŸŽ‰ 50,000 Plays! πŸŽ‰Asanteni sana kwa ku-stream Singeli Vitamin A ya Msomali kwenye Audiomack! Hatungefika hapa bila sapoti...
13/11/2024

πŸŽ‰ 50,000 Plays! πŸŽ‰
Asanteni sana kwa ku-stream Singeli Vitamin A ya Msomali kwenye Audiomack! Hatungefika hapa bila sapoti na upendo wenu kwa muziki wa Singeli. Tuendelee kusikiliza na kufikisha 100k plays pamoja! πŸ”₯🎢

Thank you all for streaming Singeli Vitamin A by Msomali on Audiomack! We wouldn’t have reached this milestone without your support and love for Singeli music. Let’s keep the vibes alive and hit 100k plays together! πŸ”₯🎢

"πŸ”₯ 5,000 PLAYS on Audiomack! πŸš€ Big thanks to everyone showing love and streaming 'UONGO' πŸ™Œ Your support means the world!...
20/09/2024

"πŸ”₯ 5,000 PLAYS on Audiomack! πŸš€ Big thanks to everyone showing love and streaming 'UONGO' πŸ™Œ Your support means the world! Let’s keep the momentum going, and if you haven’t listened yet, hit the link and vibe with us! 🎢πŸ’₯

🎢 New Music Alert! 🎢Narah Elba is back with her latest hit "Give It To Me" produced by Ayo Lizer! πŸ’₯ Get ready to vibe to...
20/09/2024

🎢 New Music Alert! 🎢
Narah Elba is back with her latest hit "Give It To Me" produced by Ayo Lizer! πŸ’₯ Get ready to vibe to some fresh Afropop beats. Stream now and let us know your favorite part! πŸ”₯

Address

Chamazi Music
Dar Es Salaam
15116

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chamazi Music posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chamazi Music:

Videos

Share

Category

karibu google search pub kiwanja cha burudani ndani ya chamanzi

ukiwa ndio umeingia chamanzi uwezi acha izungummzia na kuitembelea googlesearch sehemu nzuri ya vvinywaji pia kuna vip kwa ajili ya utulivu