Mazoea Media Group

Mazoea Media Group Tufuate instagram na twitter , tupo pia You Tube TV Subscribe kuhabarika.
(1)

Kiungo mtanzania Baraka Gamba Majogoro 26 amejiunga na  Chippa United inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika KusiniKila la kher...
04/08/2023

Kiungo mtanzania Baraka Gamba Majogoro 26 amejiunga na Chippa United inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini

Kila la kheri

  //  • • •Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, CPA(T) Issa Masoud amezindua eneo maalum ndani ya Makumbusho ya Taifa  ambapo ...
04/08/2023

// • • •
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi, CPA(T) Issa Masoud amezindua eneo maalum ndani ya Makumbusho ya Taifa ambapo kumbukumbu zote za klabu yetu zimewekwa rasmi.

Baada ya kuzindua eneo hilo ambalo kuna eneo maalum taarifa zote za klabu tangu ilivyoanzishwa mwaka 1936, CPA(T) Masoud ametembezwa maeneo mbalimbali na Kaimu Mkurugenzi wa Wanachama, Mzee Khamis Kisiwa.

Eric Johola amejiunga na Geita Gold FC akitokea akitokea YangaGeita wao wanakuambia atawaka mpaka mtamtamani tena😀
04/08/2023

Eric Johola amejiunga na Geita Gold FC akitokea akitokea Yanga

Geita wao wanakuambia atawaka mpaka mtamtamani tena😀

JITU LIMEANZA KUTUPIA HUKO AVIC, NGUSHI MZIZE HAWAPOIYanga imeendelea na maandalizi yake kuelekea msimu ujao ambapo leo ...
04/08/2023

JITU LIMEANZA KUTUPIA HUKO AVIC, NGUSHI MZIZE HAWAPOI

Yanga imeendelea na maandalizi yake kuelekea msimu ujao ambapo leo itakuwa na mechi mbili za kirafiki za kujipima nguvu.

Asubuhi ya leo Yanga imecheza na timu ya Friends Rangers ya jijini Dar es Salaam na mabingwa hao wa Ligi Kuu msimu uliopita wakishinda kwa mabao 6-1.

Mabao ya Yanga yamefungwa na washambuliaji Crispin Ngushi aliyefunga mara mbili, Clement Mzize na Hafiz Konkoni, Pacome Zouzoua na Stephanie Aziz KI.

Konkoni huo ni mchezo wake wa kwanza wa kirafiki tangu asajiliwe na Yanga wiki iliyopita akianza vyema kwa kufunga bao.

Leo tena jioni Yanga itacheza mchezo mwingine wa pili wa kirafiki watakapokutana na JKU ya Zanzibar.

HII NI KUBWA!!Simba imethibitisha mgeni rasmi katika tamasha lake atakuwa ni Rais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt M...
04/08/2023

HII NI KUBWA!!

Simba imethibitisha mgeni rasmi katika tamasha lake atakuwa ni Rais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mama Samia Suluhu

Mpaka sasa tiketi zote zimenunuliwa ikiwa ni siku tatu kabla ya tukio (jumapili August 06, 2023)

Ibrahim Ajib Migomba amejiunga rasmi na Coastal Union inayonolewa na Mwinyi Zahera ambaye amewahi kiwa kocha wake wakiwa...
03/08/2023

Ibrahim Ajib Migomba amejiunga rasmi na Coastal Union inayonolewa na Mwinyi Zahera ambaye amewahi kiwa kocha wake wakiwa Yanga

Tiketi zote za Simba day zimeisha [Sold out] Haya, rekodi imewekwa tiketi za tamasha kuisha siku tatu kabla ya tukio
03/08/2023

Tiketi zote za Simba day zimeisha [Sold out]

Haya, rekodi imewekwa tiketi za tamasha kuisha siku tatu kabla ya tukio

Mmoja anahemea, mwingine anapika. Azam hii ashindwe kocha tu🙌
03/08/2023

Mmoja anahemea, mwingine anapika.

Azam hii ashindwe kocha tu🙌

Miaka michache nyuma Diamond aliimba wimbo wa Simba na akatumbuiza kwenye Simba dayMwaka huu tena, Ali Kiba ameimba wimb...
02/08/2023

Miaka michache nyuma Diamond aliimba wimbo wa Simba na akatumbuiza kwenye Simba day

Mwaka huu tena, Ali Kiba ameimba wimbo wa Simba na anaenda kutumbuiza kwenye Simba day

Wasanii wakubwa nchini wameiimbia Simba na kutumbuiza kwenye tamasha lake kubwa

Bahati mbaya hawajaiimbia Yanga, na imeshakuwa ngumu kuja kuimba tena lakini ya Mungu makubwa

Miaka michache nyuma Diamond aliimba wimbo wa Simba na akatumbuiza kwenye Simba dayMwaka huu tena, Ali Kiba ameimba wimb...
02/08/2023

Miaka michache nyuma Diamond aliimba wimbo wa Simba na akatumbuiza kwenye Simba day

Mwaka huu tena, Ali Kiba ameimba wimbo wa Simba na anaenda kutumbuiza kwenye Simba day

Wasanii wakubwa nchini wameiimbia Simba na kutumbuiza kwenye tamasha lake kubwa

Bahati mbaya hawajaiimbia Yanga, na imeshakuwa ngumu kuja kuimba tena

Hafiz Konkon ameanza mazoezi ya kuchukua jukumu lililoachwa na King Mayele. Nadhani atafanya kwa nafasi yake kawaida, za...
31/07/2023

Hafiz Konkon ameanza mazoezi ya kuchukua jukumu lililoachwa na King Mayele. Nadhani atafanya kwa nafasi yake kawaida, zaidi au kiasi cha kuisaidia timu kushinda mataji lakini siyo kwa ulinganifu na Mayele

Yeye mwenyewe anakuambia amezaliwa upya sasa kwanini kipa asitaabike vile😀
31/07/2023

Yeye mwenyewe anakuambia amezaliwa upya sasa kwanini kipa asitaabike vile😀

Batman Petrolspor FC inayomilikuwa na kampuni kubwa ya kuzalisha na kuuza mafuta (Oil ) Uturuki, jioni ya leo inatarajia...
30/07/2023

Batman Petrolspor FC inayomilikuwa na kampuni kubwa ya kuzalisha na kuuza mafuta (Oil ) Uturuki, jioni ya leo inatarajia kukipiga na Simba mchezo wa kirafiki.

Imeanzishwa mwaka 1960, rangi ya jezi ni nyekundu na nyeupe. Huku nyeusi ikiwa ni chaguo la tatu.

Matajiri hao wa mafuta wanashiriki Ligi Daraja la Pili (Turkish Second League) ambapo msimu uliyopita wamemaliza wakiwa nafasi ya 16, huku ligi ikiwa na jumla ya timu 19.

Katika hizo mechi 36 imefunga mabao 40, ya kufungwa 44.

Kwahiyo hakuna pa kupozea makali? Wabongo wamepigwa! Kiduku naye kadundwa nyumbani, nadhani mapromota walifanya scout nz...
29/07/2023

Kwahiyo hakuna pa kupozea makali? Wabongo wamepigwa! Kiduku naye kadundwa nyumbani, nadhani mapromota walifanya scout nzuri sana ya wapinzani. Siku nyingine bondia wetu wasicheze kwa kutegemea home ground wataendelea kupigwa tu pale watapokutana na bondia wazuri

Broetu amerudi kwenye ubora wake, don't swipe
29/07/2023

Broetu amerudi kwenye ubora wake, don't swipe

Promota alifeli kwenye SCOUTING 😀, huyu jamaa ameiva sana siyo wa kuletewa Mandonga wetu siku nyingine muwage makini mta...
29/07/2023

Promota alifeli kwenye SCOUTING 😀, huyu jamaa ameiva sana siyo wa kuletewa Mandonga wetu siku nyingine muwage makini mtatuulia🛌

Nani kaona?
29/07/2023

Nani kaona?

Nyie Nabi ameanza huko, kamrundika mtu mkonoFT: AS Far Rabat 5-0 KAC
29/07/2023

Nyie Nabi ameanza huko, kamrundika mtu mkono

FT: AS Far Rabat 5-0 KAC

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
10923

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mazoea Media Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mazoea Media Group:

Videos

Share