SimonayTz

SimonayTz Damu wa Simba
# Tujenge ushiriki na Simba sc
klabu ya Simba
kuhusu klabu ya Simba sc
Support Klabu ya Simba

๐Ÿ‘‰ EM ๐Ÿ‘ˆ Hapo skills zipoSpeed ipoWanasimba tukutane Uwanjani 26,01,2025Saa 10: 00 jioni
25/01/2025

๐Ÿ‘‰ EM ๐Ÿ‘ˆ
Hapo skills zipo
Speed ipo

Wanasimba tukutane Uwanjani 26,01,2025
Saa 10: 00 jioni

Mechi ya kwenda kuwapongeza wachezaji kwa kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.Mnakaribishwa Wanasimba.   ...
25/01/2025

Mechi ya kwenda kuwapongeza wachezaji kwa kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Mnakaribishwa Wanasimba.

STORY ๐Ÿ˜†   wakati Msimu unaanza katika michezo ya Awali kabisa ya Simba SC :Wakati msimu unaanza Chamou Karaboue alikua m...
25/01/2025

STORY ๐Ÿ˜†

wakati Msimu unaanza katika michezo ya Awali kabisa ya Simba SC :

Wakati msimu unaanza Chamou Karaboue alikua mlinzi wa Kikosi cha kwanza akicheza Pacha na Che Melone, Kwa sasa nafasi hiyo imehamia kwa Abdulrazak Hamza akicheza na Che Melone

Wakati msimu unaanza, Safu ya Viungo wawili ilikua katika umiliki wa Mzamiru Yassin na Fabrice Ngoma (Simba Day) kisha Ikaja Pacha ya Mzamiru Yassin na Debora Fernandez (Ngao ya Jamii) alafu tukashuhudia Debora Fernadez na Agustin Okejepha, Fadlu pia aliwatumia Debora Fernandez na Yusuf Kagoma katikati

Kwa sasa wamilili halali wa eneo la Katikati ni Yusuf Kagoma na Fabrice Ngoma

Wakati msimu unaanza mshambuliaji namba 9 wa Kikosi cha kwanza alikua Desse Mukwala na Msaidizi wake alikua ni Valentino Mashaka, SASA ni Leonel Ateba Mbida na msaidizi wake ni Desse Mukwala

Wakati msimu unaanza, Winga zetu zilimilikiwa na Edwin Balua pamoja na Joshua Mutale na Sasa Ziko katika mikono salama ya Kibu Denis Prosper na Ellie Mpanzu

Wakati msimu unaanza Wanasimba walitaka Ngoma avunjiwe mkataba ila kwa sasa wanataka Aongezwe mkataba

Wakati msimu unaanza Simba ilipewa 4% tu za Kubeba Ubingwa ila kwa sasa inaongoza Ligi na inaongoza kila kitu na Bado tunajenga Timu tu wala hatutaki Ubingwa sisi tuna 4% tu za Ubingwa๐Ÿ˜†

Wakati Msimu unaanza Simba ilitajwa haitatoboa kwa Al Ahli Tripoli ila kwa sasa ipo zake Robo fainali na waliotoboa kwa CBE na Vital O kwa sasa wapo zao CRDB Cup

Wakati msimu unaanza Gongowazi walitaka kucheza na malaika ila kwa sasa wamemrudia Mungu na heshima ipo ya kutosha tu๐Ÿ˜†

Ongezea nyingine hapo๐Ÿ‘‡

Mechi ya kwenda kuwapongeza wachezaji kwa kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.Mnakaribishwa Wanasimba.
25/01/2025

Mechi ya kwenda kuwapongeza wachezaji kwa kutinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Mnakaribishwa Wanasimba.

 ๐Ÿ“ธ Semaji Ahmed Ally akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia ushiriki wa Simba SC katika Bunge Bon...
24/01/2025



๐Ÿ“ธ Semaji Ahmed Ally akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia ushiriki wa Simba SC katika Bunge Bonanza 2025 ambalo litafanyika Februari 1, 2025 jijini Dodoma.

Mkutano huo ulihudhuriwa pia na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Wallace Karia.

 Wakati wa mapumziko Moussa Pinpin Camara aliamua kwenda kufurahia na familia yake visiwani Zanzibar.
24/01/2025


Wakati wa mapumziko Moussa Pinpin Camara aliamua kwenda kufurahia na familia yake visiwani Zanzibar.


Salamu za kipekee kwa mashabiki wangu wapya chipukizi! John Samuhenda, Nisher Phabian Julius, Supuk Supuk
24/01/2025

Salamu za kipekee kwa mashabiki wangu wapya chipukizi! John Samuhenda, Nisher Phabian Julius, Supuk Supuk

 Tovuti ya FootballDatabase, imechapisha orodha ya vilabu bora duniani ikijuimuisha Mabara yote na Ligi zote katika mata...
23/01/2025


Tovuti ya FootballDatabase, imechapisha orodha ya vilabu bora duniani ikijuimuisha Mabara yote na Ligi zote katika mataifa husika.

Kwa Tanzania, tovuti hiyo ya FootballDatabase imeitaja Club ya Simba kuwa Klabu namba moja (1) kwa ubora Nchini Tanzania, huku ikiwa Namba Mia saba thelathini na moja (731) kati ya vilabu vyote ulimweni na kuwa nafasi ya sitini na moja (61) kwa upande wa bara la Afrika wakiwa wamekusanya alama 1392

Club ya Young Africans imetajwa k**a klabu nambari mbili (2) kwa ubora nchini Tanzania, nafasi ya 1152 kati ya vilabu vyote duniani, na nafasi ya 151 kati ya vilabu vyote Barani Afrika ikiwa imekusanya point 1333.

Club ya tatu kwa ubora Nchini Tanzania imetajwa Azam Fc ambao wao katika Rank ya Dunia wako katika nafasi ya 2234 kati ya vilabu vyote Duniani na wapo nafasi ya 446 kati ya vilabu vyote Barani Afrika wakiwa wamekusanya alama 1249.

NOTE: Takwimu hizi za FootballDatabase ni tofauti na takwimu nyingine zozote ambazo umeziona, kwani wao wanaangalia Perfomance ya Klabu tokea imeanzishwa mpaka michezo iliyochezwa January 19' 2025.

Ole Musa Camara ๐Ÿ˜ŠMusa Camara Yupo Zanzibar kwenye Vacation wakati huu ambapo Timu imepewa Mapumzikoo Mafupi
23/01/2025

Ole Musa Camara ๐Ÿ˜Š

Musa Camara Yupo Zanzibar kwenye Vacation wakati huu ambapo Timu imepewa Mapumzikoo Mafupi

Ahmed Ally ametaja jina jipya la Jean Charles Ahoua baada ya kuombewa Uraia๐Ÿ˜‚
23/01/2025

Ahmed Ally ametaja jina jipya la Jean Charles Ahoua baada ya kuombewa Uraia๐Ÿ˜‚

PINPIN MOUSA CAMARA๐Ÿ’ซLango la simba sc mda wote lipo salama katika mikono ya Moussa Pinpin Camara
23/01/2025

PINPIN MOUSA CAMARA๐Ÿ’ซ

Lango la simba sc mda wote lipo salama katika mikono ya Moussa Pinpin Camara

Karibu arudie goli alilowafunga CS Constantine kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza.Unalikumbuka hili tukio?
23/01/2025

Karibu arudie goli alilowafunga CS Constantine kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza.

Unalikumbuka hili tukio?

23/01/2025

๐Ÿ™ HONGERA MDOGO WANGU
KWA UFAULU WA KIDATO CHA NNE
ULISTAHILI SANA ๐Ÿ™
mungu akutangulie mdogo wangu ninaimani na juhudi zako ๐Ÿ™

Inashangaza Sana hii habari Kupata URAIA wa Tanzania kwa wachezaji wa Singida Black Stars ni rahisi kuliko Mtanzania wa ...
23/01/2025

Inashangaza Sana hii habari

Kupata URAIA wa Tanzania kwa wachezaji wa Singida Black Stars ni rahisi kuliko Mtanzania wa kawaida kupata kitambulisho cha NIDA.๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚

TANZANIA IPO MIKONO SALAMA HESHIMA INALETWA NA VIJANA.Kupitia akaunti ya X ya Mwandishi wa Habari kutoka Ghana  ameweka ...
23/01/2025

TANZANIA IPO MIKONO SALAMA HESHIMA INALETWA NA VIJANA.

Kupitia akaunti ya X ya Mwandishi wa Habari kutoka Ghana ameweka wazi kuwa kupitia Mtandao wa IFFHS umetoa orodha ya ligi bora na ngumu barani Afrika na ligi kui ya Tanzania NBC imepanda mpaka nafasi ya Nne.

NBC imezipita ligi za Afrika Kusini, Tunisia, Congo DR na Nigeri

Taarifa yake inasema kuwa:-

IFFHS has released the rankings for their 2024 strongest national leagues in Africa. ยฉ
1. Nile Premier League โ€” Egypt =
2. Botola Pro League โ€” Morocco
3. Ligue 1 โ€” Algeria
4. NBC Premier League โ€” Tanzania
5. Ligue 1 Pro โ€” Tunisia

Kwa upande wako unasemaje?? Tunasitahili au wametupaisha tu ๐Ÿ˜‚

TUNAKUJA TABORA โœ๏ธNBC Premier League inarejea  Februari 02, 2025.Simba SC watakuwa ugenini dimba la Ali Hassan Mwinyi wa...
22/01/2025

TUNAKUJA TABORA โœ๏ธ
NBC Premier League inarejea Februari 02, 2025.

Simba SC watakuwa ugenini dimba la Ali Hassan Mwinyi wakikipiga na Tabora United.

Je, ni Mnyama ama Nyuki wa Tabora nani kuondoka na alama tatu?

Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 10:00 jioni.

UCHEZAJI WA KIBU DENIS UNAWAVUTIA MAKOCHA WENGI WA KIGENI.Robertinho alipofika Simba tu akamuona Kibu Denis...Watu wakas...
22/01/2025

UCHEZAJI WA KIBU DENIS UNAWAVUTIA MAKOCHA WENGI WA KIGENI.

Robertinho alipofika Simba tu akamuona Kibu Denis...Watu wakasema huyu Kocha yuko sawa kweli?

Robertinho akaanza kumjenga Kibu anayemtaka...akawa anampa nafasi mara kwa mara kipindi hicho hata mashabiki wa Simba walikuwa hawamuelewi Kibu.

Hatimaye Kibu Denis yupo kwenye kiwango sahihi cha kuichezea Simba...naambiwa Yanga walitaka kumchukua dirisha kubwa lililopita deal ikashindikana baada ya kushindwa kufikia dau alilolitaka Carlos Mastermind

SIMBA QUEENS WAMEVUNJA SHERIA ZA FOOTBALL NA KUTUMIA BASKETBALL.๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡Mo dewji Simba Queens huo sio mpira ni basketball.
22/01/2025

SIMBA QUEENS WAMEVUNJA SHERIA ZA FOOTBALL NA KUTUMIA BASKETBALL.๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Mo dewji Simba Queens huo sio mpira ni basketball.

Address

Dar Es Salaam
2001

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SimonayTz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SimonayTz:

Videos

Share