Mwarobaini Online TV

Mwarobaini Online TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwarobaini Online TV, News & Media Website, Dar es Salaam.

Mwarobaini Online TV ni page yako pendwa inayokuletea Matukio yote ya Wasanii yaliyojili ndani na nje ya Tanzania pia ni page inayokuletea mitindo ya Nywele na Mavazi kila siku.

SIMULIZI TAMU YA MAPENZIMapenzi na Bodaboda yalivyonitesa. Mimi ni msichana peke yangu kwenye familia yetu yenye watoto ...
25/09/2024

SIMULIZI TAMU YA MAPENZI
Mapenzi na Bodaboda yalivyonitesa.
Mimi ni msichana peke yangu kwenye familia yetu yenye watoto nane.
Kaka zangu wao wapo saba hivyo sina dada yangu wa tokanitoke.
Nyumbani kwetu kwa Baba na Mama ni Visiwa vya Ukerewe vilivyoko ndani ya ziwa Victoria.
Wazazi wangu pamoja na ndugu zangu wengi mpaka sasa wanaishi Ukerewe.
Nilipohitimu darasa la Saba sikufanikiwa kujiunga na kidato cha kwanza.
Nilikaa nyumbani kwa miezi miwili na kujiona mwenye upweke sana maana marafiki zangu
walinitenga kwakuwa wao walichaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza.
Siku moja nilienda ziwani kuchota maji baada ya kufika ziwani nikawakuta mabinti
wawili wakiogelea na mimi nikaungana nao tukaogelea pamoja.
Nilipoanza kuogelea ndipo nikawaonyesha uwezo wangu wa kuzama chini ya maji
na kuogelea chini kwa chini ya maji mpaka upande wa pili.
wale mabinti walifurahi sana, mmoja aliniambia yeye ametokea mkoa wa Dar es salaam
Baada ya kusikia hivyo nilifrahi sana maana nilikuwa na ndoto za siku moja
kufika Jijini Dar es Salaam kutokana na sifa nyingi nilizowahi kusikia kuhusu jiji hili maharufu.
Huyo binti alisema alikuja ukerewe kumsalimia bibi yake na siku mbili zijazo atarudi
Dar es salaam. Kusikia hivyo nilimuomba twende nae Dar es salaam pindi akirudi huko.
Alikubali twende nae Dar es salaam, mimi sikuwaza kuhusu nikifika huko nitaishije
maana nilikuwa na kiasi furani cha hela nilichokipata baada ya kuuza viazi
vyangu nilivyokuwa nimelima.Kipindi tunasoma wazazi wetu walitufundisha kulima.
Tulifanikiwa kusafiri na kufika Dar salaam Salama, Nilifikia nyumbani kwao rafiki yangu.
Nilikaa kwao rafiki yangu baada ya wiki moja nikaanza kuuza maji maarufu k**a maji ya kandoro.
Niliendelea kuuza maji ya kandoro kwa mwaka mmoja na nusu nikazidi kuwa mwenyeji ndani ya jiji la Dar es salaam.
Baada ya mtaji wangu kukuwa niliamua kuanzisha banda la kuuza chakula yaani nikawa Mama ntilie au Mama lishe.
Nilifungua banda langu la mama ntilie huko Mbagala. Banda langu lilikuwa karibu na kituo cha
madereva wa pikipiki maarufu k**a Bodaboda. Nilipata wateja wengi kwakuwa nilikuwa na
kauli nzuri ya biashara pamoja na chakula kizuri, kitamu nilichokuwa nikipika kiliwavutia watu wengi.
Licha ya kupika chakula kizuri mimi mwenyewe nilikuwa msafi pia nilikuwa na mvuto kutokana umbo langu zuri
nikiwa mwembamba, maji ya kunde niliyejaliwa msambwanda uliyowavutia watu wengi wenye tamaa ya mapenzi.
Kutokana na wateja kuongezeka kila siku niliamua kutafuta wadada wawili wa kazi.
Kipindi chote hicho nilikuwa ninaendelea kukaa kwao rafiki yangu tulietoka nae visiwa vya Ukerewe.
Niliamua kutafuta chumba changu cha kuishi nilipata na kupanga mbali kidogo na kazini kwangu.
Siku moja nilichelewa kufunga kazi kutokana na wateja kuwa wengi nikaita bodaboda ili anipeleke nyumbani.
Bodaboda alikuwa wa kwenye kijiwe cha karibu na kazini kwangu hivyo alinijuwa vizuri.
Bodaboda alinipeleka mpaka nyumbani kwangu huku akinitania kuhusu Msambwanda wangu uliokuwa ukiwadatisha
watu wengi wenye tamaa ya mapenzi. kesho yake yule boda alikuja na wenzake wanne kunichangia chakula.
Alinitambulisha kwa boda wenzake kuwa mimi ni mteja wake wa kufa na kuzikana. sikujali sana
kwasababu nilikuwa ninayajuwa maneno ya mabodaboda.
Ilipofika muda wa kurudi nyumbani nilimpigia yuleyule bodaboda ili aje anipeleke maana yeye tayali
anapajua nyumbani. Alinipeleka pindi tuko njiani boda alifunga buleki kwa ghafla ndipo chuchu zangu
zilimchoma bodaboda mgongoni kwake tukaendelea na safari. tulipokaribia kufika boda alifunga mara
mbili buleki kwa ghafula chuchu zangu zikamchoma tena mgongoni kwake kisha nikashuka.
Nilimlipa yule boda hela yake ya nauli lakini boda alikataa kuchukuwa ile hela akasema sister
kaa nayo tu ata kesho ni siku. Nilibaki nikiwaza kuhusu boda kukataa hela na kunijibu vile.
Kesho yake alikuja kula chakula bandani kwangu, alilipa hela ya chakula nikamurudishia chenchi yake
akakataa akasema tena sister kaa nayo tu ata kesho ni siku. Huyu boda alizidi kunipa mawazo kwani
sikujua anamaanisha nini?. Niliendelea kupelekwa nyumbani na huyu boda kwa siku nyingi kidongo.
Huyu boda nilimuamini sana japo kuwa tuliwahi kupata ajali mara mbili lakini niliendelea nae tu.
Siku moja sikwenda kazini nikamupigia boda wangu niliemwamini siku nyingi aje anipele kariakoo.
tulipofika kariakoo boda aliniomba nimsubili amununulie mpenzi wake nguo za ndani kisha tukarudi nyumbani.
Tulipofika nyumbani boda akanipatia zile nguo akasema sister kaa nazo tu ata kesho ni siku.
Kesho yake usiku nilimuomba huyo boda anipeleke nyumbani kwangu, alinipeleka mpaka nyumbani.
Tulipofika aliniomba maji ya kunywa ndipo nilimwambia aingie ndani ili nimpatie.
Baada ya kumaliza kunywa maji boda aliniambia kuwa alikuwa anahisi jasho kubwa na kuchoka sana
aliniomba k**a inawezekana nimpatie maji akaoge. nilikubali kwa shingo upande, akaoga.
Alipotoka bafuni akaja kifua wazi huku ajajifuta maji yanatililika ndipo nikaamua kumpatia
taulo kujifuta. Baada ya hapo nilijikuta ninaanza kumtamani yule boda nilisikia mwili wangu
wote unasisimka na kuishiwa nguvu boda akaniuliza sister vipi mbona sikuelewi unaumwa?.
nikashindwa kuongea nikamtazama tu, kisha nikainama. boda akanisogelea akanigusa kichwani akanitikisa
talatibu akauliza umekuaje sister?. Nikainua kichwa taratibu kutazama boda kifua kiko wazi nikaona bokisa
yake kwa mbele imetuna. Nilizidi kuchanganyikiwa ugonjwa ukazidi. ndipo boda akaniambia nikupeleke
Hospitali au niite majirani?. nikajikaza nikasema ninyanyue nipeleke kitandani.
Boda aliponinyanyua na kugusa msambwanda wangu kisha aligusa chuchu zangu.
alinibeba huku dudu lake likinipapasa nilizidiwa kuwa taabani.
Baada ya kuniweka kitandani aliuliza vipi sister unahisi joto nikuvue nguo?.
Nikasema ndio, akanivua nguo. Itaendelea sehemu ya pili au ingia Youtube kutaza video zote. tafuta mwarobaini Online TV.

Ingia Youtube, Tafuta Mwarobaini Online TV kwa misuko mipya kila siku
17/12/2022

Ingia Youtube, Tafuta Mwarobaini Online TV kwa misuko mipya kila siku

Ingia Youtube, Tafuta Mwarobaini Online TV Kwa misuko mipya kila siku
17/12/2022

Ingia Youtube, Tafuta Mwarobaini Online TV Kwa misuko mipya kila siku

Misuko Mipya ya Nywele Karibu YoutubeTafuta Karanga TV
13/11/2022

Misuko Mipya ya Nywele Karibu Youtube
Tafuta Karanga TV

Misuko Mipya ya Nywele Karibu YoutubeTafuta Mronge TV
13/11/2022

Misuko Mipya ya Nywele Karibu Youtube
Tafuta Mronge TV

Misuko Mipya ya Nywele Karibu YoutubeTafuta Misuko TV
13/11/2022

Misuko Mipya ya Nywele Karibu Youtube
Tafuta Misuko TV

Misuko Mipya ya Nywele Karibu YoutubeTafuta Mitindo TV
13/11/2022

Misuko Mipya ya Nywele Karibu Youtube
Tafuta Mitindo TV

Misuko Mipya ya Nywele Karibu YoutubeTafuta Mwarobaini Online TV
13/11/2022

Misuko Mipya ya Nywele Karibu Youtube
Tafuta Mwarobaini Online TV

10/10/2022
08/10/2022

Ingia YouTube
Ujiunge nasi
Tafuta Mwarobaini Online TV
Upate Misuko Mipya kila siku

Ingia YouTube sasaTafuta 'Karanga TV'Tazama Video Kisha Subscribe
21/09/2022

Ingia YouTube sasa
Tafuta 'Karanga TV'
Tazama Video Kisha Subscribe

Misuko Mipya Bofya kutazama hii link https://youtu.be/1w6Wq5yY43U?t=7
05/09/2022

Misuko Mipya Bofya kutazama hii link https://youtu.be/1w6Wq5yY43U?t=7

MISHONO YA NGUO NA HIJAB YA STARAHIJAB OUTFITSMAXI DRESSHIJAB OUTFITS IDEASMISHONO YA NGUO NA HIJABMitindo ya kusuka rasta za mabutuMitindo ya kusuka rasta n...

Ingia Youtube Tafuta; Mwarobaini Online TV
22/08/2022

Ingia Youtube Tafuta; Mwarobaini Online TV

Njoo YoutubeTafuta MITINDO TVNjoo Ujipatie Misuko na mishono ya Kisasa
09/08/2022

Njoo Youtube
Tafuta MITINDO TV
Njoo Ujipatie Misuko na mishono ya Kisasa

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwarobaini Online TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share