Chuma Sounds

Chuma Sounds AUDIO | VISUAL | LABEL CHUMA SOUNDS RECORDS
📱CALL+255629798850
📳WHATSSAP : +255763431594

TANGAZO LA KUFUNGWA KWA STUDIOTunapenda kuwataarifu wateja wetu na wadau wote kuwa Chuma Sounds Records iliyoko Kimara T...
13/08/2024

TANGAZO LA KUFUNGWA KWA STUDIO

Tunapenda kuwataarifu wateja wetu na wadau wote kuwa Chuma Sounds Records iliyoko Kimara Temboni imefungwa kwa sasa na haifanyi kazi. Hatua hii imesababishwa na changamoto ambazo ziko nje ya uwezo wetu.

Taarifa hii inatolewa rasmi na C.E.O wetu, Allen Chuma. Hata hivyo, tunapenda kuwahakikishia kuwa studio yetu itarejea na huenda ikawa katika eneo tofauti. Pindi tutakaporejea, tutawataarifu mara moja.

Tunawashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.

Ahsanteni kwa uelewa wenu.

Chuma Sounds Records

02/02/2024

Walter Rhymes

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chuma Sounds posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chuma Sounds:

Videos

Share