Watu wanataka Diamond atoke hadharani aseme nini walifanya kwa Diddy?
P.Diddy Jina lake halisi ni Sean Combs
Mwamba ana skendo nyingi sana chafu chafu kwa sasa ukiacha ile ya kuhusika ya kutengeneza mchongo wa kumuua Tupac pamoja na Notorious B.I.G au Big popa maarufu kama BIG
Lakini kubwa aliyotikisa zaidi kwa sasa ni hii skendo yake ya kuwafokoa wanaume wenzake .
Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa wasanii kama Meek Mill ,Justin Bieber na Usher Raymond mwamba katatua malinda.
Nimemuona Meek Mill huko Twitter anatumia nguvu kubwa kukana hizi kashfa kila dakika halafu wana wanamkataa .
Ndugu yetu anayejita Simba hapa bongo ashawahi kwenda kwenye mjengo wa P.Diddy katika harakati zake za kutafuta umaarufu na pesa .
Sasa sijajua kama aliachwa salama na mwamba Sean Combos maana hakuna anayetoka salama mule kwenye mjengo wake hasa wanaohitaji msaada wa muziki kutoka kwake .
Unaambiwa huyu mwamba kashikilia mziki wa huko Marekani pamoja na Tasnia ya Filamu Hollywood hata zile Tuzo za Grammy Awards ni mali zake .
Kweli usitamani maisha ya kifahari ya mtu kwanza lazima ujue pesa zake anazipatia wapi?
Siku hizi mtoto wakiume anatakiwa achungwe sana kuliko wa kike.
#MYDSwahili
We dada hebu malizia wimbo ni mkuki au mkubwa? 🤣
Zuchu aliimba wimbo huu akiwa kisiwani Zanzibar ingawa ameomba radhi kwa maneno yaliyopo humo
Mlolongo wa matukio kabla Mr Ibu hajafariki 👇👇
▪️Baada ya kupeana talaka na mke wake wa kwanza, mwanamke huyo akapita na pesa zote za jamaa bank.
▪️Mke wa pili naye ikafikia mahali anamsh*taki Ibu kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa 🤔
▪️Huyu mzee ikafika hatua tena akaanza kuumwa kisukari
▪️Baadae alikuwa na ugonjwa wa damu kuganda kwenye mishipa ya damu iliyokufa mguuni 😭
▪️Huyu mzee alichangiwa pesa za matibabu binti yake kapita nazo zote 😭
▪️Mkewe bado alimuomba iPhone 15 alipokuwa yupo anaelekea kukata moto 😳
▪️Aliuza mali zake zote, Mguu wake ukakatwa
▪️Mwishowe, anakufa akiwa ameachwa bila mke, hana mali, hana pesa na hana miguu
Baada ya kufa mwanae naye anabadili jina la akaunti ya tiktok yenye likes 3.9M kuwa yake. 😳
Aise Fear Women 🤔🤔🤔
https://www.facebook.com/MwagillohYouths
Dada kaona atuonyeshe mbinu ya kumkomesha Mbu msumbufu
Kuna story niliisikia zamani, Kuna kijana mmoja alikua anauza maandazi, akapita eneo la hostel za shule ya wasichana, wakamuita aingie mule ndani akawauzie, basi unaambiwa kumbe walikua na lengo lingine, yule kijana alipoingia ndani kilichomkuta,..🤣 alikuja kuokolewa na Police akiwa hoi