Matogo news

Matogo news News production

27/08/2022
08/07/2022
08/07/2022
06/07/2022
06/07/2022
05/07/2022

Wakati Musa anazaliwa ndio wakati huo huo Farao alitangaza kuwaua watoto wachanga wote wa wamisri... kwakweli I don't how Mama mayake Musa alimficha asionekane, but Biblia inasema KWA IMANI wazazi wa Musa walimficha... Well Neno kwa imani ni pana sana na tutalijadili siku nyingine...ila Leo wacha nikuoneshe hiki ki puzzle kidogo cha imani....

Biblia inasema Musa alipofikisha umri ambao mama yake hakuweza kumficha tena, bado hakusema tu wacha afe, no alimjengea kisafina na akamuweka ndani ya maji, na kusema "sijui itakuwaje ila ninamwamini Mungu atamlinda mwanangu na kumtunza"(paraphrased), guess what...

Mungu alimleta Musa kwa binti Farao na Musa akaanza kulelewa ndani ya Farao, the same guy ambaye anatafuta kuwaua watoto wa kiyahudi, ndo the same guy anamlea... yaani umewahi kuwaza kulelewa ndani ya nyumba ya Adui yako, yaani anayetafuta kukuua ndio anayekuhifadhi ili uishi, unalelewa na adui yako,(Yaani anayetakiwa kukufukuza kazi ndio huyo anayeku-favor na kukupa promotion....)THATS FAITH Maaaaan.

And on top of that mama yake Musa akapata na ajira ya bure ya kumnyonyesha mwanaye mwenyewe huku analipwa mshahara, can you imagine. God works in a marvellous way when we trust him in our dark times. Mungu hufanya kazi kwa namna ya ajabu sana k**a akiaminiwa hasa katika nyakati za giza.


📸Best Friend Since Day One.

02/07/2022
27/06/2022
18/06/2022

Heart to Heart Talk...

Son, I was once there...
Dhambi ni mzigo. Inalemea.. biblia inasema mshahara wa dhambi ni mauti. Wakati uko dhambini the only thing you feel you deserve ni kufa tu au nimauti tu. The only way out of this kind of situation is to come clean... njoo utubu na sio utubu kwa mtu(sio wote wana vifua my friend), nenda mbele za Mungu straight (Biblia inasema natukikaribie kiti cha REHEMA kwa Ujasiri).

Tunapoambiwa tuliamini Neno la Mungu sio katika kupokea baraka tu na uponyaji, no, tuliamini hili neno kwenye kila kitu...hata katika lile Mungu alilosema juu ya dhambi na gharama zake lakini pia juu ya namna ya kupona.

Shetani anastrive sana kwenye guilty za wanadamu. Kwenye sheria ya makosa ya jinai (criminal law) huwa tunasema tunasema you're not a criminal until you're proven guilty. Yaani wewe sio mkosaji mpaka imethibitishwa kisheria na kiushahidi kuwa wewe ni mkosaji.

So shetani anachokifanya yeye k**a mshtaki anakuletea ushahidi wote wa maisha yako kuwa wewe ni mkosaji na hustahili hata kuishi so kwakuwa uchungu wa makosa uliyoyafanya unakuumiza unajikuta wewe mwenyewe ndio unakuwa Shahid wa kwanza kwamba ni kweli mimi nimezingua sana so sistahili hata kuishi...

Lakini Neno la Mungu linasema Yeyo aliyempokea Yesu amepewa uwezo kwa Neema yake kuwa Mwana wa Mungu na Biblia inasema aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi(yaani hata k**a yeye anajiona ni mdhambi) midhali umepokea msamaha wa Mungu amekufanya mwanaye, sasa k**a ambavyo shetani huwa analeta ushahidi ili uwe na guilty ndivyo ambavyo Roho Mtakatifu Biblia inasema anashuhudia pamoja na Roho zetu ya kuwa sisi ni Wana wa Mungu na ndani yake yeye tunalia Aba(yaani kumuita Kwa UJASIRI WOTE) na k**a kwatu ni baba basi tunaweza kurudi kwake wakati wote na kusema baba nimekosa nisamehe. Na yeye si mwanadamu hata anune au aweke vinyongo maana yeye alitusamehe kabla ya sisi kutubu, hata tukitubu mara nyingi tunatubu kwaaji ya ku-clear guilty conscience zetu ila yeye ni mwaminifu na wa haki anatusamehe sisi na udhalimu wote....

Na hii ndio maana halisi ya sisi TUNAOSAIDIWA na BWANA. Mungu anataka sana Kutusaidia, mpe tu nafasi, just go , "Mungu ninaomba UNISAIDIE"

16/06/2022

Waebrania 11:11
[11]Kwa imani hata Sara mwenyewe alipokea UWEZO wa kuwa na mimba; alipokuwa amepita wakati wake; kwa kuwa alimhesabu yeye aliyeahidi kuwa mwaminifu.

Biblia inasema Sara alipokea UWEZO wa kuwa na Mimba( Biblia haisemi Sara alipokea mtoto,) hii ikufundishe Mungu anakupa UWEZO tu wa kuwa na kitu au kupata kitu suala la kukilea hicho kitu Mpaka kitokee ni wewe. Mungu yeye nagawa UWEZO tu the rest put your mind to work.

Ndio maana tunao watu wengi wanaoombewa na watumishi kupata vitu hawapati au Wanapata UWEZO tu ila suala la kuvilea na kuvifanya vitokee kuwa kitu halisi ni malezi yako.

Mungu anaweka UWEZO wake akimaliza yanayo baki ni attitude zako na tabia zako namna ya kulea hicho ulichopata kwa Mungu. Mungu anaweza kukupa uwezo wa kupata kazi ila wa kuitunza ni wewe(kwa nidhamu yako). Mungu anaweza kukupa Biashara na Wateja ila namna ya kuwatunza ni wewe (kwa nidhamu yako na umakini wako.)

Imani analeta Mungu kwa NENO lake na ile imani inakupa UWEZO wa kuwa mtu au kitu fulani then baada ya hapo ni suala la maintenance ambalo hilo Mungu kakuachia upambane nalo. Mungu hawezi kukubebea wewe mimba yako, yeye kakupa uwezo I mimba utabeba wewe miezi tisa mpaka uzae.
Uvumilivu, umakini na nidhamu itafanya ule UWEZO wa Mungu kuleta maana. Hata tukikuombea watumishi buku, hatuwezi kukufanyia assignment zako. Be DISCIPLINED!!!

07/06/2022
20/09/2021
21/08/2021

UHUSIANO KATI YA DAMU NA TABIA(KUNDI O)

Je unajua kuwa tabia ulizonazo ni kutokana na kundi lako la damu?

🤔Unajua group lako la damu?
🤔Je Unajua kuwa tabia yako ni kutokana na group lako!?
🤔Je unajua kuwa ni muhimu kulijua group lako la damu?

🔔Imelia sikioni mwako Twende pamoja

Kwa kawaida kila binadamu yuko kwenye kundi mojawapo la damu kati ya makundi manne.
1. 🅰
2. 🆎
3. 🅱
4. 🅾

Makundi haya yanaweza kutumika kufahamu tabia za binadamu na jinsi hii yaweza kuwa rahisi na ya karibu zaidi kuliko kutumia nyota “astrology” k**a ambavyo wengi wanafanya, na wataalamu wanasema tabia kwa uhusiano na kundi la damu ina uhakika zaidi kuliko wenye vyanzo vingine. Mbali na tabia, ukweli ni kwamba makundi yetu ya damu yanaweza kutuonyesha pia vile mtu anavyopendelea na asivyopendelea,

kazi anazopendelea, watu anaowapendelea na hata vyakula. Baadhi ya watafiti nchini korea wamebainisha kuwa hata namna tunavyopendelea kuketi hutegemea sana na makundi yetu ya damu, sasa tuangalie uhusiano huu

Kundi la damu aina ya O.

Hawa maranyingi wanajitahidi kuwa mahodari na mashujaa katika mambo tofauti. Mara zote kiu yao ni kuwafurahisha na kuwapendeza watu wengine ni wenye moyo wa uongozi wenye kiu ya kuwaona rafiki zao wakiwa wenye furaha wakati wote. Sio wagumu wa mabadiliko, wako tayari kubadilika, ni wenye mawazo mapana naya wazi, sio wagumu kifikra na ni marafiki wazuri.

Faida zao

Ni wenye ujasiri, wanashindana katika mambo mengi mfano mambo ya maendeleo, hufanya kazi sana na kwa bidii, ni waaminifu, wanaweza kujieleza, ni marafiki wazuri, wanasamehe, mitazamo yao ni chanya, huweza kuhisi au kuonamambo hata kabla hayajatokea,wanakiu ya kufahamu na kudadisi na pia niwatu wema na watoaji.

Mapungufu yao

Maranyingine wanaweza kuwa wenye fujo, wanaopenda sifa, wanavutia vitu upande wao, wanaepuka au kukwepa majukumu,unaweza kuona hawa wanaigiza mambo, wakitaka wametaka hadi wapate na nirahisi kuwaondoa kwenye kile wanachokifanya “easy to be distracted”.

Maisha ya kijamii

Ni marafiki wazuri na unaoweza kuwategemea, ni waaminifu, ni wawazi,ingawa mara nyingine wanaweza kukuudhi, pia wakati mwingine wanatamani kusikilizwa wao tu.
Kazini
Wana kiu ya mafanikio, hufanya kazi kwa bidii ingawa kukatishwa tamaa na kupoteza hamasa ya kazi kirahisi sana. Mara nyingine ili wafikie malengo ni vema wakisimamiwa kwenye kazi wanayo fanya badala ya kuachwa wafanye wenyewe..

Mahusiano ya mapenzi

Ni watu wenye mvuto wa kimahaba pia watu hawa wana hisia Kali za kimapenzi wanaweza kuonyesha mapenzi kwa wale wanaowapenda ila ni vema ukafahamu kuwa watu hawa hutarajia upendo wa jinsi ile ile wao wanavyoonyesha upendo kwako bila hivyo utakosana nao.

Ukweli wa kitafiti kuhusu watu hawa

HAWAPATI MARADHI KIRAHISI
Kwanza ifahamike kuwa watu wenye damu kundi hili wamegawanyika mara mbili ambazo ni damu kundi “O” chanya (O positive) na kundi “O” hasi (“O” negative) mgawanyo huu umetokana na mgawanyo wa kitaalamu ambao huitwa “rhesus factors” ambao ndio unaotumika kugawanya makundi ya damu.

Kwa ujumla kundi hili la damu liwe hasi au chanya halina proteins maalumu zilizomo ndani ya damu ambazo huitwa “antigens” ambazo ndizo mara nyingi ni rahisi kushika magonjwa isipokuwa lina “antibody” ambazo ndizo kinga mwili zinazopambana na maradhi ndiyo maana damu kundi “O” linaitwa “Universal Donor” damu kundi lolote linapokea.
Na kwa wakati fulani maradhi yanayowasumbua watu wenye damu kundi hili ni malaria, kichwa na mafua na wengine husumbuliwa sana na ugonjwa wa kutoka damu za pua (Rhinits) au wengine huita kambaku ambao husababishwa na kula nyama yenye lehemu nyingi (cholestrolel) ambazo ni nyama ya ng’ombe, kondoo, samaki aina ya dagaa, uwono na mboga ya majani inayoitwa kisamvu na wakati mwingine maziwa ya ng’ombe au kutembea kwenye jua kali sana au kutumia manukato yenye harufu kali.

NI WAPENDA NGONO

Watu wenye damu kundi hili wana hisia kali sana za mapenzi hii ni kutokana wana homoni nyingi, hali hii inawapelekea kupenda sana ngono na vile vile huwa wakizaa wanafanana sana na watoto wao iwe sura, tabia au mwendo iwe mwanamke au mwanaume
Watu hawa Mara nyingi huwashwa masikio yao kwa ndani hivyo Mara nyingi wanajikuna masikio
Wanaaminika huwa na tabia za kijeshi.
Wengi wao kwa asili ni watu wa kupenda michezo.
Wanaaminika kuwa watu wema na waliotayari kusaidia mtu yeyote, hata katika uchangiaji wa damu ‘watu wa kundi ‘O’, wanaweza kumpa damu mtu mwingine yeyote.
Wanapendelea na kujisikia raha wanapokula nyama “meet lovers".

07/08/2021
01/08/2021
03/07/2021
13/06/2021
🙈🙈🙊🙊👇👇👇????
04/06/2021

🙈🙈🙊🙊👇👇👇????

ARUSHA: SABAYA AFIKISHWA MAHAKAMANI

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa Mahak**a ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa na wenzake watatu baada ya kuhojiwa na TAKUKURU juu ya tuhuma kadhaa zinazomkabili

Soma > https://jamii.app/SabayaOver

29/05/2021

Address

Chato

Telephone

+255769167732

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Matogo news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share


Other Media/News Companies in Chato

Show All