Kaza Misuli ya IMANI-Amos balaja

Kaza Misuli ya IMANI-Amos balaja Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kaza Misuli ya IMANI-Amos balaja, Digital creator, 0621733060 BARIAD SIMIYU, Bariadi.

21/11/2024

kuogopa anza

Simama imara katika IMANI usijaribu kudanganyika kwa vizu vionekanavyo elewa vyaweza kukuvuta kutoka NURUN/Kwenye haki n...
15/11/2024

Simama imara katika IMANI usijaribu kudanganyika kwa vizu vionekanavyo elewa vyaweza kukuvuta kutoka NURUN/Kwenye haki na kupelekwa GIZANI/Upotevuni,jisimamie usidanganye UTAPOTEZWA.

Ukiamini hutalia tena hata k**a utalia na kuweka NUKTA,ukipia kipindi cha kulia elewa upo unabii wa kucheka kwa furaha m...
13/11/2024

Ukiamini hutalia tena hata k**a utalia na kuweka NUKTA,ukipia kipindi cha kulia elewa upo unabii wa kucheka kwa furaha mbele yako,ukipitia kipindi cha kukosa ni unabii kwako wa kupata,ukipia kipindi cha kusalitiwa au kuchukiwa unatabiriwa KUPENDWA,Ukipitia kipindi cha ukata/umasikin au uhitaji elewa huo ni utabir wa Utoshelevu/ukwasi au utajiri,Acha kuogopa wala usikate tamaa ANZA KUAMINI.

12/11/2024

Pata FASRI za Ndoto,Maono na mafunuo,
USIPUUZIE NDOTO UNAZO OTA
NDOTO NI MAISHA :- +255621733060

11/11/2024
Ongeza kiwango cha kuamini uzidi kukabiliana nazo
11/11/2024

Ongeza kiwango cha kuamini uzidi kukabiliana nazo

Vumilia hari yoyote maana kwa kufanya hivyo nikutengeneza daraja la kuvuka ng`ambo ya mafanhkio yako usikate tamaa
07/11/2024

Vumilia hari yoyote maana kwa kufanya hivyo nikutengeneza daraja la kuvuka ng`ambo ya mafanhkio yako usikate tamaa

07/11/2024

HATUPOKEI ili tutoe,Bali TUNATOA ILI TUPOKEE
Jifunze kuwa na destri ya KUTOA ipo siri hapo imejificha

05/11/2024

Usikate tamaa/usichoke Matatizo yako ya leo ni
MAFANIKIO yako ya KESHO.

Ndugu jitahidi kuikaza misuli yako ya IMANI ,haijalishi kuwa ni mazingira gani au hatari gani, kwa hari gani wewe mwamin...
05/11/2024

Ndugu jitahidi kuikaza misuli yako ya IMANI ,haijalishi kuwa ni mazingira gani au hatari gani, kwa hari gani wewe mwamini tu MUNGU usibadili nia yako na mtazamo wako ukaanza kuwa na mashaka,hofu na wasiwasi juu ya hari unayopitia /utakayopitia, iwe uchumi,elimu,afya,na maisha kwa ujumla, zidi kuikaza misuli yako ya IMANI usiangalie majira, changamoto au mazingira hatak**a ni yakutisha sana Amini tu wewe ni Mshindi,
Hofu,wasiwasi,kuogopa na mashaka ni tafsiri ya , bali ujasiri na kuamini ni tafsiri ya , Acha kuogopa kaza misuli yako ya Imani anza KUAMINI.

04/11/2024

Chochote unachohitaji KIOMBE KWA MUMGU NA UAMINI KUWA MUNGU KAUMBA ULIMWENGU ATAKUPA UTAKACHO

Ongeza kiwango chako cha kuamini katika DINI yako
04/11/2024

Ongeza kiwango chako cha kuamini katika DINI yako

Address

0621733060 BARIAD SIMIYU
Bariadi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kaza Misuli ya IMANI-Amos balaja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share


Other Digital creator in Bariadi

Show All