Reuben Tv

Reuben Tv Habari zote zinatolewa hapa

BUGGATI AKIGUSWA NI YANGA IMEGUSWA.Na Thadei Ole Mushi. Hima hima wanayanga wote Duniani, Ukiachana na Magoli anayofunga...
04/07/2022

BUGGATI AKIGUSWA NI YANGA IMEGUSWA.

Na Thadei Ole Mushi.

Hima hima wanayanga wote Duniani, Ukiachana na Magoli anayofunga Mayele uwanjani, ukiachana na ubora wa kina Feisal, Ukiachana na Mpunga mzito anaoutoa GSM kwenye timu, ukiachana na ufundi wa makocha wetu kunakiumbe kinapigana pale yanga kufa na kupona kuiheshimisha club yetu.

Haji Manara, El-Buggat alikuja Yanga ikiwa ina GSM na ina kila kitu isipokuwa kitu kimoja tu Yanga ilikuwa haina Saikolojia nje ya uwanja na kujiamiani jambo ambalo limesababisha mwaka huu Yanga kunyanyua makombe matatu.

Manara anafanya kazi kubwa sana pale Yanga, anacheza game zote za nje ya uwanja, anaitangaza brand yetu vilivyo, anatufanya tujiamini, anapigana vita vyote nje ya uwanja sio sahihi yeye kwa sasa kushambuliwa na sisi kukaa kimya. Wanayanga wote wanapaswa sasa kuamka na kumsemea huyu mpambanaji wetu.

Yanga huko nyuma imefanyiwa hujma nyingi sana chini ya uongozi huu huu unaomtuhumu Haji kwa sasa, nani asiyejua kuwa Karia ni Simba na mpango wake ni kuidhoifisha Yanga? anajua ukimpiga Manara akatulia Mengi ya Hovyo na Hujuma Yanga itafanyiwa na hakuna wa kusema.

Issue ya Arusha ipo hivi.

Manara aliitwa na Mh John Mongela mkuu wa Mkoa wa Arusha jukwaa kuu. Manara alipokwenda Karia akaanza kumdhihaki na kumtolea maneno ya Kashfa. Kiuhalisia Karia alienda Arusha sio k**a Rais wa TFF bali alikuwa amebeba agenda za COASTAL Union. Ndio maana hadharani kabisa alisema kuwa mmesawazisha ila mlikuwa na "Kinyesi kwenye chupi" maneno haya aliyasikia mkuu wa wilaya Arusha DC Mtanda na alisikia pia Mkuu wa Mkoa wa Arusha.

Karia hapendi mafanikio ya Yanga ndio maana Manara anapigwa vita sana. Ukiachana na Manara mwingine anayepigwa vita ni Mayele.

Wanayanga Bugatt akiguswa ni Yanga imeguswa. Kila mtu sasa asimame na Manara na Yanga yetu. Tupo vitani tuipigane wote.

Tumetukanwa sana
Tumetaniwa sana
Tumeonewa sana.

Kwa sasa inatosha Finally Manara sio Kichaa. Inasikitisha kuona hii vita kaachiwa Manara mwenyewe... Akifungiw

Mi 5 tena kazi iendelee. Ukinizingua nakuzingua {tunazinguana}
06/04/2021

Mi 5 tena kazi iendelee. Ukinizingua nakuzingua {tunazinguana}

Tanzania yetu.
05/04/2021

Tanzania yetu.

05/04/2021

All news coming.
Ni hapa hapa michezo aina yote inapatikana hapa

19/03/2021
23/12/2020
19/12/2020
Tazama magoli ya ajabu na subscribe channel hiyo
17/07/2020

Tazama magoli ya ajabu na subscribe channel hiyo

15/07/2020
09/07/2020
Daaaaah wakuitwa Morrison
26/01/2020

Daaaaah wakuitwa Morrison

Tutaelewana tuu
26/01/2020

Tutaelewana tuu

Match of the dayVPL
18/01/2020

Match of the day

VPL

Address


Telephone

0783683563

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Reuben Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share