Apostle Benson

Apostle Benson SON OF THE
PROPHET OF SIGNS AND WONDERES. I THANK GOD FOR MY FATHER IN THE LORD DR. IKERA.

16/12/2024

TANZANIA ARE YOU READY??
THIS IS YOUR TURN.
NI USIKU WA KUHAMISHWA.
NA NABII WA ISHARA NA MIUJIZA DR. IKERA.



USIKOSEEEE

LEO HII SAA TATU KAMILI USIKU, NITAKUWA NYEMO FM DODOMA.UWEZA USIOONEKANA. 97. 7
16/11/2024

LEO HII SAA TATU KAMILI USIKU, NITAKUWA NYEMO FM DODOMA.

UWEZA USIOONEKANA. 97. 7

UKIKOSA UFUNGUO SAHIHI WA MLANGO  HAUWEZI KUPAINGIA HATA K**A NI MAHALI PAKO.SASA MUDA UMEFIKA. NJOO TUSEME NA MALANGO Y...
16/11/2024

UKIKOSA UFUNGUO SAHIHI WA MLANGO HAUWEZI KUPAINGIA HATA K**A NI MAHALI PAKO.

SASA MUDA UMEFIKA. NJOO TUSEME NA MALANGO YAKO JUMAPILI HII.
DODOMA.

UTAFANYA NINI K**A MALANGO YAKO YAMEFUNGWA KINYUME CHAKO??SABABU KWAMBA WATU WENGI HAWAENDELEI KWA KIWANGO CHA JUHUDI ZA...
14/11/2024

UTAFANYA NINI K**A MALANGO YAKO YAMEFUNGWA KINYUME CHAKO??

SABABU KWAMBA WATU WENGI HAWAENDELEI KWA KIWANGO CHA JUHUDI ZAO NI UWEPO WA NGUVU ZA SIRI ZINAZOFUNGA MALANGO, ILI WEWE NA FAMILIA YAKO MSIPANGIE MAHALI HAPO PA USHINDI.

JUHUDI ZAKO ZINAKUWA SI KITU, JITAHAHADA ZAKO ZINAKUWA MACHEZO MBELE YA ADUI ZAKO.

JUMAPILI HII, NJOO WEWE NA FAMILIA YAKO TUSEME NA MALANGO YA BARAKA ZA FAMILIA YAKO.

NJOO NA KOFULI LENYE FUNGUO.

EMAUS YA KWANZA MWISHO WA AIRPORT MKABALA NA DCT HOLY TRINITY PRIMARY SCHOOL.

USIKOSEEEE

The Time is now.Jumapili hii. Njoo na chumvi.MUNGU WA ISHARA NA MIUJIZA ANAENDA KUKUPATIA LADHA YA KIBALI NA HESHIMA.   ...
09/11/2024

The Time is now.
Jumapili hii.
Njoo na chumvi.

MUNGU WA ISHARA NA MIUJIZA ANAENDA KUKUPATIA LADHA YA KIBALI NA HESHIMA.

.IKERA

the Good news.

07/09/2024

UFALME WAKE UJE.
KWA NEEMA YA MUNGU JUMAPILI HII TENA,

NI JUMAPILI YA KUFUNGUA MALANGO YA BARAKA ZILIZOFUNGWA.

KWA UPAKO WA ISHARA NA MIUJIZA UNAOTENDA KAZI KWA MTU WA MUNGU. NABII DR IKERA JUMAPILI HII MALANGO YAKO YA KAZI, UCHUMI, AFYA, NDOA, BIASHARA N.K YALIYOFUNGWA YANAENDA KUFUNGULIWA.

MWANA WA NABII APOSTLE BENSON ATAKUONGOZA KATIKA MAOMBI MAALUMU YA KUYAFUNGUA MALANGO YAKO.

DODOMA EMAUS YA 1 MWISHO WA AIRPORT.

MUDA SAA 3: 30.
USIKOSEE

JINA LAKO LINA SIRI YA NGUVU ZAKO NA USHINDI WA MAISHA YAKO.JUMAPILI HII,  UTUKUFU WA JINA LAKO ULIOFUNIKWA UNAENDA KUFU...
24/08/2024

JINA LAKO LINA SIRI YA NGUVU ZAKO NA USHINDI WA MAISHA YAKO.

JUMAPILI HII, UTUKUFU WA JINA LAKO ULIOFUNIKWA UNAENDA KUFUNULIWA.


Emaus ya kwanza Mwisho wa Airport Mkabala na DCT HOLY TRINITY PRIMARY SCHOOL.
AU
PIGA NAMBA.

0657676812
0766388114

MUDQ NI SAA 4 KAMILI ASUBUHI.
USIKOSEEEE





16/08/2024

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! Nuru Benson, Izaking Rhino, Peter Ole Samwel, Amosi Jonas, Baraka Kabitagi

10/08/2024

POKEA Mwaliko.

10/08/2024

Pokea mwaliko

10/08/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Beatrice Meckyleno Selei, Agusti Justini Kimaty

TAZAMA NAMTUMA MALAIKA WANGUKWA NEEMA YA MUNGU  JUMAPILI HII  MWANA WA NABII APOSTLE BENSON  ATAKUONGOZA KATIKA MAOMBI M...
10/08/2024

TAZAMA NAMTUMA MALAIKA WANGU

KWA NEEMA YA MUNGU JUMAPILI HII MWANA WA NABII APOSTLE BENSON ATAKUONGOZA KATIKA MAOMBI MAALUM YA KUINGIA AGANO LA KUPOKEA MSAADA WA MALAIKA. KWENYE AFYA, UCHUMI, UKOMBOZI, UREJESHO NK.

NI WAKATI WAKO WA KUTETEWA NA MALAIKA ILI UINGIE MAHALI PA BARAKA ZAKO.
NJOO UHUDUMIWE NA MALAIKA.

MAHALI
EMAUS YA KWANZA TOKA DODOMA MJINI MWISHO WA AIRPORT MKABALA NA DCT PRIMARY SCHOOL.

MUDA: SAA 3 KAMILI ASUBUHI

NJOO UPOKEE MSAADA NA HUDUMA YA MALAIKA WEWE NA FAMILIA YAKO.






.


#

JUMAPILI HII MUNGU WA BABA YANGU ANAENDA KUKUPATIA MILKI YAKO. HII SIYO YA KUKOSA KABISA PIGA NAMBA HIZI KIPEPERUSHI KWA...
03/08/2024

JUMAPILI HII MUNGU WA BABA YANGU ANAENDA KUKUPATIA MILKI YAKO.

HII SIYO YA KUKOSA KABISA
PIGA NAMBA HIZI KIPEPERUSHI
KWA MAELEKEZO ZAIDI.

NI WAKATI WA KUMILIKI
NI WAKATI WA KURITHI
NI WAKATI WAKO.

EMAUS YA KWANZA KUTOKA DODOMA MJINI
EMAUS YA PILI TOKA KISASA.
NI MWISHO WA FANCE YA AIRPORT MKABALA NA DCT HOLY TRINITY PRIMARY SCHOOL.
IBAADA NI SAA 4 MPA SAA SABA MCHANA.
USIKOSEEEE.
# KHOEM_CHURCH



.


.

UFALME WAKE UJE. KUNA SIRI KUBWA JUU MANENO YALIYOTAMKWA, YANAYOMKWA JUU YA MAISHA YA WATU WAKATI WA VITA.WENGINE WAMETA...
13/07/2024

UFALME WAKE UJE.

KUNA SIRI KUBWA JUU MANENO YALIYOTAMKWA, YANAYOMKWA JUU YA MAISHA YA WATU WAKATI WA VITA.

WENGINE WAMETAMKIWA LAANA ZA KUTOKUFANIKIWA, MAGONJWA, UMASKINI NA MATESO.

SASA WAKATI WA KUYAGEUZA MANENO MABAYA ULIYOTAMKIWA UMEFIKA.

MANENO YA MADHABAHU YANA NGUVU KULIKO SILAHA ZA VITA,

USIKOSEEEE

SOCIAL HALL
.

DODOMA TENA.ALHAMISI HII NI IBADA YA MAOMBI YA KUPOKEA NGUVU YA KUZAA MATUNDA. WATU WENGI WANA JUHUDI KATIKA KUTENDA ILA...
10/07/2024

DODOMA TENA.
ALHAMISI HII NI IBADA YA MAOMBI YA KUPOKEA NGUVU YA KUZAA MATUNDA.

WATU WENGI WANA JUHUDI KATIKA KUTENDA ILA WAKATI WAO WA KUZAA MATUNDA ADUI HUKATA MASHADA YA ZABIBU ZAO.

MUNGU WA MADHABAHU TAKATIFU YA KHOEM ANAENDA KUKUPATIA NGUVU YA KUZAA MATUNDA.

UKIWA DODOMA,
AU UNA NDUGU DODOMA
HII NEEMA SIO YA KUKOSA.

UKUMBI WA UMONGA SOCIAL HALL.
NDANI YA UMONGA SECONDARY
DODOMA AREA A.
BARABARA YA AIRPORT.
AU PIGA NAMBA ZILZOKO KWENYE KIPEPERUSHI.

NJOO NA TUNDA LAKO.

NI WAKATI WA ISHARA NA MIUJIZA.

USIKOSEEEE
SAA KUMI KAMILI JIONI.


      UKO TAYARI????UPAKO WA ISHARA NA MIUJIZA UMEKUFIKIA, MUNGU AMESIKIA KILIO CHAKO...JUMAPILI HII NI KUINGIA AGANO LA...
06/07/2024




UKO TAYARI????

UPAKO WA ISHARA NA MIUJIZA UMEKUFIKIA, MUNGU AMESIKIA KILIO CHAKO...

JUMAPILI HII NI KUINGIA AGANO LA USHINDI NA UTAJIRI..

DODOMA HII SIYO YA KUKOSA.

NI KATIKA UKUMBI WA UMONGA SOCIAL HALL.
UMONGA SECONDARY
BARABARA YA AIRPORT.

IBADA INAANZA SAA 3 ASUBUHI.


WAAMBIE WENGINE HABARI HIZI NJEMA.


THIS GOOD NEWS.

Address

Babati

Telephone

+255766388114

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Apostle Benson posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Apostle Benson:

Videos

Share