09/01/2026
Imeeandikwa kitaalam sana na
Allan Okello ni talented player katika generation hii ya sasa ,Kusajiliwa kwenda Yanga ni hatua kubwa sana kwake ukizingatia kwasasa klabu zetu za Tanzania zinafanya vizuri sana kimataifa kuliko klabu za Uganda.
K**a Allan atafanaikiwa katika ligi ya Tanzania naona future bora kwake na kwa Yanga kufanya biashara yake kimataifa.
Allan anaheshimika sana Uganda ,ukiachilia mbali umri wake lakini nchini humo anaonekana ni star mkubwa sana ...Yanga wamempata Mchezaji mzuri huyu anaweza kuwa Okwi mwingine katika ligi yetu.