13/08/2024
Happy Birthday Mylzie ππInafurahisha kukuona ukikua na kubadilika ,ninajivunia kuwa na mtu k**a wewe katika maisha yangu nimekuwa na wew kila mwaka ...huwa hukutaka kuniacha mbali katika mapambano yangu ya kila siku huwa unanipa moyo wa kupambana pasipo kukata tamaa. Mara pengne hutaman kulibeba tatiz lang k**a lako. nashukuru sana.. Yapo mengi ambayo siwez hata kuyaandika maana ukurasa huu hautoshi . Nakuombea kwa mungu kusiwe na upungufu wa tabasamu au amani na upendo moyΓΈni mwako.uwe na imani katika mipango yako ya kila siku mungu aendelee kukuangaza na kukulinda leo na siku zote za maisha yako