Mwambaunique

Mwambaunique Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwambaunique, Digital creator, .

02/09/2024

Nasoma comment
02/09/2024

Nasoma comment

Et ,😂😂
02/09/2024

Et ,😂😂

Uwe na namba ya Nida✅✓Laini hii kila Mwezi Tar1 inakupa vocha ya Tsh1500 bure✅✓NB:Tunahtaji watu wa Dar tu Tunakufata ul...
02/09/2024

Uwe na namba ya Nida✅
✓Laini hii kila Mwezi Tar1 inakupa vocha ya Tsh1500 bure✅

✓NB:Tunahtaji watu wa Dar tu Tunakufata ulipo kukuhudumia✅ Nambie uko wap nije nikuhudumie leo

😂😂
01/09/2024

😂😂

Hv kwann 😂
31/08/2024

Hv kwann 😂

Neno moja kwa juma
31/08/2024

Neno moja kwa juma

Taja kosa moja kwenye picha hiu nikupe elf12 . Follow  Gusa link kwa bio yangu kujiunga na group la wasap ☝️  Njoo inbox...
30/08/2024

Taja kosa moja kwenye picha hiu nikupe elf12 .

Follow

Gusa link kwa bio yangu kujiunga na group la wasap ☝️
Njoo inbox nikupe hela yako ✅

GUSA LINK KWA BIO YANGU KUJIUNGA NA GROUP LA WASAP ☝️
30/08/2024

GUSA LINK KWA BIO YANGU KUJIUNGA NA GROUP LA WASAP ☝️

Hii nchi😂
29/08/2024

Hii nchi😂

Kuna mwanangu baada ya kuchapwa na life, akaamua kujitosa kwenye kazi za saidia fundi. Kazi ya kwanza aliyokutana nayo k...
27/08/2024

Kuna mwanangu baada ya kuchapwa na life, akaamua kujitosa kwenye kazi za saidia fundi. Kazi ya kwanza aliyokutana nayo kwenye ghorofa moja hapo kariakoo ilikua ni kubeba zege. Kwa jinsi alivyofika tu kazini walivyotizama umbo lake mafundi wakamuambia “Dogo utaweza kweli?” 😂👇
Mwanetu akasema “nitaweza” si unajua shauku na hasira za kuisogelea pesa kivyovyote ile! Mafundi wakasema poa. Kwa waliofika site za kkoo za maghorofa wanaelewa, fundi yupo ghorofa ya 7 anataka tofali za block zipo floor ya kwanza. Jala la kwanza ikawa kupandisha tofali juu.
Ile kazi mwanetu aliifanya kuanzia saa 2 mpaka mida ya saa sita hivi! Na humo ndani inapigwa mixer ya kubebeshwa makarai ya zege anakimbia nayo pia. Hii sikia tu kwa jirani. Maana kazi ambayo kirahisi ingefanywa na lift inafanywa na binadamu ili kupunguza gharama Za ujenzi 😂
Kufikia saa saba Mchana mwanangu alikua kashasanda kitambo. Kila akisogeza mguu na karai la zege lipo kichwani anaona hatembei. Hatimae akadondoka na karai chini! Sasa sehemu Za site kunakuaga na wale jamaa wa OSHA (ambao wanasimamia usalama kazini)
Ikabidi mwanangu pale awekwe pembeni kwa sababu alikua kashachoka Ila kusema anashindwa. Kikasikika kidari kimoja ambacho kilikua kinabeba tofali kikisema “Dogo kashasanda huyu na kwenye mgao hayumo”
Kwa uchungu mkubwa mwanangu alikiri kushindwa moyoni lakini hata hivyo la zaidi zaidi ni jinsi alivyoumizwa na kazi na mwisho wa siku anarudi kapa. Alinawa miguu kwa huzuni kubwa mno ili asepe! Mara ghafla msimamizi wa vibarua aliyekuepo pembeni akiusoma mchezo wote akasema…
“Usijali Dogo mgao wako utapata” hii ilikua k**a sauti kutoka peponi kwani hakuamini na hii ni stori ambayo hatakuja kuisahau maishani mwake. Kupiga saidia fundi ujipange! Yote kwa yote vijana tusiache kupambana na kujaribu🤝

Uwe na namba ya Nida✅✓Laini hii kila Mwezi Tar1 inakupa vocha ya Tsh1500 bure✅✓Wasap Tunahitaji watu sirias✅✓NB:Tunahtaj...
26/08/2024

Uwe na namba ya Nida✅
✓Laini hii kila Mwezi Tar1 inakupa vocha ya Tsh1500 bure✅

✓Wasap Tunahitaji watu sirias✅

✓NB:Tunahtaji watu wa Dar tu Tunakufata ulipo kukuhudumia✅ Nambie uko wap nije nikuhudumie leo

Mliosema Chelsea atanichania kiko wapi😂
26/08/2024

Mliosema Chelsea atanichania kiko wapi😂

Nasoma comment
25/08/2024

Nasoma comment

Gusa link kwa bio yangu ☝️
24/08/2024

Gusa link kwa bio yangu ☝️

Mnifollow
24/08/2024

Mnifollow

Follow
23/08/2024

Follow

Address


255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwambaunique posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mwambaunique:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share