MAKAO MEDIA

MAKAO MEDIA Photography|| current affairs || sports and entertainment.

Listen to the future
20/11/2024

Listen to the future

10/08/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Cessy Junior, Dominick Kibet Ngeno, Richard Vinny, Peshi Kamweshii

03/05/2024

Nairobi city today

29/04/2024

Good morning photo lovers

Best mid fielder in the worldšŸ”„
06/04/2024

Best mid fielder in the worldšŸ”„

OmorariašŸŽ¤
04/04/2024

OmorariašŸŽ¤

Fununu zinazotufikia hivi sasa ni kuwa aliyekuwa mchezaji wa Shabana FC  huenda akajiunga na timu ya Kabeo Fc inashiriki...
01/04/2024

Fununu zinazotufikia hivi sasa ni kuwa aliyekuwa mchezaji wa Shabana FC huenda akajiunga na timu ya Kabeo Fc inashiriki katika ligi ya kaunti ya kisii.

Makao media we offer quality shoots both photos and videos.We also design posters Reach us through 0114831067
31/03/2024

Makao media we offer quality shoots both photos and videos.
We also design posters
Reach us through 0114831067

29/03/2024

Turftalk show will be posted here

27/03/2024

Fahamu
Ep: 1
Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi, usiweke kuburi na majivuno kwa maana huenda akakupokonya akanipa mimi.

Siku moja Mokaya alipata kazi katika ofisi ya serikali ambayo ina mamlaka ya kutoa ajira kwa wananchi, Mokaya alitumia mamlaka yake kulingana na vile shetani wake angemuambia.

Mokaya aliwapenda wanawake ambao alifanya nao ngono na kisha kuwapa ajira. Wanaume walitoa rushwa ili kipata ajira hizo pia.

Kijana mmoja alikuja naye kutafuta Kazi katika ofisi ya Mokaya. Kijana hakua na uwezo wa kuhonga ama tuseme alikua na uwezo lakini hakua na cha kuonga. Bwana Mokaya alimfokea kijana yule na kisha kumfukuza ofisini.
Miaka mitano badae Bw. Mokaya alikua anatafuta cheti cha usafiri aelekee nchi ya ng'ambo. Alipokua anaingia kwenye ofisi ya Afisa Mkuu mtendaji, alimuona kijana aliyemfukuza miaka mitano iliyopita.......

Man behind the idea of MAKAO MediaTribal chief siku zotešŸ‘Š
25/03/2024

Man behind the idea of MAKAO Media
Tribal chief siku zotešŸ‘Š

Beauty of photography Shot taken at juja bus station
25/03/2024

Beauty of photography
Shot taken at juja bus station

Discover JKUAT wametuma risala za rambirambi kwa familia ya wanafunzi waliofikwa na mauti kwa ajali ya barabarani.Naibu ...
20/03/2024

Discover JKUAT wametuma risala za rambirambi kwa familia ya wanafunzi waliofikwa na mauti kwa ajali ya barabarani.
Naibu chansela wa JKUAT kwa niaba ya familia yote ya JKUAT amewaombea mola awarehemu familia ya chuo kikuu cha kenyatta.

This is felix Nyaata a comrade who unfortunately lost his life yesterday in a road accident during Kenyatta university t...
19/03/2024

This is felix Nyaata a comrade who unfortunately lost his life yesterday in a road accident during Kenyatta university trip.
Rest in peace comradešŸ•Š

06/03/2024

Good morning fam

Address

Westlands

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MAKAO MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MAKAO MEDIA:

Videos

Share

Category