Ndizi News

Ndizi News News. Entertainment.Trends .Sports.Celebs .Gossip.

The Summit Hotel Ogembo this Saturday 23rd December alongside Babu Gee Omosayansi and Mr.ong'eng'o Entururu Jojoni,ombou...
19/12/2023

The Summit Hotel Ogembo this Saturday 23rd December alongside Babu Gee Omosayansi and Mr.ong'eng'o Entururu Jojoni,ombou
Watu wangu wa Ogembo,Mogonga,Sameta,Kenyenya, Magena, Nyamache, Junction,Tendere,Sengera. In short my homies. Welcome we Launch a new Hotel pale Mananasi center near Ogembo. Tag someone
Free Entry !

20/08/2023

Nani wakulaumiwa kati ya mashabiki na Msanii?🙄🙄

29/07/2023

PRESIDENT WILLIAM RUTO AND RAILA ODINGA we need peace
You are our nation leaders na kila jicho la Mkenya linawaangalia.
Are you happy venye watu wanaumia na kukufa are you happy venye wakenya wanalia njaa.
Shed bloods and it will follow you

Amen mtumishi🙏
28/07/2023

Amen mtumishi🙏

If you believe and obey the voice of the Lord healing will be yours forever

02/07/2023

1+9=10,5×2=10,11-1=10,20÷2=10.
©Mmiliki wa kampuni ya TECNO anatumia iPhone.
©Kiwanda cha kutengeneza mishumaa kinatumia umeme.
©Meneja wa kiwanda cha bia anakunywa Soda.
©Aliegundua pesa alikufa na madeni.
©Mpenzi wako mpya kwa mwingine ni wa Zamani.
©Alieyegundua simu (Alexander Bell) mpenzi wake alikua kiziwi.Jiulize aliigundua ili kumpigia nani?
©Kuna watu wameajiriwa ili kuwafunza wengine jinsi ya kujiajili.
©Baba mlevi hapendi mwanae anywe pombe na mama malaya hataki mwanae pia akadange.
©Mwizi akiibiwa anaumia sana na muuaji anaogopa sana kuuliwa.
©Anayekupa ushauri wa ndoa aliachwa Jana.
©Wachina wanatengeneza dawa za kuongeza makalio ila wao wapo k**a flat screen.
MAISHA NI SIMPO USIPOJICHANGANYA

22/05/2023
26/02/2023

Anae kwambia Eric Omondi]] anapigania haki za wanyonge anakupotosha Eric Omondi]] anachofanya nikutafta atteñtion tuliosoma tunaiita clout chasing.Mwamba âñgekua anátetea haki kwel angeita umati wakàfañyé demonistrations sio kulipa walinzi wake wakàtoneshe misuli......yule ni content creator. Kumbuka Eric Omondi]] ndie yule anaetwambia tucheze Kenyan music akati yeye bado ndie anahost akiña akina afu ananyima undergrouñd na upcoming fursa....

11/11/2022

Huo hapo wimbo favourite kwenye Library yangu sema tu natafta wa kumshirikisha... Any artist ready to be featured🤝Kikubwa uwe within hapa Nairobi.
[email protected]
[email protected]

03/11/2022

Mda wowote naachia Ep yangu hii ni Ep ya kwanza kwenye safari yangu ya mziki

Tafadhali Zen Kidada Kwamboka account was hacked kindly transact at own risk,send nudes at own risk....kidada is current...
09/09/2022

Tafadhali Zen Kidada Kwamboka account was hacked kindly transact at own risk,send nudes at own risk....kidada is currently using Taminashanny Kidada as her account msilaghaiwe...
Hizi hapa baadhi ya screenshot anavo laghaisha mhusika
👇👇👇👇

Uskose
26/08/2022

Uskose

Usiku wa leo tutakua hapa Nyamache,Kisii hakikisha unakujà na sim full charge...ni mapicha,kubadilishana manamba weekend k**a weekend....

06/08/2022

😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
It's a very big victory to all of you who have been hoping, supporting and trusting in me....
Am confused don't even know what to say... I thank God....it is a gold yes a gold..........

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Africa was watching
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❣️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

06/08/2022

Mary Moraa ,800M women commonwealth games final, 2022 Birmingham, United Kingdom.

Am just the youngest lioness....
Mimi ni mzalendo na naamini mungu... Sema leo bendela inapepea tena....
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Africa is watching let's go 🏇🏇🏇🏇🏇🏇

https://www.theguardian.com/sport/2022/aug/05/commonwealth-games-finale-brings-prospect-of-a-new-super-saturday

02/08/2022
26/07/2022

I had promised my big brother David Rudisha Gold but manze! I never lived up to my word.I know I disappointed you but I gonna make it up for you and indeed all fellow Kenyans of goodwill next.Kwa sasa nimeridhika na bronze 🥉.Just know, I have taken up the priceless nuggets of advice you have given me and hope to exceed expections at Birmingham, United Kingdom Commonwealth Games 🙏🇰🇪
800M

Address

Kisii Town

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ndizi News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ndizi News:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share