Naibu wa Rais Rigathi Gachagua amemkashifu Kinara wa Azimio Raila Odinga kwa kuandaa maandamano na kusema kua serikali ya Dr. William Ruto haitashiriki maongezi na kinara huyo wa Azimio.
Akiongea mjini Eldoret katika zoezi la kuzindua usafirishaji wa chakula cha msaada nchini, Naibu wa Rais amekashifu pia viongozi wa dini kwa kuitaka serikali kua na mazungumzo na Raila Odinga.
17 MAR 2023 - HUBZ MEDIA: Kinara wa Chama cha Jenga Mkenya Reuben Kigame amejitokeza hii leo na kusema kua atajiunga katika maandamano ya Azimio ya tarehe 20, akieleza kua hoja yake ni haki kwa wakenya, kupunguzwa kwa gharama ya maisha na haki kutokana na uongozi mbaya wa serikali ya Kenya Kwanza.
Kigame pia ameomba vitengo vya usalama kuwalinda waandamanaji wote akisema kua pia askari ni wakenya na wahusishwa katika mambo ya nchi.
THUR, 16 MAR 2023 - HUBZ MEDIA: Wanaomuunga mkono kinara wa Azimio la Umoja Raila Odinga leo wamejitokeza jijini Eldoret kulalamikia hali ngumu ya maisha huku wakiapa kujitokeza katika maandamano ya Tarehe 20 jijini Nairobi. Wakiongozwa na mwenyekiti wa ODM Bonde la Ufa Dr. Kipchumba Kaptoge, Katibu wa ODM Uasin Gishu Evans Odhiambo na Mwanabiashara Byegon Rotich na wengine, waandamanaji hawa wametaka serikali kutimiza ahadi za kampeini, kupunguza gharama na kufungua server za uchaguzi uliopita.
THU, 9TH MAR 2023 - HUBZ MEDIA: Uasin Gishu Governor on Thursday suspended Joel Ruto, Meshack Rono and 2 others inplicated in the Uasin Gishu Finland Education Scam to pave way for investigations and possible administration of justice to hundreds affected.
The governor also detailed proper plans for education abroad involving the County Assembly, and asked Finland Universities to accept direct payments from parents to avoid scandalous scenarios in future. Follow this news at www.bit.ly/41ZG7NL
THU, 9TH MAR 2023 - HUBZ MEDIA: ANC & Maendeleo Chap Chap parties in Uasin Gishu have brushed-off attempts by new UDA Secretary General Cleophas Malala to fold political parties under Kenya Kwanza Government to form a formidable force in the 2027 elections. The parties have exhibited confidence in the existing state of affairs, illuminating that multipartyism was rudimental to the victory of the current government*. _follow our news at www.hubzmedia.africa_
New Yako Supermarkets Eldoret December Offers