Mum ruthie laughter base

  • Home
  • Mum ruthie laughter base

Mum ruthie laughter  base I'm a lady full of inspiration and advice.pleae follow me for laughter and stress removing

Kwan kuachana ni dooh  gap?narundia tena kuachana ni shilingi gap?🤔nataka nikupee wwe tuachane usinipeleke polisi🤣🤣
19/06/2024

Kwan kuachana ni dooh gap?narundia tena kuachana ni shilingi gap?🤔nataka nikupee wwe tuachane usinipeleke polisi🤣🤣

Mboga ikiweza,familia inaweza😁k**a ctoshi mboga angalia upunguze  size ya ugali😁na nimeenda🏃‍♀️
19/06/2024

Mboga ikiweza,familia inaweza😁k**a ctoshi mboga angalia upunguze size ya ugali😁na nimeenda🏃‍♀️

Ujinga ni mbaya😭unaambiwa say no to alcohol alf wwe unasema hutolewa badala ya ulewe ukisema say no to alcohol 😂😂😂
01/06/2024

Ujinga ni mbaya😭unaambiwa say no to alcohol alf wwe unasema hutolewa badala ya ulewe ukisema say no to alcohol 😂😂😂

Wacha kushinda ukiambia watu ukona mtu❤😄mtu ni mwenye yuko kwa choo
01/06/2024

Wacha kushinda ukiambia watu ukona mtu❤😄mtu ni mwenye yuko kwa choo

Kitu chenye chaeza nifanya nilie pekee ni pilipili na kitunguu😁😁moyo  ushakauka☹️
01/06/2024

Kitu chenye chaeza nifanya nilie pekee ni pilipili na kitunguu😁😁moyo ushakauka☹️

Ex  pekee ni mwenye nina mtoi wke🙄 shiet🤣unaniitaje ex na chnye nilijua chako ni jina tu☹️hta sauti yko cjui 😄alf uko hp...
30/03/2024

Ex pekee ni mwenye nina mtoi wke🙄 shiet🤣unaniitaje ex na chnye nilijua chako ni jina tu☹️hta sauti yko cjui 😄alf uko hpo na ex ex peleka hizo ex zako kwa kichaka zikafanye kazi

Goja kwanza Mbna mnapenda kulie twice🙄sikiliza ukiniambia I  love you don't ever add too much😀sipendi kudanganywa mara m...
28/03/2024

Goja kwanza

Mbna mnapenda kulie twice🙄sikiliza ukiniambia I love you don't ever add too much😀sipendi kudanganywa mara mbili mie 😏

NYAMAZA KWANZA 🤐                    Back to highskull mode wangu aliniuliza how many contries are in Kenya mie nikamshow...
28/03/2024

NYAMAZA KWANZA 🤐
Back to highskull mode wangu aliniuliza how many contries are in Kenya mie nikamshow 59,akanishow stupid they are 47😁nikacheka😂nikamuask ulisikia wap wwe Kenya ina countries 🙄kupigwa yenye nilipigwa hta days nakumbuka nakosa appetite🍉 😭

Niliacha mbagi kabisa tym ynye nikisikia cuzo yangu akielezea maparo wake vle ameweza kusurvive k**a orphan🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Thanks...
28/03/2024

Niliacha mbagi kabisa tym ynye nikisikia cuzo yangu akielezea maparo wake vle ameweza kusurvive k**a orphan
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Thanks for following me

Address

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mum ruthie laughter base posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mum ruthie laughter base:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share