JOGI Online TV

  • Home
  • JOGI Online TV

JOGI Online TV News presenter/Mcee//photographer

03/05/2023
Growing up I have realized that it was not just me but the contribution of many others which helped me grow. I thank eve...
03/05/2023

Growing up I have realized that it was not just me but the contribution of many others which helped me grow. I thank everyone who is part of my journey. Happy birthday to me🎉🎂

08/01/2023

We deliver your taste here get to see what's happening,,,, HARISON KISIO receiving blessings from Hon.Francis Ole Kaparo,,,

08/01/2023

Welcome to ZETECH UNIVERSITY and INVENT YOUR FUTURE.,,, 🌍

Mfahamu binti mwenye SAUTI ya aina yake anavyotamba ndani ya Runinga ya JOGI jina lake Hamida hivyo usibakie nyuma wala ...
03/06/2022

Mfahamu binti mwenye SAUTI ya aina yake anavyotamba ndani ya Runinga ya JOGI jina lake Hamida hivyo usibakie nyuma wala usiambiwe pata kumjua leo kwa maneno yake yenye busara.

Tazama video hii.

Mshairi aliyekariri mbele ya Naibu GAVANA wa laikipia,Aliyekuwa spika wa bunge LA kitaifa Mheshimiwa Francis Olekaparo n...
06/04/2022

Mshairi aliyekariri mbele ya Naibu GAVANA wa laikipia,Aliyekuwa spika wa bunge LA kitaifa Mheshimiwa Francis Olekaparo na Mbunge wa laikipia kaskazini Hon.Sarah Paulata.
Ukweli mtupu ni kwamba siri kubwa ya Mheshimiwa Sarah Korere ni BIDII tu na kuchapa kazi bila woga.
Tazama video hii hapa ndani ya JOGI TV

Aliyoyafanya Mheshimiwa Sarah Korere katika sekta ya elimu pekee inatosha kumrejesha katika hatamu nyingine ya uongozi,M...
06/04/2022

Aliyoyafanya Mheshimiwa Sarah Korere katika sekta ya elimu pekee inatosha kumrejesha katika hatamu nyingine ya uongozi,Mama Tano tena mama na kazi yuko sawa,waliyofika kuhudhuria mkutano wake walikuwa watu alfu nane,Wote walisema mama tosha,Runinga ya JOGI ndiyo pekee inakufaaa Tazama video hiihttps://youtu.be/frzvJq1A_iQ

02/04/2022

Kwamba IPO siku ni kwa yule mwenye matumaini**NA IKUMBUKWE.

TUNAHITAJI USAIDIZI,WASEMA AKINA MAMA KUTOKA NGARENDARE KWAMBA WANAOMBA KUTAMBULIWA NA KUFIKIRIWA KIKAMILIFU TAZAMA VIDE...
22/03/2022

TUNAHITAJI USAIDIZI,WASEMA AKINA MAMA KUTOKA NGARENDARE KWAMBA WANAOMBA KUTAMBULIWA NA KUFIKIRIWA KIKAMILIFU TAZAMA VIDEO HII HAPA UONE VILE MAMBO YALIVYO NGUMU KWAO KWA WALE WANAOSHONA CHANGA
https://youtu.be/KkIm_WkzMUI

Since 1986 Mzee huyu amekuwa akitibu nguvu za kiume,mapenzi na magonjwa mengine ya kiajabu.Kwa miaka 36 amekuwa akifanya...
27/02/2022

Since 1986 Mzee huyu amekuwa akitibu nguvu za kiume,mapenzi na magonjwa mengine ya kiajabu.

Kwa miaka 36 amekuwa akifanya kazi hiyo Huku akiamoni hakuna kazi itakayoweza piku hiyo.

TAZAMA video ndani ya JOGI TV "Jifunze kitu"https://youtu.be/LQ1-ftqVANo

Meru ni kauti nambari kumi na mbili(012)na ambayo imegawanywa katika eneo bunge tisa, hivyo Eneo bunge LA Buuri ndiyo en...
22/02/2022

Meru ni kauti nambari kumi na mbili(012)na ambayo imegawanywa katika eneo bunge tisa, hivyo Eneo bunge LA Buuri ndiyo eneo bunge kubwa ambayo ina kata TANO ikiwemo,.....
KISIMA WARD
KIBIRICHIA WARD
KIRUA WARD
RWARERA WARD
TIMAU WARD.

Hivyo leo hii pata kumtambua MCA mtarajiwa ambaye ameamua kujitoma katika ulingo wa kisiasa anatambulika k**a Mheshimiwa Pius Murithi Nguthui MCA Aspirat Kisima Ward 2022.follow this link https://youtu.be/OYIRIySzdWI

Hautaamini vile ambavyo Nanyuki wanavyokarabatiwa upya Barabara,utabaki tu umeduwaa,Tazama video hii mwenyewe usiambiwe ...
16/02/2022

Hautaamini vile ambavyo Nanyuki wanavyokarabatiwa upya Barabara,utabaki tu umeduwaa,Tazama video hii mwenyewe usiambiwe na mtuhttps://youtu.be/R0_f9Sij6Iw
Kisha usisahau kudrop comment yako na vilevile don't forget to Subscribe to my channel Online TV

15/02/2022

TALANTA IPO HAIPO...????
Dj JOGI; 0799 117 330.

Tazama video hii wapendwa k**a unapenda kucheka tazama msee akikata mkia wake kwa kunganganiwa na wake wake wawili.😂😂 SAGIDA comedy

14/02/2022

Huyu hapa kijana wenu,ambapo nilipokuwa pitapita zangu niliweza kukutana watu Fulani wa happy life 254 na ambao waliniona nikiwa nimetoka mjengo na Kisha wakadai kunihoji lakini hawakuamini,walichokipata kutoka kwangu.Langu ni kumshukuru Mungu na pia nyinyi wapenzi watazamaji.
Nawaomba to mfike YouTube Kisha msubscribe kwa channel yangu ya JOGI Online Tv Kisha mtabarikiwa Asanteni.

Hello my good friends kindly don't forget to subscribe to my channel at JOGI Online TV. For more good stories that will ...
14/02/2022

Hello my good friends kindly don't forget to subscribe to my channel at JOGI Online TV. For more good stories that will always educate you.

SHOW YOUR LOVE🙏

Bunge LA seneti laanza vikao vyake mwaka huu wa 2022 BAADA ya sherehe za krismasi kukamilika. Tazama video hiihttps://yo...
13/02/2022

Bunge LA seneti laanza vikao vyake mwaka huu wa 2022 BAADA ya sherehe za krismasi kukamilika.
Tazama video hiihttps://youtu.be/xtDh9SsmIbE

Karibuni ndugu zangu wapendwa ndani ya Runinga Pendwa ya JOGI ambayo itakuletea wewe yale yanayokuhusu.Mijadala ya Viong...
13/02/2022

Karibuni ndugu zangu wapendwa ndani ya Runinga Pendwa ya JOGI ambayo itakuletea wewe yale yanayokuhusu.

Mijadala ya Viongozi pia tunafanya bila woga hivyo nawaomba tuendelee kuwa pamoja Ili tuinuke wote.

TAZAMA VIDIO HII HAPA Kisha Subscribe kwa channel yangu na Utabarikiwa Online TV👉https://youtu.be/IaREknG0Qh4

Address


Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Telephone

+254799117330

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JOGI Online TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JOGI Online TV:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Opening Hours
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share