![Bossie anaita hii gari Oppressor 😂. Tunakubaliana na yeye. Kwanza tag mtu mmoja akona Oppressor umuulize k**a atakuwa mg...](https://img5.medioq.com/778/363/353850507783636.jpg)
22/08/2024
Bossie anaita hii gari Oppressor 😂. Tunakubaliana na yeye. Kwanza tag mtu mmoja akona Oppressor umuulize k**a atakuwa mgonjwa asipochoma watu na full lights kwa barabara usiku 😆. Hawa watu huskia raha wakiona umeingia kwa shimo usiku na hiyo ndio kazi gari zao zilitengenezwa kufanya, sio kuenda kwa mall 🤣.
Click this link to view the price, more photos, full specs and details
https://www.kaiandkaro.com/vehicles/toyota-landcruiser-prado-rdkofsm
Contact us via 0737665566 to enquire on a vehicle or get assistance
We have three branches, kiambu Road, Diamond Plaza II, and westlands.