KING TITO SKITS

  • Home
  • KING TITO SKITS

KING TITO SKITS The boy is fine...boy is good...boy is enjoying😁

HAPPY BIRTHDAY BRO🎂 Let's chase 'em dreams
26/11/2023

HAPPY BIRTHDAY BRO🎂
Let's chase 'em dreams

05/11/2023

Shamba acre moja ni k**a kutoka hapa adi wapi🤔😁

HAPPY BIRTHDAY TO YOURS TRULY🎂🎂
13/10/2023

HAPPY BIRTHDAY TO YOURS TRULY🎂🎂

11/10/2023

Hako kakienyeji unafinya chini ya maji siku moja katakupost na hakajui kudelete😂😁

08/10/2023

Friends of Man City😁

MAN CITY KICHWAAA!!💯

05/10/2023

Relationship ikiwa mpya utapunguza ata sauti ya redio ndio ureply message😂😁

22/09/2023

Nimetumia jina 'overwhelming' hapa ushago chief akasema nipee vijana advice..Na bado sijaguza 'Audacity'😂😂

10/09/2023

Siku hizi nalala na pesa kwa kitanda ndio nisikuwe poor in bed😁😂🙌

Mr nice over here😁           👑
03/09/2023

Mr nice over here😁
👑

29/08/2023

Unaset alarm alafu ikikuamsha asubuhi unakasirika😁

24/08/2023

Mechi tunaomba lakini hapo kwa perfomance tunaachia Wasanii😂😁

21/08/2023

Hakuna kitu hufurahisha mtu mweusi k**a akiwa ametokea mbrown kwa picha😁

We will beat Tottenham  today.🔴Manchester United
19/08/2023

We will beat Tottenham today.🔴Manchester United

14/08/2023

Ama kupita na maid dakika moja ndio inaitwa Minute Maid😁

27/07/2023

Unasex chat dem Mkikuyu..kidogo anakuomba pesa ya P2😁🙌

23/07/2023

Na muanze kuconsider brains pia sasa...WANAUME NAWAONGELESHA😁😁

We got ONANA..!!
21/07/2023

We got ONANA..!!

17/07/2023

Kuna hawa hawapendi kupika na majiko kienyeji lakini wanapenda kuni😁

16/07/2023

Sukari kilo mbili ni bei ya mfuko wa Simiti😲

15/07/2023

Sai ata bei ya unga ifike Thate Fae...Bado tutaandamana😁😁

We get want we want😁🔴 Mason Mount in the Crew
05/07/2023

We get want we want😁🔴
Mason Mount in the Crew

16/06/2023

Karibu nionyeshe majangili penye jamaa wetu amejificha...aah!Makoshaa😁😁

06/06/2023

Nimepeana 50 kwa mat nikarudishiwa 80...Mungu bariki wengine sasa,utanimaliza na baraka😂😁

22/05/2023

'Tutashusha bei ya mtungi wa gas hadi shilingi mia tatu' And other short stories😂😂

Huku tumebakisha wanyonge watatu sasa😁😁
19/05/2023

Huku tumebakisha wanyonge watatu sasa😁😁

12/05/2023

Usikubali baridi na rust ikuulie mtu😂😁

07/05/2023

Hawa watu wa type AMEN or die...Wacha tumalizie Mackenzie na Ezekiel...Oh sorry🤭
Tunawakujia pia😁😂

Wueh😁😂
03/05/2023

Wueh😁😂

Nao wahenga wakasema...😁😁
28/04/2023

Nao wahenga wakasema...😁😁

Wasiguze huyu..ni comedian wetu😂😂
27/04/2023

Wasiguze huyu..ni comedian wetu😂😂

It's gone...In other words,"HII IMEENDA" 😂😂
27/04/2023

It's gone...In other words,"HII IMEENDA" 😂😂

26/04/2023

Arsenal ni kitu mbaya sana...lazima ipigwe😂😂

Tell Man City we are coming for them..We Manchester United all day every day🛑😜
23/04/2023

Tell Man City we are coming for them..
We Manchester United all day every day🛑😜

21/04/2023

Sasa itabidi muanze kudungwa Tetanus ndio kutu isiwamalize😂😂

The Midfield is always intact with the three🛑
19/04/2023

The Midfield is always intact with the three🛑

18/04/2023

Ama watu hukua na blood groups different ndio mosquito zipate balanced diet🤔..

Wueh...nafikiria sana😁😁

Hawa wanaeza chapa Real Madrid😂💔
18/04/2023

Hawa wanaeza chapa Real Madrid😂💔

Wacha leo nijipost ata😁Hapo vipi😂
17/04/2023

Wacha leo nijipost ata😁
Hapo vipi😂

15/04/2023

The way Chelsea are going down..they may soon discover oil😁💔

😂😂
12/04/2023

😂😂

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KING TITO SKITS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share