House of the Lord

  • Home
  • House of the Lord

House of the Lord God lives in our hearts, no post of sexual immorality

26/01/2025
19/01/2025

Luka 16
30 Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini k**a akiwaendea mtu atokaye kwa wafu, watatubu.

30/12/2024

Injili hakika nitaihumbiri mpaka kuja kwake yesu, lazima walevi waokoke lazima waganga waokoke, lazima washerati waokoke, lazima wabuo sanamu waokoke na wengine wote, damu ya yesu iko dhahiri yaweza mambo yote yote, mwambie farao nimetumwa sasa achilie wana wa mungu Shalom Shalom

30/12/2024

Blessed people I hope the blood of Jesus has taken full protection, and that why we cannot luck word always to give thanks to God Almighty forever, power and glory belongs to God in Jesus name AMEN Shalom

29/12/2024

I have a lot to share with you precious children of Jehovah God, but always give thank to God in Jesus Christ for his good plans to ward us, who he bought with his own blood

29/12/2024

Am a witness of what Jehovah God can do stay in a holiness and remember no even one will she lord without holiness Shalom

28/12/2024

Zaburi 116:11-19 (KJV) Mimi nalisema kwa haraka yangu, Wanadamu wote ni waongo.
Nimrudishie Bwana nini Kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Nitakipokea kikombe cha wokovu; Na kulitangaza jina la Bwana;
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana, Naam, mbele ya watu wake wote.
Ina thamani machoni pa Bwana Mauti ya wacha Mungu wake.
Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako, Mtumishi wako, mwana wa mjakazi wako, Umevifungua vifungo vyangu.
Nitakutolea dhabihu ya kushukuru; Na kulitangaza jina la Bwana;
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana, Naam, mbele ya watu wake wote.
Katika nyua za nyumba ya Bwana, Ndani yako, Ee Yerusalemu.

28/12/2024

Zaburi 116:9 (KJV) Nitaenenda mbele za Bwana Katika nchi za walio hai.

11/11/2024

Praise Jesus hallelujah

29/05/2022

Better to praise God than to bother with the thing of the world shalom

14/05/2022

Special day for you to ask God to fulfill you with the holy spirit, hallelujah hallelujah

Address


Telephone

+254736570300

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when House of the Lord posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share