17/11/2021
THURSDAY ON ZORA
ON Citizen TV Kenya 7:30 PM
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Tuanzie wapi leo,kwa Oliver ama kwa Fella? Yes kwa Fella,Mzee Simba ndio anatoka kwa Fella. Wakati Fella anamsindi kwa gate alimwambia Fella please familia yako iweke chini ya ulinzi,kwa sababu huyo mama Zora na msichana huyo wanakaa si watu wazuri. Fella alimwambia usijali mzee Simba,all is in control.
Moja kwa moja hadi kwa marehemu Oliver,Nana amekaa na Milton huku anasema kulingana na kifo cha Alma,ni ukweli kitu Yola amesema. Milton akamuuliza unamaanisha? Nana akamwambia ni mimi niliambia Alma kuhusu uhusiano wa Kwame na Yola,so kidogo kidogo nasikia Alma is dead,meaning Yola is right na ile guilty nimeishi nayo nilikua naomba tu dunia ifunguke inimeze. Nana akaambia k**a Alma aliwapata wakicheat then Kwame killed her,lakini Milton akasema but huyu Yola k**a alicheat na Kwame na mimi what makes you think naeza mtrust vitu anasema? I can't.
Upande wa nje,Kwame akiwa amesimama hapo,Madiba alikuja akamuuliza now tell me,whats your excuse now? Kwame akaambia Madiba please just leave me alone,Madiba akamuuliza or what? If I dont leave you utafanya nini? Nishajua sasa uko na roho ya ukatili just like mum,lakini Kwame akamwambia at least mimi nilikua nimesacrifice because of you and your kid na huoni. Kisha Fila akakuja akauliza babake now that tushajua ukweli kifo cha auntie Alma si accident,what does it say about you? Madiba akaulzia mtoto what do you mean? Fila akaambia babake,k**a shosho alicover up kifo cha auntie Alma,na kwa ajali yako na mum ni mum tu alikufa what if pia wewe ulimuua mum then shosho akacover up ikawa k**a ajali? Makosa Madiba akajam akashika mtoto na mkono mmoja akatengeneza kofi ingine ile inakuja na nguvu za stima,generator na solar akataka sasa kumuwekelea mtoto na hii mtoto akiwekelewa hata mortuary hawawezi kubali. Lakini kabla hajaeka kofi,Nana akamshout akamwambia Madiba!!!! Stop it achana na mtoto. Hivyo ndio Fila aliponea hiyo kofi ya babake.
Upande wa pili sasa,wakati Loreta anatembea njaro zake,alipita kwa Boaz akaona Talia akimwagilia maua maji. Wacha Loreta aangalia vizuri aone huyu ni Alma,hakuamini, kumbuka yeye hajui ati kuna Talia anajua tu Alma. Sasa kuona Talia,aliisha nguvu,how comes,itakuaje Alma is alive. Hadi akaishiwa na nguvu akakaa chini akafaint. Haamini amemuona Alma. Kuna dem alikua anapita hapo akaona Loreta haongei amekaa tu chini,ameshtuka yake yote 🤣🤣
Huku kwa Oliver,Ogolla anapea Neema udaku wa kila kitu chenye kimefanyika huku,tangu Madiba na kwame kutokua watoto wa Oliver na Zalena kutimuliwa na kulala kwenye servant quarter. Neea alicheka sana,lakini Ogolla akamwambia wee TuluTulu,na unacheka badala ya kulia 🤣🤣🤣
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Sehemu ya pili tunakuja hadi kwa Fella. Simba ako nyumba ya nyumba amekaa na anakaa hana furaha hata kidogo. Babake alikuja kumsalimia buda niaje? Simba akasema tu poa but hana furaha. Fella akamkwambia buda sai mum anapitia hard time so tusiendelee kumpressure sai sawa Lion. Tujaribu kuprotect mum ju she is into hard time. Lion alikubali at least babake akamcool down. Kumbe Zora alikua kwa dirisha anawasikiza. Alifurahi sana kuona mumewe akiongea na mtoto wake na wanaelewana tu poa,for me sikumbuki siku babangu alikuja kuniongelesha kwa upole 😒😒.
Hatimaye,Yola alirudi kwa mamake Zora ju huku ndio anakaa. Akaambia mamake,imagine nimeenda nikawaambia kweli lakini hakuna mtu ananiamini. Mama Zora akamwambia usijali najua dawa yake.
Tufike kwa Master,tuliona ile siku mama P**i akiwa amelewa sana,sasa Master anamuuliza si tuliongea hii story ya kulewa ikawa hutawai,mbona sasa unaanza kulewa tena? Mama P**i hakuongea,Master akaamka akamwambia basi k**a ni pombe hapa kwangu hukai. Lakini najua pia unajiuliza,mbona mama P**i akunywe pombe? Usiende mbali,kuja kwa comments nimekuambia tu sawa.
Loreta ndio analetwa kwa Oliver akaachwa kwa gate. Ogolla akakuja akamuita Madiba akamwambia kuja Loreta ako hapa anakaa amelewa kulewa. Lakini Madiba kuangalia,akaona hii si pombe,na ukweli hii si pombe,ameshtuka kumuona Alma uhai.Milton pia aliwasikia,akakuja akasaidiana na Madiba wakamleta Loreta kwa room yake wakamlaza. Milton alijaribu kumuita lakini wapi,haongei, Alafu sasa Miton na ujinga akaambia Madiba haya si wee ni Dr.,mtibu sasa. Madiba akaangalia Milton akashindwe awekelee kofi ama akaachilie tu.
Kisha Milton na ujinga akakuja nje kumpata Zalena na Kwame akawauliza mumefanyia nini Loreta. Milton akafanya makosa akamsukuma Zalena, Kwame akiwa hapo,baaasi. Hasira zote za Kwame zikaamka. Amini usiamini Milton mwenye amekuja akijifanya ni shujaa,alitandikwa vita ingine safi hadi akaitana usaidizi 🤣🤣🤣Kama si Madiba kuja mbio na kumtoa Kwame kwa Milton,manze Milton sai angekua anawekwa maji,k**asi na damu ya ngurue. Unajua ngurue hukwekwa kwa mtu ametandikwa proper 🤣🤣wapi makofi ya Kwame.
Zalena aliambia Kwame,please son achana na yeye tu. Madiba pia akaambia Zalena,mum Loreta ametoka hapa akiwa tu sawa akienda kwa Boaz kumwambia ukweli,sai amerudi akiwa amefaint akiwa ameshtuka hajui la kusema,mbona unafanya hivi mum.