Stevo Simple Boy

Stevo Simple Boy Official Stevo Simple Boy page follow me fans
(3)

Msikose kuja wakuu, tarehe 25 December ni kumoto pale kwangu tutakula Christmas na kufurahia , mlisema nitengeneze nyama...
09/12/2024

Msikose kuja wakuu, tarehe 25 December ni kumoto pale kwangu tutakula Christmas na kufurahia , mlisema nitengeneze nyama ya mnyama mgani ?

Ikiwa wasanii wa Kenya ni hawa wakuimba mapangale na kaveve kazozo na hawa wakuruka ruka k**a popcorns na sisi watu wa m...
09/12/2024

Ikiwa wasanii wa Kenya ni hawa wakuimba mapangale na kaveve kazozo na hawa wakuruka ruka k**a popcorns na sisi watu wa mitungila Yani Mafi mafi na tunajituma kimziki banq ... ...ndio wasaniii sasa

W***y Paul ndo nani?Mimi ndo dragon wa Africa nzima saa huyu simjui ni nani!
09/12/2024

W***y Paul ndo nani?
Mimi ndo dragon wa Africa nzima saa huyu simjui ni nani!

Sasa poze Ali kwarwa kidogo na diamond aka Lia sai ni kubweka bweka sai , na akikutana na Mimi sasa dragon of Africa, ni...
09/12/2024

Sasa poze Ali kwarwa kidogo na diamond aka Lia sai ni kubweka bweka sai , na akikutana na Mimi sasa dragon of Africa, nitamu myemea moto huyu

08/12/2024

Niko na hasira me Stevo Simple Boy the African dragon
Sijui nitoke njee ,na b didy ni mkenya ama? Juu sielewi🀣

Kutoka diamond adinywe na didy sisi wakenya hatumtambui.  Wakenya tunataka doba kali, sio za kubanabana midomo Let's res...
08/12/2024

Kutoka diamond adinywe na didy sisi wakenya hatumtambui. Wakenya tunataka doba kali, sio za kubanabana midomo
Let's respect Kenya singers,

Wakenya wenzangu ,wafuasi wangu , marafiki zangu kwa hakika na wapenda ,vile mnanipenda k**a the African dragon Stevo Si...
08/12/2024

Wakenya wenzangu ,wafuasi wangu , marafiki zangu kwa hakika na wapenda ,vile mnanipenda k**a the African dragon Stevo Simple Boy ,minionyeshe upendo mjee mka invite marafiki zangu wa like page yangu ya Facebook at least nifike ata 100k ,on 2022 I lost page ya 500k followers,so guys this is my new page please follow me , without you guys Mimi sio kitu keep supporting me ,Niko na hakika nitaijulisha Kenya kwa nchi zingine kwa kimziki ,like my page ,follow me , and invite your friends to follow too
I love you guys

Zuchu ama mzee wa mitulinga ? Nani mkali !
07/12/2024

Zuchu ama mzee wa mitulinga ? Nani mkali !

Mlevi ameingia choo ya wanawake............... Wanawake wakapiga nduru wakisema hii ni ya wanawakeeeeeeeeee!!  Mlevi aka...
07/12/2024

Mlevi ameingia choo ya wanawake............... Wanawake wakapiga nduru wakisema hii ni ya wanawakeeeeeeeeee!! Mlevi akafungua zip akasema hii pia ni ya wanawakeeeee........ 😁

Kugongewa ni constant alie io kitu imtoke
07/12/2024

Kugongewa ni constant alie io kitu imtoke

Muache aseme imtoke alah πŸ˜‚
07/12/2024

Muache aseme imtoke alah πŸ˜‚

Mzee wa Matulinga,Stivo Simple Boy nimeamua k**a mbaya mbaya kwa sai nataka kuanguka na mtoto wa Rais,Charlene Ruto
05/12/2024

Mzee wa Matulinga,Stivo Simple Boy nimeamua k**a mbaya mbaya kwa sai nataka kuanguka na mtoto wa Rais,Charlene Ruto

Amenichora ,kanichora nikachoreka ,
04/12/2024

Amenichora ,kanichora nikachoreka ,

Nani mkali kariti ya simba na Dragon πŸ‰?
04/12/2024

Nani mkali kariti ya simba na Dragon πŸ‰?

Hii Mambo ya mapenzi sijazoea Sasa ukiambiwa take care huwaMnajibu aje?
03/12/2024

Hii Mambo ya mapenzi sijazoea Sasa ukiambiwa take care huwa
Mnajibu aje?

Naelekea nirobi sasa hivi ! Nani hako hapo nikamsalimie
03/12/2024

Naelekea nirobi sasa hivi ! Nani hako hapo nikamsalimie

Helo mkoaje (au sio)?
03/12/2024

Helo mkoaje (au sio)?

Mtajinja mgombe hii kwa Christmas ama Mimi ?
02/12/2024

Mtajinja mgombe hii kwa Christmas ama Mimi ?

Address

Belgut
Sondu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Stevo Simple Boy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share