Kipepeo

Kipepeo 📻 Radio Maisha Fan And Caller 📞
🦋 Kipepeo Kutoka Nandi-Hills 💪
🦁 King Of Kings 👑

Mungai Eve anawasalmia
10/12/2024

Mungai Eve anawasalmia

09/12/2024

Hakuna dem huromboza vizuri kwa klabu,ka yule amewachia mamake mtoto nyumbani 😂

Ngolo T**i as my name suggests itabidi unipee hyo T-shirt..Hyo jezi ya kipepeo imekufit tu saanaWapi likes za huyu mremb...
09/12/2024

Ngolo T**i as my name suggests itabidi unipee hyo T-shirt..
Hyo jezi ya kipepeo imekufit tu saana
Wapi likes za huyu mrembo❣️
Ahsante kwa kuniwakilisha💪

Kipepeo is back on air,,,,Radio ndo ilkuwa imenisumbua,but nimepata sponsor amenibuyia Radio/TV,,,mbele ni radio nyuma n...
09/12/2024

Kipepeo is back on air,,,,
Radio ndo ilkuwa imenisumbua,but nimepata sponsor amenibuyia Radio/TV,,,mbele ni radio nyuma ni TV...
Aki woiyee what a suprise💯

09/12/2024

DJ,DJ...toa hizo takataka ....
Kusema ukweli W***y Paul msafi nyimbo za Kenya hazina content,ungewacha hiyo ya Rayvanny itambe😂😅

Kienyeji Pro Max ni vizuri mtu kujieleza imtoke🫢Napendanga kienyeji ka wewe,naweza pata kaspace🙏
08/12/2024

Kienyeji Pro Max ni vizuri mtu kujieleza imtoke🫢
Napendanga kienyeji ka wewe,naweza pata kaspace🙏

At class 3,nataka kuwa pilot,at class 5, nataka kuwa daktari,at class 8,wacha nipate tu 150 marks ya kuenda day school😂,...
07/12/2024

At class 3,nataka kuwa pilot,at class 5, nataka kuwa daktari,at class 8,wacha nipate tu 150 marks ya kuenda day school😂,,,,
At form 4,wacha nipate tu D- ya kuingia polisi😅...
After form 4, subscribe to my YouTube channel 😃...
Later on wacha nibahatishe na NYS tu🫢,,,,
Xaxeni lakini,nimewamix😂😅

Cheche 254. Amekuwa akijieleza kila siku,anaomba kura zenu,na mimi pia namuombea ur votes, presenter hana madharau kamwe...
06/12/2024

Cheche 254. Amekuwa akijieleza kila siku,anaomba kura zenu,na mimi pia namuombea ur votes, presenter hana madharau kamwe,Mali safi and legit as she is, let's bring this one home..
Only step and you are done;Dial
*250*8*30*5 #

Vote for my dear Cheche 254.Kumbuka akishinda, ushindi ni wetu sisi soteShe is a good lady and very disciplined,we are r...
03/12/2024

Vote for my dear Cheche 254.
Kumbuka akishinda, ushindi ni wetu sisi sote
She is a good lady and very disciplined,we are requesting for your votes...

01/12/2024

Nilifanya hesabu nikaona naenda hasara...
70 bob daily credo ya kuingia hewani,niliamua heri ikae niwe nakula mkate daily 🤔

Weekends huwa niko huku..DJ VAJO,Slim Daddy 254 na katiwa wanatesa anga⚡
30/11/2024

Weekends huwa niko huku..
DJ VAJO,Slim Daddy 254 na katiwa wanatesa anga⚡

SHOW ni moja tu; Saturday Night Live Unategea Ukiwa Wapi?
Slim Daddy 254 X Katiwa Maneeno X DJ VAJO

95.5Msa 99.3Mld
Online www.barakafm.org

Esther Kirong Chepkoech,,,,,ni jirani yangu lakini ata nikimDM *Hello*  hareply but ni sawa....Am still the one and only...
29/11/2024

Esther Kirong Chepkoech,,,,,ni jirani yangu lakini ata nikimDM *Hello* hareply but ni sawa....
Am still the one and only Kipepeo from United States of Nandihills 😃💪

29/11/2024

Wenye mnatarajia kuwa mabalozi wapya watakaochaguliwa kwa R47 msahau,ilifly away ka Flight 47😂😅
Mambo na ubalozi karash🤔

Tea Bee Tee moja kali sana..Mwaka wa 1985😂
28/11/2024

Tea Bee Tee moja kali sana..
Mwaka wa 1985😂

Sapa ishakuwa..... karibuni,,
27/11/2024

Sapa ishakuwa..... karibuni,,

Address

Nandi Hills
Rift Valley

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kipepeo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share