29/03/2024
๐๐๐๐๐๐๐: ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐
๐๐๐๐ ๐
Please before usome update ya kesho take one second tufollow PUPAonBecky haya tusome Sasa ๐คฃ,Lexy amefika nyumbani amejam mbaya sana anafikiria tu maneno ya Pupa akimwambia k**a anafikiria kumpenda ni njaa inamsumbua atafute mutura akule atakua sawa. Hii kitu inamuuma Lexy mbaya sana. Amelia alikuja kwa room yake akamuuliza unataka nini mum? Amelia akamwambia naelewa uko na right ya kunikasirikia but iam very sorry sikujua utajam hivyo but mikono zangu zilikua tight na singeeza kukuambia ju ulikua ushanifukuza na Becky ndio alikua ananihost. Lexy akamuuliza mbona hungeenda polisi ureport Moh? Amelia akammwambia ningekosa place ya kulala,so ilibidi nikanyagie.
Lexy akamuuliza na story ya Pupa,unajua yeye ni gondi? Amelia akamwambia zii,sina idea ju aliniambia aliacha. Lexy akamwambia Pupa bado ni gondi na ako na gun na alisema hataacha anytime soon. Hii sasa ni Lexy kumchomea Pupa๐๐๐Lexy akamwambia so acha nione utachose nini,gondi ama mimi mtoto wako.
Becky na yeye ashafika nyumbani,akaulizwa kazi ilikua aje? Becky akamwambia ilikua sawa,nilipata mdosi mzuri ako na pesa na anakaa peke yake hata amesema k**a anaeza nihire permanently. Junior akamuuliza, uko sure huyu jamaa hamake moves kwako? Ju how now? Becky akamwambia relax,sijaconfirm job bado relax. Kumbe Becky alisahau charger yake kwa huyo jamaa,sasa Junior kusikia hivyo,anakula nare mbaya๐๐๐
Baadaye kiasi, Lexy alikuja kwa room ya mamake akamkosa akaona kuna cratch yake hapo chini akashindwa kwani leo madhe hatumii cratch. Akachungulia bafu,Amelia hayuko,akashindwa sana ameenda wapi. Simu yake iko hapo kwa bed.Lexy anashindwa sana madhe ameenda wapi,simu ameacha hapa na hayuko. Kumbe Amelia amekuja kwa Pupa.
Pupa aliona madhe akamuuliza rada,kuna shida? Amelia akakaa chini kwanza,akauliza Pupa,unajiona wewe ni mjanja sana sindio? Pupa akauliza madhe nimefanya nini? Amelia akamwambia sikiza, mimi si rika yako,kumbe maisha ya ukora hujawai acha hadi unaonyesha Lexy gun ukimwambia hutawai acha? Pupa akamwambia mum,ndio nilisema lakini nina reason na sijui k**a itakubamba. Amelia akamwambia ongea sai nataka kusikia. Pupa akamwambia madhe sikiza, Lexy anafall in love na mimi na nilimwambia hivyo ndio achoree hiyo story ju mimi sitaki na ilibdi nimwabia hivyo ndio aachane na mimi kabisa. Amelia hajawai shtuka hivyo wueh....kisha punde si punde, Lexy mwenyewe akamcall Pupa na Amelia akamwambia pokea na uweke loud speaker. Lexy akauliza Pupa k**a madhe amekuja huko,Amelia akasignal Pupa akamwambia sema sijakuja na hivyo ndio Pupa alisema. Amelia sasa ashajua ukweli wa mambo,Pupa aliacha ugondi but he had to lie ndio Lexy amuondokee.
๐๐๐๐ ๐
Junior wanapelekana mbio na Moh na Junior anaambia Moh itabidi umeniheshimu sawa,mimi si Sanchez. Becky alikuja akauliza shida ni nini? Moh akamwambia ni hiki kimtu lakini Becky alimwambia wee hutaniongeleshea bwana hivi๐๐๐Becky aliuliza Junior shida ni nini? Junior akamwambia just because nilimwambia aachane na mali ya wenyewe hakusikia.
Amelia akiwa amekaa ndio akaanza kukumbuka,first day Lexy kumuona Pupa kuna venye aliact na venye aliambia Pupa kuhusu kumfanyia massage. Sai sasa ndio Amelia anajua ooh,so Lexy all along she has been "wanting" Pupa? Pupa alikua mkweli akaambia Amelia ilibidi adanganye ndio amuache. Lakini Amelia akamwambia mimi siezi kuwa comfrortable ukitembea na hiyo gun,sijui k**a unanielewa? Pupa akamwambia yeah nakuelewa kabisa madhe. Amelia akamuuliza,so hii gun uko na business gani nayo? Pupa alimwambia hii kitu ni fake na niliichukua ile siku Trisha alituma niuliwe na sitaki kupeana iende kwa mtu wrong.
Lexy amejaribu kumake calls lakini zii hampati mamake,ashauliza Sanchez,Sanchez pia hajui. Lexy akaona acha amcall Becky ju Moh hawaongei na Junior hawaelewani,ikabidi tu amcall Becky.
Kwa Becky alimwambia Junior please babe, story za Moh chorea ju yeye anakuanga mtu haeleweki ju sai natoka kiasi narudi. Junior akamuuliza unaenda wapi? Becky akamwambia come on babe, naendea charger kwa yule jamaa. Junior akamuuliza ooh kwa yule bachelor guy,ama twende wote๐๐Becky akauliza Junior kwani huniamini ama? Junior akamwambia unajua kuna venye eeeh unajua wee unajua tu. Becky alimwambia sikiza babe, I love you and I respect you,wewe enda kazi acha niendee charger I promise hakuna charger ingine nitapewa,ni ile yangu tu๐๐๐
Amelia alifikiria akamwambia sasa hii gun tunaeza enda the legal way tuipeane. Pupa akamuuliza hutakua unanipeana kwa polisi? Amelia akamwambia apana,I have a lawyer friend,I know what to do. Pupa na Ameia wakaelewana na ubeshte ukarudi.
Kuna job Sanchez ameorganizia Junior ya mjengo. Junior akamwambia manze kuna story nataka kukuchapia,ni wewe ulionyesha Becky place ya Job? Sanchez akamwambia yeah,kuna noma? Junior akamwambia alipata but manze hii job iko kwa msee bachelor hana mtu. Sanchez akamwambai relax, Becky ni mjanja anajua kitu anafanya so usiwe na wasiwasi na yeye,lakini Junior akamwambi