16/06/2024
VENYE SHIRO ALINIFANYIA 🥺😪😂💔
Kuna Dem Huitwa Shiro Alinisho Anakam kwngu Sleepover🤩 Nikaanza Kujipanga Sasa Nikaenda Bucha Nikabuy Nyama Kilo mbili😁Ndio Nitengeneze Pilau,,, Nikabuy Soda 🥤 Litre Mbili Ju Shiro hapendi Pombe,, Nikaenda kwa Neiba Nikamuomba Tv 📺,, Whoofer🔊 Kitanda🛌 Na Carpet😂 Kumaliza Kila kitu🤥 Nikaamua Kukol Shiro,,, Nikaskia Sauti ya Omollo Akanisho"Buda Shiro Yuko kwngu Itabidi Unyonge Ulale"🥺 Nikajam,, Nikatoka kwa Keja Nikaenda Kwa Mama Mwngne hapo huniuzia Mboga, Ju Anakuanga Amenicrashia Nikajua Atakubali Kuja kwangu Tukulane🥰,, Bahati Nzuri Mzee wake hakua Kwa hyo Aliitikia Stori Zangu🤪,,, Tukaingia kwa Keja Yangu Na Ju Ya Tamaa mingi😂Nikasahau kufunga Mlango,, Kdgo Nikiwa Karibu Kumwaga Shoti ya kwanza,, Nikaskia Nimeguswa matako na Shoka Baridi🤒 Lakini Siku mind saana Ju nilikua kwa Mautamu😂 Nikaskia Nimeguswa Tena Na Nikajua hyo ni Shoka kbsa☹️,, Nikaamua Kuangalia,, Kumbe na Bwanake Mamamboga🤒 Nikaanza Kutetemeka Kisogo😂 Nikaishiwa na Nguvu kabsa,, Ndio Akanibeba juu juu Akanitoa hapo nje Ya ploti,, Watu wakaanza kumiminika Hapo nje Wakipiga Nduru🗣️🗣️Huku wamebeba Mikuki,, Jembe,, Machete wengine maji moto🤒 Ndio wakaleta Tank Imejaa Petroli Nikanitumbukiza ndani😂 Alfu wakafunika tank na kifuniko,, Wakawasha Moto kubwa ndio Warushe Hyo Tank Kwa moto Na Niko ndani☹️ Kwenda kurusha Tank kwa moto🔥.......,, Nikaskia Foreman Akinivuruta Mjulubeng😂 Akanambia Niamke Tuendelee na Kazi ya Mjengo😂 Masaa ya Lunch Yameisha😂 Na niache kulalia Simiti Naichafua usingiz imenitosha😂....hata kwa ndoto mambo ni complicated 🥺😂😂😂😂💔