29/10/2025
⚽ THE SIFA FM VOI SUPER CUP IS HERE! ⚽
‼️ Get ready for the ultimate football showdown in Taita-Taveta! From December 1st to 6th, all roads lead to Railways Nakombolio Grounds – Bura for the SIFA FM VOI SUPER CUP, bringing together 1️⃣2️⃣teams (8️⃣men’s and 4️⃣ women’s) to compete for glory, unity, and community pride! 💯🏆
Through Benchi La Spoti program, we say this is more than football it’s passion, unity, and purpose meeting on the pitch! 💥 We’re bringing together thousands of fans, families, and listeners for a week filled with excitement, talent, and community celebration. 🎶🙌
🔷 Why partner or sponsor❓
Because this is more than a game ,it’s a community movement.
Your brand will connect directly with real people in an atmosphere of joy, teamwork, and inspiration. By partnering with us, you stand for youth empowerment, talent development, and positive community impact. ❤️
👉 Let’s make this football event historic together! 💢
The SIFA FM – Benchi La Spoti team is ready… are you?
Come, let’s partner, cheer, and make it happen! 🙌
📞 For sponsorship or partnership details, reach out via inbox, email- [email protected] or call SIFA FM VOI 0734939928 today❗️
⚽ SIFA FM VOI SUPER CUP IMEWASILI! ⚽
‼️ Jiandae kwa kivumbi kikubwa cha kandanda hapa Taita-Taveta! Kuanzia Desemba 1 hadi 6, barabara zote zinaelekea uwanja wa Railways Nakombolio- Bura kwa SIFA FM VOI SUPER CUP mashindano yatakayowakutanisha timu 1️⃣2️⃣ (wanaume 8️⃣ na wanawake 4️⃣) kupigania ubingwa, heshima na umoja wa jamii💯🏆
Kupitia Benchi la Spoti, twasema hii si kandanda tu ni hamu, umoja na kusudi vikikutana uwanjani! 💥 Tunawaleta pamoja maelfu ya mashabiki, familia na wasikilizaji kwa wiki moja ya burudani,🎶 vipaji na fahari ya jamii.🤼♂️
🔷Kwa nini ushiriki au udhamini❓
Kwa sababu hili ni zaidi ya mchezo — ni harakati ya kijamii. Kupitia udhamini wako, chapa yako itawafikia watu halisi, moja kwa moja katika mazingira ya furaha na ushirikiano. Ukiwa nasi, unasimama na uwezeshaji wa vijana, kukuza vipaji na kuunganisha jamii kwa njia chanya. ❤️
👉 Tujenge tukio hili ⚽️ kuwa la kihistoria pamoja❗️💢
Kikosi cha Sifa Fm -Benchi La Spoti liko tayari je wewe ...Karibu Tushirikiane, Tushangilie, Tufanikishe.
📞 Kwa maelezo au udhamini, wasiliana nasi kupitia inbox au piga simu 0734939928, barua pepe [email protected] leo❗️ 🔉