MBCI RADIO

MBCI RADIO MBCI radio is a Christian Radio station with a vision to transform lives & keep you connected to God

BWANA ASIFIWE!! Karibu katika kipindi cha WORD FEAST leo hii Genesis Chapter 19 to 21.THE SIN OF HOMOSEXUALITY.Nahodha n...
18/02/2025

BWANA ASIFIWE!! Karibu katika kipindi cha WORD FEAST leo hii Genesis Chapter 19 to 21.THE SIN OF HOMOSEXUALITY.
Nahodha ni Job Ondiba tupo na Bamkazi Silas Cheminingwa

semanasi
SMS: 23813
CALL: 0759081399

18/02/2025

Karibu ndani ya kipindi cha sifa cha na Faith Mwema na Lilian Kanja
Unamshukuru Mungu kwanini mpendwa?

What's you're favourite verse when you are going through a difficult season of your life?? Jiunge nasi Jacinta na Chelaa...
18/02/2025

What's you're favourite verse when you are going through a difficult season of your life?? Jiunge nasi Jacinta na Chelaa Lakwet ab Jeso.
SMS: 23813
CALL: 0759081399

Great morning, wonderful day,, we serve a Loving God, karibu kwenye macheoKwenye ndoa na mahusiano, wakati wa uchumba  b...
18/02/2025

Great morning, wonderful day,, we serve a Loving God, karibu kwenye macheo
Kwenye ndoa na mahusiano, wakati wa uchumba baadhi ya watu huhangaika kupata wenzi wao na kumbe wako tu karibu,, wakati wa kutafuta mchumba gani sawa kuangalia karibu au mbali


MBCI RADIO TopFans
Sema nasi kwa
Sms 23813
Call 0759081399

  USTopic: Dealing with Manipulative Family MembersAfrican Proverb: Mosquitos works when it bites and sings.SMS: 23813  ...
17/02/2025

US

Topic: Dealing with Manipulative Family Members
African Proverb: Mosquitos works when it bites and sings.

SMS: 23813
page: MBCI RADIO

HELLO MSIKILIZAJI? habari za wiki mpya?Karibu Ndani Ya FAMILY GARAGE.TOPIC; DEALING WITH MANUPILATIVE FAMILY MEMBERSSEMA...
17/02/2025

HELLO MSIKILIZAJI? habari za wiki mpya?
Karibu Ndani Ya FAMILY GARAGE.
TOPIC; DEALING WITH MANUPILATIVE FAMILY MEMBERS
SEMA NASI
SMS 23813
CALL IN 0759 081 399
Captain MG, Cabin Crew Attendant Na Mum Jane Kamau.

17/02/2025

Ndani ya the VIBESHOW MBCIRADIO ukiwa nami Faith Mwema na Lilian Kanja...
SMS: 23813
CALL: 0759081399

17/02/2025

Ndani ya the Vibeshow with Lilian Kanja and Faith Mwema

Unajitabiria nini leo?Ulijifunza nini kanisani?Sema nasi kwa Sms 23813Call 0759081399
17/02/2025

Unajitabiria nini leo?
Ulijifunza nini kanisani?
Sema nasi kwa
Sms 23813
Call 0759081399

Tumo ndani mwa Yesu tunaburudika,tunarelax,tunafurahia,Karibu kwenye macheo,kikosi cha  kipo Imara,Kuna Calender ya Mung...
17/02/2025

Tumo ndani mwa Yesu tunaburudika,tunarelax,tunafurahia,
Karibu kwenye macheo,kikosi cha kipo Imara,

Kuna Calender ya Mungu alafu pia kuna the Spirit of delay ambayo huchelewesha baraka za Mungu kwa maisha ya mtu, unawezatofautisha aje,



MBCI RADIO TopFans
Sema nasi kwa
Sms 23813
Call 0759081399

Praise the Lord JesusWelcome to The Heart of Worship Show from 9:30pm to 12amMinister Alando will be leading us in the a...
16/02/2025

Praise the Lord Jesus
Welcome to The Heart of Worship Show from 9:30pm to 12am
Minister Alando will be leading us in the amazing session of worship. Stay tuned
SMS; 23813

Healing of the Land conference from 3rd to 9th March 2025 at Mwariama stadium -Meru ...DON'T MISS OUT!!🎉🎉🎉Meru Frequency...
16/02/2025

Healing of the Land conference from 3rd to 9th March 2025 at Mwariama stadium -Meru ...DON'T MISS OUT!!🎉🎉🎉Meru Frequency 96.8FM

16/02/2025

Working with God by Apostle John Kimani William Sunday Service|| 16TH February 2025

   MwakeshiSMS 23813CALL 0759081399
15/02/2025


Mwakeshi
SMS 23813
CALL 0759081399

Welcome to today’s special post-Valentine’s Day edition. Celebrating Love in a Godly Way.Let us know who you are celebra...
15/02/2025

Welcome to today’s special post-Valentine’s Day edition. Celebrating Love in a Godly Way.

Let us know who you are celebrating today ?
John 15:13

Sema nami Mwakeshi Na Kaka Steve

Ni wakati wa  Choir na Ibada ukiwa na Vincent Kimutai na Maggy Gakau.   Karibu Ndani ya Show .Unaskilizaji kipindi ukiwa...
15/02/2025

Ni wakati wa Choir na Ibada ukiwa na Vincent Kimutai na Maggy Gakau. Karibu Ndani ya Show .
Unaskilizaji kipindi ukiwa wapi na unapenda Choir Gani ?

zungumza nasi kwenye SMS: 23813

Good Morning Beautiful people mko fitiii Karibu sana to the SnS show with your beautiful people Jesse Kihuha, DJ KOGI - ...
15/02/2025

Good Morning Beautiful people mko fitiii
Karibu sana to the SnS show with your beautiful people Jesse Kihuha, DJ KOGI - Mr Mizuka and Peter Wamugi.
Today we are talking about God's Love, you can share your input on our number 23813 or Hapo kwa comment section.

What is your advice to students? Karibu Mama na Mwana na aunty Jacy,23 813Bible quiz- Who received the 10 commandments?
15/02/2025

What is your advice to students? Karibu Mama na Mwana na aunty Jacy,23 813

Bible quiz- Who received the 10 commandments?

Address

Www. Mbcimedia. Co. Ke
Nakuru

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MBCI RADIO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Videos

Share