TWIT RADIO

TWIT RADIO Public figure: Journalist & Editor
(1)

24/02/2023

US First Lady Jill Biden arrives in Kenya, received by First Lady Rachel Ruto

Lawyer Datsan Omari representing Eric Omondi and his group at Milimani Law-Courts.
22/02/2023

Lawyer Datsan Omari representing Eric Omondi and his group at Milimani Law-Courts.

22/02/2023

Wawakilishi wadi wa Pokot Magharibi wataka haki za kibinadamu zilindwe

Huku Viongozi wataka wanahabari waruhusiwe kuangazia operesheni ya kiusalama

Kaunti ya Nairobi inaongoza kwa dhuluma za kimapenzi na kijinsia

Dhuluma zakithiri Kakamega, Kisii, Nakuru, Kilifi, Siaya na Bungoma

Aidha Maambukizi ya hivi sasa yaongezeka Samburu, Mombasa, Kajiado na Busia


#

Hali vipi msikilizaji? Karibu ndani ya Reggae music plain kuanzia mida ya 1pm-4pm tupige sherehe pamoja. Leo tunaipiga K...
22/02/2023

Hali vipi msikilizaji? Karibu ndani ya Reggae music plain kuanzia mida ya 1pm-4pm tupige sherehe pamoja. Leo tunaipiga Kiukubwa.Wasilisha Sms 0726592019



Moto sana
mojaaa

Today is an International mother Language day... Yako ni gani msikilizaji wangu ? Chamgei Bushiere!Mwamukata!Bwakire!Oya...
21/02/2023

Today is an International mother Language day... Yako ni gani msikilizaji wangu ?

Chamgei
Bushiere!
Mwamukata!
Bwakire!
Oyaure!
Kejaa enkakenya!
Uhoro waku!
Uvoro!
Udzalamukadze!
Subax wanaagsan!
Akiro biai!
Supaa!
Muga Vaite


Raila: The attack on Matiang’i is harassment of an individual who has given service to this country
15/02/2023

Raila: The attack on Matiang’i is harassment of an individual who has given service to this country

H.E. Dr William Ruto, the president of the Republic of Kenya and Commander in Chief of the Kenya Defence Forces, has tod...
14/02/2023

H.E. Dr William Ruto, the president of the Republic of Kenya and Commander in Chief of the Kenya Defence Forces, has today ordered for joint security operations in the North Rift.
The Defence Cabinet Secretary Hon. Aden Duale has gazetted the deployment of Kenya Defence Forces to support the Kenya Police Service in the North Rift.

Happy World Radio Day. I celebrate TwitRadio stations that moulded some of us to become who we are. Asante sana  .
13/02/2023

Happy World Radio Day. I celebrate TwitRadio stations that moulded some of us to become who we are. Asante sana
.

Police in Trans Nzoia County arrest two suspected robbers, a man and a woman and recovered a pistol in Kitale.
12/02/2023

Police in Trans Nzoia County arrest two suspected robbers, a man and a woman and recovered a pistol in Kitale.

Kati ya mtu mrembo na mtu mwerevu unaweza date nani?
12/02/2023

Kati ya mtu mrembo na mtu mwerevu unaweza date nani?


Dr Barbara Magoha: People were upset that I did not wail and cry when entering our home but I want to tell them that my ...
11/02/2023

Dr Barbara Magoha: People were upset that I did not wail and cry when entering our home but I want to tell them that my new position in the family doesn’t give me the privilege to do public display of emotions. I’m a Nigerian and I mourned my husband the Nigerian way

Wazee kutoka Fafi na Bura Mashariki kaunti ya Garissa wamekubali kwa kauli moja kushirikiana na maafisa wa usalama katik...
10/02/2023

Wazee kutoka Fafi na Bura Mashariki kaunti ya Garissa wamekubali kwa kauli moja kushirikiana na maafisa wa usalama katika vita dhidi ya kundi la kigaidi cha Al Shabaab ambalo limetatiza miradi na mipango ya maendeleo kwenye eneo hilo.

Wahadhiri wa chuo kikuu cha Egerton wanashinikiza serikali kuokoa chuo kikuu cha Egerton kinachozama kutokana na madeni ya mabilioni ya pesa.

Baadhi ya wakilishi katika kaunti ya Siaya wamekumbatia hatua ya baadhi ya wabunge kuzuru ikulu kwa mazungumzo na Rais William Ruto. wawakilishi wadi hao wanasema mkutano huo utahakikishia eneo la nyanza maendeleo. Wakiongozwa na mwakilishi wadi wa Gem mashariki, Seth Baraka, wawakilishi wadi hao wanasema kipindi cha siasa kilikamilika na si kosa kwa wabunge waliokuwa wanaegemea upande wa Azimio kukata kauli kushirikiana na serikali kwa manufaa ya wenyeji wa kaunti za Nyanza.

09/02/2023

"I will not apologize for meeting President Ruto," Lang'ata MP Phelix Odiwour aka Jalang'o says as he exits Azimio retreat minutes after Azimio leader Raila Odinga's entry. Jalang'o says he was asked to leave by one of the security officers.

Raila Odinga amewataka viongozi waliokutana na Rais Ruto ikuluni kujiuzulu mara moja.
09/02/2023

Raila Odinga amewataka viongozi waliokutana na Rais Ruto ikuluni kujiuzulu mara moja.

Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 16 ameokolewa kutoka kwenye ndoa ya mapema na wanaharakati wa kutetea haki za watoto...
09/02/2023

Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 16 ameokolewa kutoka kwenye ndoa ya mapema na wanaharakati wa kutetea haki za watoto kutoka mjini Namanga kaunti ya Kajiado.

Aidha Inaarifiwa mwanafunzi huyo wa kidato cha tatu alikuwa ameozwa kwa mwanamume wa miaka 45.

NewsPresident William Ruto and his Deputy Rigathi Gachagua poses for a photo with Jubilee Party MPs at State House, Nair...
08/02/2023

News
President William Ruto and his Deputy Rigathi Gachagua poses for a photo with Jubilee Party MPs at State House, Nairobi on Feb. 8 2023.

Today's meeting with Jubilee Party MPs comes just a day after a similar meeting between President William Ruto and Orange Democratic Movement (ODM) MPs at State House, Nairobi.

The ODM MPs also pledged set their political differences aside and work with President Ruto

On his part, President William Ruto said it was inevitable for leaders to work together, noting that "the people who elected you are the same people who elected us".

Utajiri sio hela bali utajiri ni urithi/mali uko nazo. Ndio kauli ya leo.
08/02/2023

Utajiri sio hela bali utajiri ni urithi/mali uko nazo. Ndio kauli ya leo.

Kindiki Cautions Raila Over Countrywide Rallies
07/02/2023

Kindiki Cautions Raila Over Countrywide Rallies

TWITRADIO LIVE /  Habari kutoka kote nchini.ungana nami nikupe uhondo  pindi tu inapochipuka .......................
07/02/2023

TWITRADIO LIVE / Habari kutoka kote nchini.ungana nami nikupe uhondo pindi tu inapochipuka .......................

NI KISASI AU USHURU?Hatua ya serikali kuwaandama wapinzani kuhusu ulipaji kodi huku korti ikiwaachilia huru washukiwa ya...
07/02/2023

NI KISASI AU USHURU?

Hatua ya serikali kuwaandama wapinzani kuhusu ulipaji kodi huku korti ikiwaachilia huru washukiwa yazua shaka


06/02/2023

Korogocho MCA Absalom Odhiambo has today denied charges of incitement to violence and offensive conduct.
Odhiambo was rearrested after he was freed unconditionally on Wednesday after police failed to charge him.
His lawyers objected to the fresh charges saying the decision to charge him afresh.
He was freed on a 100,000 shillings cash bail when he appeared before Nairobi chief magistrate Lukas Onyina.
His case will be mentioned on the 20th of this month.

06/02/2023

Wakaazi wa kaunti ya Lamu waliopata mifugo, maboti na majokofu ili kujiendeleza wametakiwa kutumia raslimali hizo vema ili wajiinue kimaisha..Wakaazi 6,000 kutoka maeneo mbalimbali ya Lamu walinufaika na mradi huo

Doctors remove ‘forgotten’ blade inside woman's womb after 11 years Ndani ya twitradio Leo nauliza unaona ni kitu kipi i...
04/02/2023

Doctors remove ‘forgotten’ blade inside woman's womb after 11 years
Ndani ya twitradio Leo nauliza unaona ni kitu kipi inastahili kurekebishwa kwa sekta ya afya...........

03/02/2023

Wakfu wa Benki ya Equity na Jomo Kenyatta watoa ufadhili wa elimu.

Aidha Wanafunzi 210 wa shule za msingi za kaunti ya Kakamega wafaidika

Mahakama Kuu imemhukumu kifo aliyekuwa afisa wa polisi Fredrick Ole Leliman kwa mauaji ya wakili Willie Kimani na wengine wawili mwaka 2016.

Waziri Kindiki aahidi kuimarisha usalama maeneo ya Kaskazini Mashariki.
Aidha Kindiki aahidi kupambana na mihadarati katika mpaka wa Kenya-Ethiopia

The seven teachers caught recording students depicting indecent acts to remain in police custody till Monday.
03/02/2023

The seven teachers caught recording students depicting indecent acts to remain in police custody till Monday.

5 babies who died at Nakuru Level 5 Hospital yesterday a few hours after birth buried at the Nakuru South Cemetery in on...
03/02/2023

5 babies who died at Nakuru Level 5 Hospital yesterday a few hours after birth buried at the Nakuru South Cemetery in one coffin.

Walimu waliohusishwa na kisa Cha kuwafanya watoto kuiga tendo la ndoa wamesimamishwa kazi na TSC Aidha waziri wa elimu h...
02/02/2023

Walimu waliohusishwa na kisa Cha kuwafanya watoto kuiga tendo la ndoa wamesimamishwa kazi na TSC

Aidha waziri wa elimu hon. machogu Ezekiel amesema walimu hao wanapaswa kujieleza mbona walifanya Ivo

Mpaka wa Kenya - Somalia kufunguliwa katika kipindi cha miezi 2
Mpaka huo wa Mandera kufunguliwa baada ya miaka 10

Aidha Mipaka za nchi hizo ulifungwa kutokana na tishio la usalama huku
Polisi wakitakiwa kuwashirikisha wananchi kuwakabili magaidi

Furaha Yageuka Huzuni baada ya
Watoto watano waliozaliwa kwa mpigo Nakuru kufariki

Aidha Watoto hao wameaga dunia siku moja baada ya kuzaliwa

Huku Madaktari wanasema vifo vilitokana na kuzaliwa kabla ya wakati

02/02/2023

Deputy President Rigathi Gachagua had the last laugh in his battle with the State when his Sh202 million that had been declared proceeds of crime was returned to him.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TWIT RADIO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TWIT RADIO:

Videos

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Videos
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share